SlideShare a Scribd company logo
Imetafsiriwa na kuandikwa na | Mayuni, Joseph
WAAFRIKA
WALIKUWEPO
BARANI AMERIKA
KABLA YA WATU
WA ULAYA KUFIKA:
Ushahidi Wa Uwepo Wa Waafrika Barani Amerika Kabla Ya
Christopher Columbus.
Naomba nianze kwa kusema kuwa, kwa asilimia kubwa watu wanaamini kuwa Waafrika weusi walifika Amerika mara
baada ya Christopher Colunbus kugundua bara la Amerika kwenye miaka ya 1490, ( japo mimi kama mwanahistoria
sijaona alichokugundua, bali aliwakuta watu na ardhi yao na wakiwa na maisha yao na shughuri zao za kila siku, ambazo
zilikuwa ngeni kwa watu wa Ulaya na sio kugundua).Yaani wengi tunaamini kuwa historia ya mwafrika arani Amerika
ilianza mara baada ya biashara ya utumwa kuanza.lakini ukweli ni kwamba historia ya Waafrika kwa kiasi kikubwa
imefichwa sana na bado Waafrika hatujisumbui kutafuta historia ya kweli juu ya maisha yetu.yaani tumekuwa watu wa
kukubali kila kinachosemwa na watu wa magharibi.ikumbukwe kuwa hapo mwanzo Waafrika tulikuwa na mfumo wetu
wa elimu ambao ulikuwa ukitoa elimu sawina na yenye uhalisia na maisha
ya Waafrika. Lakini baada ya ujio wa wakoloni wametuletea elimu ambayo
kila kukicha ikakuza tamaduni zao na kudumaza tamaduni zetu za kiafrika,
“eti tukidai kuwa zimepitwa na wakati” huu tunaita ni “ulevi” hasa ulevi wa
fikra za kimagharibi na sijajua ulevi huu utatuisha lini. Kwa upande wangu
sistaajabu kwa maana hata mfumo wa elimu nchini Tanzania kwa upande
wa somo la Historia unasisitiza hivyo hivyo na walimu wengi
wanawafundisha wanafunzi hivyo hivyo. Najua ni vigumu kubadilisha yale
yanaandikwa kwa maana elimu ipo kukuza maslahi na utamaduni wa
kimagharibi na kudidimiza yale yaliyo bora kwa Waafrika. Na bado
tunajiita “Waafrika tulio huru”. Yaani somo la historia kwa waafrika lipo
kwa ajiri ya kuwafumbaza watu na sio kuwakomboa watu kwa kuwaambia
ukweli juu ya maisha yao ya zamani na maisha yao ya sasa kwa kuandika
historia ya ukweli. “Na kweli watu wamefumbazika sana tu”, kwani mtu
yupo tayari kubishana hata kama hajasoma vitabu vya historia ambavyo
vina ukweli juu ya historia ya Waaafrika.Cha ajabu zaidi wapo waafrika
wanaopinga historia yao kutokana na ulevi wa mawazo ya kimagharibi.
Yaani historia yako lakini bado unaipinga. kwa mfano kuna watu
wanakataaa kuwa waafrika walilmjua Mungu kabla ya ujio wa Waislamu na Wakristo kupitia matambiko( dini za jadi).
Na mtu yupo tayari kupiga hata kana kwamba yeye sio mwafrika.. Ni jambo la ajabu kwa Mwafrika kukana historia yake,
wakati watu wa magharibi kila kukicha anataka historia yao iandikwe na isomwe na kila mtu na Mwafrika akiwemo.
Watu wanao kataa historia yao, nawafananisha na mnyama anayekataa mkia wake wakati ni sehemu ya mwili wake na
una kazi yake katika mwili. Kutokana na elimu ya kimagharibi Waafrika wamefikia hatua ya kujikataa wenyewe kwa
kupinga yale ambayo Waafrika wa zamani walikuwa wanafanya. Na ndio maana watu wanadhani na kuamini kuwa
Waafrika hawakuwa na historia yoyote katika bara la Amerika kabla ya Christopher Columbus, yaani historia ya
Mwafrika barani Amerika ilianzia kwenye miaka ya 1490 mara baadea ya biashara ya utumwa kuanza, jambo ambalo sio
la kweli. Lakini leo nataka niwape ukweli juu ya uwepo wa Waafrika barani Amerika hata kabla ya ujio wa wazungu.
Ukisoma vitabu hivi, They Came Before Columbus, African Presence In America Before Columbas, Civilization Of
America ,Civilization Of Africa Na Civilization Of Asia,utagundua kuwa Waafrika walikuwepo barani Amerika hata
kabla ya ujio wa wazungu. Kwa kuwa vitabu hivi vimeandikwa kwa lugha mbalimbali na sio kwa lugha ya Kiswahili,
ilikuwa vigumu kwa Mtanzania kujua ukweli. Ila leo makala hii fupi inakupa mwanga juu ya historia ya Mwafrika katika
bara la Amerika kabla ya miaka ya 1490, na ni matarajio yangu kuwa mara baada ya kusoma makala hii fupi, tunatarajia
jamii kujua ukweli wa historia ya Mwafrika katika bara la Amerika.
Ushahidi Wa Kiakiolojia Na Masimulizi
Kwa kuwa watu wengi wanamini kuwa Waafrika walifikishwa Amerika
kama watumwa, inakuwa vigumu kwa watu kuamini kuwa Waafrika
walikuwepo Amerika kabla ya biashara ya utumwa kuanza. Hivyo
walikuwa wakidai kuwa Waafrika walikuwepo kabla ya biashara hiyo
ilibidi waje na ushahidi wa kukosha. Na miongoni mwa ushahidi
ulihusisha sana taaluma ya Akiolojia ( somo la kisayansi ambalo
linahusika na utafiti na usomwaji wa zana mbalimbali za kitamaduni
zilizoundwa na kutumiwa na binadamu wa kale kwa lengo la kusoma
maisha ya binadamu na maendeleo yake). Kwa ufupi ni kwamba tafiti za
kiakiolojia zenye kuhusu historia ya Mwafrika barani Amerika zilianzia
kwenye miaka ya 1920. Na kwa kiasi kikubwa wanaakiolojia
walifanikiwa kugundua mambo mbalimbali ambayo yalichangia kutoa
ushahidi. Lakini kwa kiasi fulani kuna ushahidi ambao sio wa kiakiolojia
uliopatikana na ulisaidia sana kutoa maelezo juu ya uwepo wa Waafrika
barani Amerika. Hapa tunazungumzia masimulizi ambayo baadhi ya
wanahistoria walikusanya kutoka kwa baadhi ya watu ambao walipata
kujua, kuona au kusikia juu ya uwepo wa Waafrika barani
Amerika.Wanahistoria walipata taarifa za uwepo wa Waafrika barani amerika kutoka kwa jamii za watu ambao walipata
kufahamu hadithi na stori amabzo zilihusu Waafrika. Mbali na hapo hata baadhi ya Wapelelezi kutoka bara la Ulaya
walipata kufahamu historia ya Waafrika kutoka kwa wakazi wa Amerika wa kipindi hiko. Kwa mfano Christopher
Columbus na Vaco De Balbo walifanikiwa kuandika taarifa mbalimbali amabzo kwa sasa tunazitumia kama ushahidi. Na
ukiangalia kwa kina uwepo wa maandiko hayo ni kutokana na masimulizi ambayo waliyakusanya kutoka kwa wakazi wa
Amerika katika kipindi hiko. Hivyo katika makala hii fupi ushahidi utakaochambuliwa umetokana na tafiti za kiakiolojia
na masimulizi ya kihistoria.
Hivyo Ushahidi Ufuatao Unazungumzia
Historia Ya Mwafrika Barani Amerika Kabla
Ya 1490.
Maandiko Ya Peni Ya Christopher Columbus 1490’S,
kwa ufupi ni kwamba, Wareno na Wahispania walikuwa watu
wa kwanza kufika Amerika wakitokea barani Ulaya. Na kila
sehemu walizopita waliweza kuandika kila kitu walichokiona.
Kwa ujumla Wareno na Waspania waliandika mamabo mengi
sana. Maandiko yao, yapo yailiyohifadhiwa na kuna mengine
hayakuhifadhiwa kutokana na sababu mbalimbali. Sasa yale
yaliyohifadhiwa yalisaidia sana kutoa ushadihi juu ya
mabishano ya kihistoria juu ya historia ya Mwafrika kuwepo
barani Amerika kabla ya 1490. Sifa kubwa ya maandishi ya
wapelelezi wa kale ni kwamba, yalikuwa yakiandikwa kutokana
na mtu alivyoona, yaani mwandishi aliweza kuandika kile
anachoona au kile anachosikia kwa wakati huo. Kutokana na
maisha ya mwanzo biandamu hakuwa na haja ya kuongopa (waliokuwa wakisimulia), kwani hakukuwa na vyombo vya
habari wala mitandao ya kijamii kama hivi sasa, ambapo tumekuwa tukisikia taarifa nyingi za ukweli na uongo. Hivyo
kila kitu kilichokuwa kikiongelewa kilikuwa sahihi na waandishi waliandika kwa usahihi. Kwa namna hiyo
Chrisopher Columbus, aliyekuwa
mpelelezi wa Kireno aliyefika Amerika
kwa mara ya kwanza.
Moja ya mapiramidi yanayopatikananchini
Mexico katika maeneo ya La Venta
tunapozungumzia juu ya maandiko ya Christopher Columbus aliyepata kuishi kwenye miaka ya (1450-1500), haya
yalikuwa maandiko ambayo yaliandikwa kwa mkono wake mwenyewe kwa kutumia wino wa peni. Maandiko hayo
yanasema kuwa “alipofika katika maeneo ya Haiti, aliwakuta wenyeji ambao ni Wahindi wekundu, na wakamwabia
kuwa, kabla ya ujio wako hapa kulikuwa na watu wenye ngozi nyeusi (Black-skinned People) wakifanya biashara ya
dhahabu, ambao walitokea kusini-mashariki mwa bahari ya Antlantiki. Na zaidi biashara waliokuwa wakifanya ilihusisha
dhahabu na zana za chuma kama mishale kwa ajili ya uwindaji” ( Kwani jamii za Olmeki walikuwa wawindaji na
waliishi kwenye misitu mikubwa). Kutokana na taarifa hizo zenye kuhusisha biashara ya dhahabu na chuma, Wareno
walijaribu kulinganisha dhahabu za Waafrika na ya Wahindi ikaonekana zipo sawa kwa uzito na kwa ubora kwa asilimia
kubwa. Wapo waliouliza kuwa Waafrika hao walitokea wapi? Na
jibu lilikuwa jepesi na lenye kueleweka kuwa, Waafrika hao, wapo
waliotokea Misri (Wanubia wa Kusini) na wapo waliotokea Afrika
magharibi. Kuna Mpelezi mwingine wa Kihispania ambaye pia
aliandika maandiko yake akielezea jinsi alivyowakuta Wahindi
wekundu barani Amerika wakionyesha kidole uelekeo wa bara la
Afrika,na alipata majibu kama aliyopewa Christopher Columbus
huyu alifahamika kwa jina la Vasco Nunes De Balbo aliyepata
kuishi kwenye miaka (1470-1520 ). Alianza kutembelea bara la
Amerika kwenye maika ya 1510. Maandiko yake yalikuwa kwenye
miaka ya 1513. Vaso Nunes De Balbo alikandika kwenye maandiko
yake siku ya kwanza alipofika Amerika na kuwakuta wahindi
walizungumzia habari za watu weusi (Black-skinned people) kuwa
walikuwepo hapa na walifanya biashara na kuondoka maeneo haya.
Maandiko hayo yanasema kuwa kila sehemu walipowakuta
Wahindi walizunguzia hivvyo hivyo.Kwa namna hiyo maandiko ya
Christopher Columbas na Vasco Nunes De Balbo yalichangia sana
kutoa ushahidi juu ya uwepo wa watu weusi barani Amerika kabla
ya watu wa Ulaya.kwani maandiko haya hayakujaa hila wa husud
juu ya kuficha ukweli, yaliandikwa kama walivyoona na kusikia.
Na mwisho maaandiko ya Christopher Columbus na Vasco Nunes
De Balbo yalikubaliwa na wanahistoria na wanaakiolojia kuwa ni
moja ya ushahidi kuwa Waafrika historia yao haikuanzia kwenye
miaka ya 1490 kama tunavyokalilishwa.
Ushahidi wa pili ni uwepo wa tamaduni za Olmeki (Wameksiko wa leo) ambazo
zilikuwepo barani Afrika katika nchi ya Misri tangu mkiaka ya 7000 K.K uliotolewa na
Michael Coe. Tunapozungumzia Jamii za watu wa Olmeki tunazungumzia jamii za mwanzo kuwepo barani Amerika
kwenye miaka ya 1500 K.K hadi 400 K.K. Jamii hizi kutokana na kuishi na Waafrika walijifunza tamaduni nyingi
ambazo Wamisri walikuwa nazo kwenye kipindi cha utawala wa Mfalme Ramesi iii. Miongoni mwa tamaduni hizo ni
ujenzi wa mapiramidi, ujenzi wa makabuli kwa mawe na kuzika watu kwa kuwazungushia vitambaa vyeupe
(mummification). Sasa wanaakiolojia wanakubaliana kuwa tamaduni hizi hazikuwa sehemu zingine bali ni Afrika pekee.
Na zaidi ya hapo utaalamu huo wa ujenzi wa mapilamidi na makabuli ya mawe ulikuwa kwa waafrika tu na sio jamii
zingine hapa ulimwenguni.kama kusingekuwa na mahusiano kati ya Wahindi wekundu na Waafrika tamaduni hizo
zisingekuwepo barani Amerika.kwani hakuna maandiko wala ushahdi kuwa uenda wahindi walisafiri kuja Afrika
kujifunza tamaduni hizi. Hivyo uwepo wa Waafrika barani Amerika kulipelekea kuwepo kwa tamaduni hizo. Ikumbukwe
kuwa hata wazungu walipokuwa Amerika kuna baadhi ya tamaduni ziliachwa pale na watu wa Amerika wakazitumia
kama za kwao kwa mfano lugha ya kireno kwa Wabrazili na lugha ya kiispania kwa Waajestina. Yaani kama vile
Waarabu walipoacha tamaduni zao katika upwa wa afrika mashariki na mpaka leo bado zipo ni sehemu ya maisha yetu.
Hata kwa Waafrika walipokuwa katika bara la Amerika kwenye kipindi hiko historia ilikuwa hivyo hivyo, kwani
Moja ya jiwe kubwa lenye kufanana na sura
ya Mwafrika yaliyogunduliwa katika maeneo
ya La Venta na Tres Zapotes:
Waafrika waliweza kuacha tamaduni zao na zikawa shemu za maisha ya watu wa Amerika . Mbali na tamaduni za ujenzi
wa mapiramidi, pia kuna tamaduni za kuabudu na kutoa kafara (tazama filamu ya Apocalypto, 2006: inatoa picha ya
maisha ya Wakazi wa Amerika wa kipindi hiko), ikumbukwe kuwa duniani hakukuwa na jamii zozote zenye kuabudu
kwa kutoa kafara isipokuwa ni Waafrika (wamaisri).Hivyo Wahindi wekundu ambao ndio hao Waolmeki walijifunza
namna ya ujenzi wa sehemu za kuabudia, kwa ajili ya kuabudu Mungu mkuu kupitia mizimu yao. Pia ni ushahidi wa
kutosha kuwa, utaratibu wa kuabudu kupitia mizimu au miungu ulikuwepo hapa hapa Afrika na sio Ulaya au Asia, hivyo
kutokana na kuwepo kwa Waafrika barani Amerika kulipelekea kuwepo kwa tamaduni za kuabudu Mungu mkuu kupitia
miungu yaani mizimu. Kwa mfano moja ya miungu ilikuwa ikiabudiwa na watu wa jamii za Waolmec ilifahamika kama
Quetzcoatl. Kwa namna hiyo uwepo wa tamaduni za Waafrika katika bara la Amerika ni ushahidi tosha juu ya uwepo wa
Waafrika katika bara hilo kabla ya Watu wa Ulaya kufika. Ukitaka kujua zaidi kuhusu jamii za mwanzo za Amerika
kama Olmeki, Maya, Inca, Azeti, Anasazi na Tolteki, soma vitabu kama, American civilization cha Cline Eric the P.h.D
(2007) na They Came Before Columbus cha Ivan Van Sertima (1976). Ukipitia maandiko ya vitabu hivi utapata kujua
mengi juu ya waafrika na tamaduni ambazo waliziacha katika bara la Amerika ambazo ndio ushahidi mkubwa kuwa
Waafrika walikuwepo na waliishi na walichangia vya kutosha katika maendeleo ya Amerika, yaani kama vile Wamisri
walivyochangia kuendeleza Uingereza.
Ushahidi wa tatu unahusisha ugunduzi wa jiwe kubwa lenye sura ya kufanana na
Mwafrikaa( Majestic Stone head) kama nilivyokwisha eleza hapo mwanzoni , kuwa haikuwa rahisi kwa watu
kukubali ukweli kuwa, waafrika waliishi Amerika kabla ya Wazungu kufika . Na watu wengi wanaamini kuwa waafrika
walifika Amerika wakiwa kama watumwa waliokwenda kulima na kuchimba madini. Lakini mara baadaya kugundulika
kuwa Waafrika walifika Amerika hata kabla ya wazungu kufika, palitokea vipingamizi vingi. Hivyo ilibidi tafiti
mbalimbali za kiakiolojia zifanyike. Na nilivokwishatoa uafafnuzi juu ya taaruma hii ya akiolojia. Hivyo kwa kiasi
kikubwa tafiti nyingi za kiakiolojia zilifanikiwa na moja ni hii ya kupatikana kwa jiwe hili kubwa lenye kufanana na
Mwafrika.Tulizunguzia juu ya ushahidi wa maandiko ya Christopher Columbus na uwepo wa tamaduni wa Olmeki
wenye kufanana na waafrika. Sasa hapa tunaangalia ugunduzi wa Jiwe lenye sura ya mtu aliyefanana na mwafrika.
Maandiko yansema kuwa “jiwe hilo lilikuwa linawakilisha mtawala mweusi alipata kutawala jamii za kiamerika katika
kipindi hiko”. Jiwe hilo ambalo lilikuwa limezikwa kwa kipindi kirefu katika mji wa Tres Zapotes, liliwezwa
kuchimbuliwa na mwanaakiolojia aliyefahamika kwa jina la Mathew Stirling na timu yake kwenye miaka ya 1938. Jiwe
hilo lilikuwa na uzito wa tani 10-20, lilikuwa na kipenyo cha futi 22, na urefu wa futi 4. Na cha zaidi ni kwamba sehemu
ambapo jiwe hilo liligunduliwa, umbali wa maili 10 kutoka hapo, ndipo palipogunduliwa fuvu la mtu mweusi aliyepata
kuishi katika bara la Amerika. Lakini nikurudishe nyuma kidogo, kwenye miaka ya1920 kuna timu ya wanaakiolojia
walioongozwa na Frans Blom na Oliver De Farge. Timu hii iliweza kufanikiwa kugundua jiwe kubwa lenye kuonyesha
sura ya mtu likiwa na umbo la kitu kama “Helementi” katika mji wa La venta. Kwa namna hiyo tukapata mawe ambayo
yalifanana sana na mawe ambayo yanapatikana barani Afrika. Jiwe hilo liliondoa utata juu ya uwepo wa waafrika katika
bara la Amerika kabla ya Wazungu kufika kwenye miaka ya 1490’s. Mawe hayo yalikuwa na sifa au muonekana ufuatao
wenye kufanana na Mwafrika.
Mawe hayo yenye sura ya Mwafrika yalikuwa
na midomo mikubwa. Kiufupi ni kwamba wote tunajua kuwa
binadamu wanatofautia kulingana na utofauti wa kijiografia. Yaani kila
sehemu kuna inakuwa na viumbe ambao sehemu nyingine hawapo. Kama ukweli ni huo na tunakubaliana sote, turudi
kwenye ushahidi wetu wa jiwe hili kwa kuangalia midomo ya jiwe hilo yenye kufanana na midomo ya Waafrika.
Ukiangalia mdomo wa chini na mdomo wa juu wa mwafrika upo tofauti na midomo ya watu ambao sio waafrika.
Hauwezi kumkuta mchina ana mdomo ambao unafanana na mwafrika. Hivyo kwa miaka hiyo ilikuwa vigumu wakazi wa
Amerika kuchora mchoro wenye kufanana na mtu ambaye sio wa jamii ile au ambaye hawakuwahi kumuona wala kuishi
nae.kama iliandikwa kuwa jiwe hilo lilimuwakilisha mtawala mweusi alipata kuishi Amerika kabla ya 1490. Hivyo
kutokana na ushahidi huo ni kweli kuwa Waafrika waliishi Amerika hata kabla ya uwepo wa Wazungu.
Mawe hayo yenye sura ya Mwafrika yalikuwa na tundu za pua ambazo ni pana sana. Na
hapa pia ifahamike kuwa hakuna watu ambao wanapua pana kama
Waafrika. Sasa ukisoma historia za wakazi wa kwanza wa Amerika
hakukuwa na jamii ambazo zilikuwa na pua pana. Na ilikuwa vigumu
binadamu kuchonga kitu kama hakijawahi kumjia ndotoni, kukisikia au
kuona. Hivyo ilkuwa vigumu kwa watu wa Amerika kuchora mchoro
wenye pua pana kama za waafrika kama hawakuwahi kumwona au kuishi na Mwafrika na maumbile yake. Kwa namna
hiyo mchoro huo ulichorwa kutokana na uwepo wa waafrika barani
Amerika kabla hata ya wazungu.
Mawe hayo yenye sura ya Mwafrika yalikuwa na
macho makubwa ambayo macho yalifanana sana na michoro
ilikuwa ikichorwa na wakazi wa Misri katika vipindi mbalimbali vya utawala wa “kifarao” Kama ilivyokuwa kwa upande
wa pua na midomo,kwenye jiwe hilo palionyesha kuwa na macho makubwa ambayo muonekano wake unafanana sana na
wa Mwafrika, Waafrika wengi wana macho ambayo ni makubwa sana na hayafanani na watu wa mabara mengine, yaani
maumbile ya macho ya waafrika ni tofauti na maumbile ya macho ya Wachina au Wajapani. Kwa hiyo uwepo wa vitu
hivyo vilisaidia sana katika kutoa ushahidi kuwa waafrika walikuwepo amerika hata kabla ya Wazungu kufika.
Hitimisho
Kwa namna hiyo lazima tukubali kuwa Waafrika walikuwepo barani Amerika kabla hata ya watu wa Ulaya b kufika
barani Amerika. Na ingekuwa vigumu sana kukubali kuwa Waafrika walikuwa Amerika kama kusingekuwa na ushahidi
wa kutosha wa kiakiolojia na masimulizi. Lakini jambo la kushangaza ni kwamba bado Waafrika tunaamini kuwa historia
ya Waafrika barani Amerika ilianza mara baada ya Christopher Columbus “kugundua” bara la Amerika. Kwa mfano hapa
Tanzania bado mfumo wa elimu hasa kwa upande wa somo la historia unakubali maandiko ya kwamba Waafrika walifika
Amerika wakiwa kama watumwa ambao walipelekwa kwa ajili kulima na kuchimba madini. Lakini kama maandiko ya
Christopher Columbus alivyoandika kwenye maandiko yake kuwa, “Waafrika weusi walikuwepo barani Amerika wakiwa
na mauhusiano ya kibaishra na wakazi wa mwanzo wa Amerika( wahindi wekundu)”, tazama filamu ya Anacoda(1997)
sehemu za kwanza utapata kuwaona wahindi wekundu mwishoni mwa filamu hiyo.Ukweli ni kwamba historia ya
Waafrika haikuanzia kwenye miaka ya 1490 kama inavyofahamika, hivyo historia ya Waafrika barani Amerika ilianza
kabla ya 1490. Ni wakati sasa kwa wasomi kutafsiri maandiko mbalimbali yenye kuhusiana na historia ya Waafrika ili
jamii ipate kujua historia kama sehemu ya maendeleo ya jamii na sio kama somo ambalo wajue na kusoma wanafunzi.
Wakati ni huu wa kujua historia ya Waafrika duniani kote.
Marcus Garvey alisema kuwa
“Watu wanaoishi bila kuwa na ujuzi wa historia yao na
utamaduni wao, ni sawa na mti bila mizizi”
Na mimi Mayuni Joseph nakwambia kuwa
“Mwafrika anayekataa historia yake, namfananisha na mnyama
anayekataa mkia wake wakati mkia huo ni sehemu ya mwili wake.”
Imetafsiriwa na kuchambuliwa kutoka:
Ivan Van Sertima (1976) They Came Before Columbus; Africans presence in ancient America.
Makala fupi kutoka: The Illinois Amistad Commission and the Dussable Museum of African American History.
Africa presence in America before Columbus.
Mayuni, Joseph
Mwanaharakati Wa Utamduni Wa Mwafrika Na Mwanahistoria
Email.mayunijoseph@yahoo.com
Phone: +255755671568
+255654546353
Muhariri
Julius Alex
©2016

More Related Content

Featured

Skeleton Culture Code
Skeleton Culture CodeSkeleton Culture Code
Skeleton Culture Code
Skeleton Technologies
 
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
Neil Kimberley
 
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
contently
 
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
Albert Qian
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Kurio // The Social Media Age(ncy)
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Search Engine Journal
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
SpeakerHub
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next
Tessa Mero
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Lily Ray
 
How to have difficult conversations
How to have difficult conversations How to have difficult conversations
How to have difficult conversations
Rajiv Jayarajah, MAppComm, ACC
 
Introduction to Data Science
Introduction to Data ScienceIntroduction to Data Science
Introduction to Data Science
Christy Abraham Joy
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best Practices
Vit Horky
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project management
MindGenius
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
RachelPearson36
 
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Applitools
 
12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work
GetSmarter
 
ChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slidesChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slides
Alireza Esmikhani
 
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike RoutesMore than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
Project for Public Spaces & National Center for Biking and Walking
 
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
DevGAMM Conference
 

Featured (20)

Skeleton Culture Code
Skeleton Culture CodeSkeleton Culture Code
Skeleton Culture Code
 
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
PEPSICO Presentation to CAGNY Conference Feb 2024
 
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
Content Methodology: A Best Practices Report (Webinar)
 
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
 
How to have difficult conversations
How to have difficult conversations How to have difficult conversations
How to have difficult conversations
 
Introduction to Data Science
Introduction to Data ScienceIntroduction to Data Science
Introduction to Data Science
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best Practices
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project management
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
 
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
 
12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work
 
ChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slidesChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slides
 
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike RoutesMore than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
 
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
 

UAFRIKA

  • 1. Imetafsiriwa na kuandikwa na | Mayuni, Joseph WAAFRIKA WALIKUWEPO BARANI AMERIKA KABLA YA WATU WA ULAYA KUFIKA:
  • 2. Ushahidi Wa Uwepo Wa Waafrika Barani Amerika Kabla Ya Christopher Columbus. Naomba nianze kwa kusema kuwa, kwa asilimia kubwa watu wanaamini kuwa Waafrika weusi walifika Amerika mara baada ya Christopher Colunbus kugundua bara la Amerika kwenye miaka ya 1490, ( japo mimi kama mwanahistoria sijaona alichokugundua, bali aliwakuta watu na ardhi yao na wakiwa na maisha yao na shughuri zao za kila siku, ambazo zilikuwa ngeni kwa watu wa Ulaya na sio kugundua).Yaani wengi tunaamini kuwa historia ya mwafrika arani Amerika ilianza mara baada ya biashara ya utumwa kuanza.lakini ukweli ni kwamba historia ya Waafrika kwa kiasi kikubwa imefichwa sana na bado Waafrika hatujisumbui kutafuta historia ya kweli juu ya maisha yetu.yaani tumekuwa watu wa kukubali kila kinachosemwa na watu wa magharibi.ikumbukwe kuwa hapo mwanzo Waafrika tulikuwa na mfumo wetu wa elimu ambao ulikuwa ukitoa elimu sawina na yenye uhalisia na maisha ya Waafrika. Lakini baada ya ujio wa wakoloni wametuletea elimu ambayo kila kukicha ikakuza tamaduni zao na kudumaza tamaduni zetu za kiafrika, “eti tukidai kuwa zimepitwa na wakati” huu tunaita ni “ulevi” hasa ulevi wa fikra za kimagharibi na sijajua ulevi huu utatuisha lini. Kwa upande wangu sistaajabu kwa maana hata mfumo wa elimu nchini Tanzania kwa upande wa somo la Historia unasisitiza hivyo hivyo na walimu wengi wanawafundisha wanafunzi hivyo hivyo. Najua ni vigumu kubadilisha yale yanaandikwa kwa maana elimu ipo kukuza maslahi na utamaduni wa kimagharibi na kudidimiza yale yaliyo bora kwa Waafrika. Na bado tunajiita “Waafrika tulio huru”. Yaani somo la historia kwa waafrika lipo kwa ajiri ya kuwafumbaza watu na sio kuwakomboa watu kwa kuwaambia ukweli juu ya maisha yao ya zamani na maisha yao ya sasa kwa kuandika historia ya ukweli. “Na kweli watu wamefumbazika sana tu”, kwani mtu yupo tayari kubishana hata kama hajasoma vitabu vya historia ambavyo vina ukweli juu ya historia ya Waaafrika.Cha ajabu zaidi wapo waafrika wanaopinga historia yao kutokana na ulevi wa mawazo ya kimagharibi. Yaani historia yako lakini bado unaipinga. kwa mfano kuna watu wanakataaa kuwa waafrika walilmjua Mungu kabla ya ujio wa Waislamu na Wakristo kupitia matambiko( dini za jadi). Na mtu yupo tayari kupiga hata kana kwamba yeye sio mwafrika.. Ni jambo la ajabu kwa Mwafrika kukana historia yake, wakati watu wa magharibi kila kukicha anataka historia yao iandikwe na isomwe na kila mtu na Mwafrika akiwemo. Watu wanao kataa historia yao, nawafananisha na mnyama anayekataa mkia wake wakati ni sehemu ya mwili wake na una kazi yake katika mwili. Kutokana na elimu ya kimagharibi Waafrika wamefikia hatua ya kujikataa wenyewe kwa kupinga yale ambayo Waafrika wa zamani walikuwa wanafanya. Na ndio maana watu wanadhani na kuamini kuwa Waafrika hawakuwa na historia yoyote katika bara la Amerika kabla ya Christopher Columbus, yaani historia ya Mwafrika barani Amerika ilianzia kwenye miaka ya 1490 mara baadea ya biashara ya utumwa kuanza, jambo ambalo sio la kweli. Lakini leo nataka niwape ukweli juu ya uwepo wa Waafrika barani Amerika hata kabla ya ujio wa wazungu. Ukisoma vitabu hivi, They Came Before Columbus, African Presence In America Before Columbas, Civilization Of America ,Civilization Of Africa Na Civilization Of Asia,utagundua kuwa Waafrika walikuwepo barani Amerika hata kabla ya ujio wa wazungu. Kwa kuwa vitabu hivi vimeandikwa kwa lugha mbalimbali na sio kwa lugha ya Kiswahili, ilikuwa vigumu kwa Mtanzania kujua ukweli. Ila leo makala hii fupi inakupa mwanga juu ya historia ya Mwafrika katika bara la Amerika kabla ya miaka ya 1490, na ni matarajio yangu kuwa mara baada ya kusoma makala hii fupi, tunatarajia jamii kujua ukweli wa historia ya Mwafrika katika bara la Amerika.
  • 3. Ushahidi Wa Kiakiolojia Na Masimulizi Kwa kuwa watu wengi wanamini kuwa Waafrika walifikishwa Amerika kama watumwa, inakuwa vigumu kwa watu kuamini kuwa Waafrika walikuwepo Amerika kabla ya biashara ya utumwa kuanza. Hivyo walikuwa wakidai kuwa Waafrika walikuwepo kabla ya biashara hiyo ilibidi waje na ushahidi wa kukosha. Na miongoni mwa ushahidi ulihusisha sana taaluma ya Akiolojia ( somo la kisayansi ambalo linahusika na utafiti na usomwaji wa zana mbalimbali za kitamaduni zilizoundwa na kutumiwa na binadamu wa kale kwa lengo la kusoma maisha ya binadamu na maendeleo yake). Kwa ufupi ni kwamba tafiti za kiakiolojia zenye kuhusu historia ya Mwafrika barani Amerika zilianzia kwenye miaka ya 1920. Na kwa kiasi kikubwa wanaakiolojia walifanikiwa kugundua mambo mbalimbali ambayo yalichangia kutoa ushahidi. Lakini kwa kiasi fulani kuna ushahidi ambao sio wa kiakiolojia uliopatikana na ulisaidia sana kutoa maelezo juu ya uwepo wa Waafrika barani Amerika. Hapa tunazungumzia masimulizi ambayo baadhi ya wanahistoria walikusanya kutoka kwa baadhi ya watu ambao walipata kujua, kuona au kusikia juu ya uwepo wa Waafrika barani Amerika.Wanahistoria walipata taarifa za uwepo wa Waafrika barani amerika kutoka kwa jamii za watu ambao walipata kufahamu hadithi na stori amabzo zilihusu Waafrika. Mbali na hapo hata baadhi ya Wapelelezi kutoka bara la Ulaya walipata kufahamu historia ya Waafrika kutoka kwa wakazi wa Amerika wa kipindi hiko. Kwa mfano Christopher Columbus na Vaco De Balbo walifanikiwa kuandika taarifa mbalimbali amabzo kwa sasa tunazitumia kama ushahidi. Na ukiangalia kwa kina uwepo wa maandiko hayo ni kutokana na masimulizi ambayo waliyakusanya kutoka kwa wakazi wa Amerika katika kipindi hiko. Hivyo katika makala hii fupi ushahidi utakaochambuliwa umetokana na tafiti za kiakiolojia na masimulizi ya kihistoria. Hivyo Ushahidi Ufuatao Unazungumzia Historia Ya Mwafrika Barani Amerika Kabla Ya 1490. Maandiko Ya Peni Ya Christopher Columbus 1490’S, kwa ufupi ni kwamba, Wareno na Wahispania walikuwa watu wa kwanza kufika Amerika wakitokea barani Ulaya. Na kila sehemu walizopita waliweza kuandika kila kitu walichokiona. Kwa ujumla Wareno na Waspania waliandika mamabo mengi sana. Maandiko yao, yapo yailiyohifadhiwa na kuna mengine hayakuhifadhiwa kutokana na sababu mbalimbali. Sasa yale yaliyohifadhiwa yalisaidia sana kutoa ushadihi juu ya mabishano ya kihistoria juu ya historia ya Mwafrika kuwepo barani Amerika kabla ya 1490. Sifa kubwa ya maandishi ya wapelelezi wa kale ni kwamba, yalikuwa yakiandikwa kutokana na mtu alivyoona, yaani mwandishi aliweza kuandika kile anachoona au kile anachosikia kwa wakati huo. Kutokana na maisha ya mwanzo biandamu hakuwa na haja ya kuongopa (waliokuwa wakisimulia), kwani hakukuwa na vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii kama hivi sasa, ambapo tumekuwa tukisikia taarifa nyingi za ukweli na uongo. Hivyo kila kitu kilichokuwa kikiongelewa kilikuwa sahihi na waandishi waliandika kwa usahihi. Kwa namna hiyo Chrisopher Columbus, aliyekuwa mpelelezi wa Kireno aliyefika Amerika kwa mara ya kwanza. Moja ya mapiramidi yanayopatikananchini Mexico katika maeneo ya La Venta
  • 4. tunapozungumzia juu ya maandiko ya Christopher Columbus aliyepata kuishi kwenye miaka ya (1450-1500), haya yalikuwa maandiko ambayo yaliandikwa kwa mkono wake mwenyewe kwa kutumia wino wa peni. Maandiko hayo yanasema kuwa “alipofika katika maeneo ya Haiti, aliwakuta wenyeji ambao ni Wahindi wekundu, na wakamwabia kuwa, kabla ya ujio wako hapa kulikuwa na watu wenye ngozi nyeusi (Black-skinned People) wakifanya biashara ya dhahabu, ambao walitokea kusini-mashariki mwa bahari ya Antlantiki. Na zaidi biashara waliokuwa wakifanya ilihusisha dhahabu na zana za chuma kama mishale kwa ajili ya uwindaji” ( Kwani jamii za Olmeki walikuwa wawindaji na waliishi kwenye misitu mikubwa). Kutokana na taarifa hizo zenye kuhusisha biashara ya dhahabu na chuma, Wareno walijaribu kulinganisha dhahabu za Waafrika na ya Wahindi ikaonekana zipo sawa kwa uzito na kwa ubora kwa asilimia kubwa. Wapo waliouliza kuwa Waafrika hao walitokea wapi? Na jibu lilikuwa jepesi na lenye kueleweka kuwa, Waafrika hao, wapo waliotokea Misri (Wanubia wa Kusini) na wapo waliotokea Afrika magharibi. Kuna Mpelezi mwingine wa Kihispania ambaye pia aliandika maandiko yake akielezea jinsi alivyowakuta Wahindi wekundu barani Amerika wakionyesha kidole uelekeo wa bara la Afrika,na alipata majibu kama aliyopewa Christopher Columbus huyu alifahamika kwa jina la Vasco Nunes De Balbo aliyepata kuishi kwenye miaka (1470-1520 ). Alianza kutembelea bara la Amerika kwenye maika ya 1510. Maandiko yake yalikuwa kwenye miaka ya 1513. Vaso Nunes De Balbo alikandika kwenye maandiko yake siku ya kwanza alipofika Amerika na kuwakuta wahindi walizungumzia habari za watu weusi (Black-skinned people) kuwa walikuwepo hapa na walifanya biashara na kuondoka maeneo haya. Maandiko hayo yanasema kuwa kila sehemu walipowakuta Wahindi walizunguzia hivvyo hivyo.Kwa namna hiyo maandiko ya Christopher Columbas na Vasco Nunes De Balbo yalichangia sana kutoa ushahidi juu ya uwepo wa watu weusi barani Amerika kabla ya watu wa Ulaya.kwani maandiko haya hayakujaa hila wa husud juu ya kuficha ukweli, yaliandikwa kama walivyoona na kusikia. Na mwisho maaandiko ya Christopher Columbus na Vasco Nunes De Balbo yalikubaliwa na wanahistoria na wanaakiolojia kuwa ni moja ya ushahidi kuwa Waafrika historia yao haikuanzia kwenye miaka ya 1490 kama tunavyokalilishwa. Ushahidi wa pili ni uwepo wa tamaduni za Olmeki (Wameksiko wa leo) ambazo zilikuwepo barani Afrika katika nchi ya Misri tangu mkiaka ya 7000 K.K uliotolewa na Michael Coe. Tunapozungumzia Jamii za watu wa Olmeki tunazungumzia jamii za mwanzo kuwepo barani Amerika kwenye miaka ya 1500 K.K hadi 400 K.K. Jamii hizi kutokana na kuishi na Waafrika walijifunza tamaduni nyingi ambazo Wamisri walikuwa nazo kwenye kipindi cha utawala wa Mfalme Ramesi iii. Miongoni mwa tamaduni hizo ni ujenzi wa mapiramidi, ujenzi wa makabuli kwa mawe na kuzika watu kwa kuwazungushia vitambaa vyeupe (mummification). Sasa wanaakiolojia wanakubaliana kuwa tamaduni hizi hazikuwa sehemu zingine bali ni Afrika pekee. Na zaidi ya hapo utaalamu huo wa ujenzi wa mapilamidi na makabuli ya mawe ulikuwa kwa waafrika tu na sio jamii zingine hapa ulimwenguni.kama kusingekuwa na mahusiano kati ya Wahindi wekundu na Waafrika tamaduni hizo zisingekuwepo barani Amerika.kwani hakuna maandiko wala ushahdi kuwa uenda wahindi walisafiri kuja Afrika kujifunza tamaduni hizi. Hivyo uwepo wa Waafrika barani Amerika kulipelekea kuwepo kwa tamaduni hizo. Ikumbukwe kuwa hata wazungu walipokuwa Amerika kuna baadhi ya tamaduni ziliachwa pale na watu wa Amerika wakazitumia kama za kwao kwa mfano lugha ya kireno kwa Wabrazili na lugha ya kiispania kwa Waajestina. Yaani kama vile Waarabu walipoacha tamaduni zao katika upwa wa afrika mashariki na mpaka leo bado zipo ni sehemu ya maisha yetu. Hata kwa Waafrika walipokuwa katika bara la Amerika kwenye kipindi hiko historia ilikuwa hivyo hivyo, kwani Moja ya jiwe kubwa lenye kufanana na sura ya Mwafrika yaliyogunduliwa katika maeneo ya La Venta na Tres Zapotes:
  • 5. Waafrika waliweza kuacha tamaduni zao na zikawa shemu za maisha ya watu wa Amerika . Mbali na tamaduni za ujenzi wa mapiramidi, pia kuna tamaduni za kuabudu na kutoa kafara (tazama filamu ya Apocalypto, 2006: inatoa picha ya maisha ya Wakazi wa Amerika wa kipindi hiko), ikumbukwe kuwa duniani hakukuwa na jamii zozote zenye kuabudu kwa kutoa kafara isipokuwa ni Waafrika (wamaisri).Hivyo Wahindi wekundu ambao ndio hao Waolmeki walijifunza namna ya ujenzi wa sehemu za kuabudia, kwa ajili ya kuabudu Mungu mkuu kupitia mizimu yao. Pia ni ushahidi wa kutosha kuwa, utaratibu wa kuabudu kupitia mizimu au miungu ulikuwepo hapa hapa Afrika na sio Ulaya au Asia, hivyo kutokana na kuwepo kwa Waafrika barani Amerika kulipelekea kuwepo kwa tamaduni za kuabudu Mungu mkuu kupitia miungu yaani mizimu. Kwa mfano moja ya miungu ilikuwa ikiabudiwa na watu wa jamii za Waolmec ilifahamika kama Quetzcoatl. Kwa namna hiyo uwepo wa tamaduni za Waafrika katika bara la Amerika ni ushahidi tosha juu ya uwepo wa Waafrika katika bara hilo kabla ya Watu wa Ulaya kufika. Ukitaka kujua zaidi kuhusu jamii za mwanzo za Amerika kama Olmeki, Maya, Inca, Azeti, Anasazi na Tolteki, soma vitabu kama, American civilization cha Cline Eric the P.h.D (2007) na They Came Before Columbus cha Ivan Van Sertima (1976). Ukipitia maandiko ya vitabu hivi utapata kujua mengi juu ya waafrika na tamaduni ambazo waliziacha katika bara la Amerika ambazo ndio ushahidi mkubwa kuwa Waafrika walikuwepo na waliishi na walichangia vya kutosha katika maendeleo ya Amerika, yaani kama vile Wamisri walivyochangia kuendeleza Uingereza. Ushahidi wa tatu unahusisha ugunduzi wa jiwe kubwa lenye sura ya kufanana na Mwafrikaa( Majestic Stone head) kama nilivyokwisha eleza hapo mwanzoni , kuwa haikuwa rahisi kwa watu kukubali ukweli kuwa, waafrika waliishi Amerika kabla ya Wazungu kufika . Na watu wengi wanaamini kuwa waafrika walifika Amerika wakiwa kama watumwa waliokwenda kulima na kuchimba madini. Lakini mara baadaya kugundulika kuwa Waafrika walifika Amerika hata kabla ya wazungu kufika, palitokea vipingamizi vingi. Hivyo ilibidi tafiti mbalimbali za kiakiolojia zifanyike. Na nilivokwishatoa uafafnuzi juu ya taaruma hii ya akiolojia. Hivyo kwa kiasi kikubwa tafiti nyingi za kiakiolojia zilifanikiwa na moja ni hii ya kupatikana kwa jiwe hili kubwa lenye kufanana na Mwafrika.Tulizunguzia juu ya ushahidi wa maandiko ya Christopher Columbus na uwepo wa tamaduni wa Olmeki wenye kufanana na waafrika. Sasa hapa tunaangalia ugunduzi wa Jiwe lenye sura ya mtu aliyefanana na mwafrika. Maandiko yansema kuwa “jiwe hilo lilikuwa linawakilisha mtawala mweusi alipata kutawala jamii za kiamerika katika kipindi hiko”. Jiwe hilo ambalo lilikuwa limezikwa kwa kipindi kirefu katika mji wa Tres Zapotes, liliwezwa kuchimbuliwa na mwanaakiolojia aliyefahamika kwa jina la Mathew Stirling na timu yake kwenye miaka ya 1938. Jiwe hilo lilikuwa na uzito wa tani 10-20, lilikuwa na kipenyo cha futi 22, na urefu wa futi 4. Na cha zaidi ni kwamba sehemu ambapo jiwe hilo liligunduliwa, umbali wa maili 10 kutoka hapo, ndipo palipogunduliwa fuvu la mtu mweusi aliyepata kuishi katika bara la Amerika. Lakini nikurudishe nyuma kidogo, kwenye miaka ya1920 kuna timu ya wanaakiolojia walioongozwa na Frans Blom na Oliver De Farge. Timu hii iliweza kufanikiwa kugundua jiwe kubwa lenye kuonyesha sura ya mtu likiwa na umbo la kitu kama “Helementi” katika mji wa La venta. Kwa namna hiyo tukapata mawe ambayo yalifanana sana na mawe ambayo yanapatikana barani Afrika. Jiwe hilo liliondoa utata juu ya uwepo wa waafrika katika bara la Amerika kabla ya Wazungu kufika kwenye miaka ya 1490’s. Mawe hayo yalikuwa na sifa au muonekana ufuatao wenye kufanana na Mwafrika. Mawe hayo yenye sura ya Mwafrika yalikuwa na midomo mikubwa. Kiufupi ni kwamba wote tunajua kuwa binadamu wanatofautia kulingana na utofauti wa kijiografia. Yaani kila sehemu kuna inakuwa na viumbe ambao sehemu nyingine hawapo. Kama ukweli ni huo na tunakubaliana sote, turudi kwenye ushahidi wetu wa jiwe hili kwa kuangalia midomo ya jiwe hilo yenye kufanana na midomo ya Waafrika. Ukiangalia mdomo wa chini na mdomo wa juu wa mwafrika upo tofauti na midomo ya watu ambao sio waafrika. Hauwezi kumkuta mchina ana mdomo ambao unafanana na mwafrika. Hivyo kwa miaka hiyo ilikuwa vigumu wakazi wa Amerika kuchora mchoro wenye kufanana na mtu ambaye sio wa jamii ile au ambaye hawakuwahi kumuona wala kuishi nae.kama iliandikwa kuwa jiwe hilo lilimuwakilisha mtawala mweusi alipata kuishi Amerika kabla ya 1490. Hivyo kutokana na ushahidi huo ni kweli kuwa Waafrika waliishi Amerika hata kabla ya uwepo wa Wazungu.
  • 6. Mawe hayo yenye sura ya Mwafrika yalikuwa na tundu za pua ambazo ni pana sana. Na hapa pia ifahamike kuwa hakuna watu ambao wanapua pana kama Waafrika. Sasa ukisoma historia za wakazi wa kwanza wa Amerika hakukuwa na jamii ambazo zilikuwa na pua pana. Na ilikuwa vigumu binadamu kuchonga kitu kama hakijawahi kumjia ndotoni, kukisikia au kuona. Hivyo ilkuwa vigumu kwa watu wa Amerika kuchora mchoro wenye pua pana kama za waafrika kama hawakuwahi kumwona au kuishi na Mwafrika na maumbile yake. Kwa namna hiyo mchoro huo ulichorwa kutokana na uwepo wa waafrika barani Amerika kabla hata ya wazungu. Mawe hayo yenye sura ya Mwafrika yalikuwa na macho makubwa ambayo macho yalifanana sana na michoro ilikuwa ikichorwa na wakazi wa Misri katika vipindi mbalimbali vya utawala wa “kifarao” Kama ilivyokuwa kwa upande wa pua na midomo,kwenye jiwe hilo palionyesha kuwa na macho makubwa ambayo muonekano wake unafanana sana na wa Mwafrika, Waafrika wengi wana macho ambayo ni makubwa sana na hayafanani na watu wa mabara mengine, yaani maumbile ya macho ya waafrika ni tofauti na maumbile ya macho ya Wachina au Wajapani. Kwa hiyo uwepo wa vitu hivyo vilisaidia sana katika kutoa ushahidi kuwa waafrika walikuwepo amerika hata kabla ya Wazungu kufika. Hitimisho Kwa namna hiyo lazima tukubali kuwa Waafrika walikuwepo barani Amerika kabla hata ya watu wa Ulaya b kufika barani Amerika. Na ingekuwa vigumu sana kukubali kuwa Waafrika walikuwa Amerika kama kusingekuwa na ushahidi wa kutosha wa kiakiolojia na masimulizi. Lakini jambo la kushangaza ni kwamba bado Waafrika tunaamini kuwa historia ya Waafrika barani Amerika ilianza mara baada ya Christopher Columbus “kugundua” bara la Amerika. Kwa mfano hapa Tanzania bado mfumo wa elimu hasa kwa upande wa somo la historia unakubali maandiko ya kwamba Waafrika walifika Amerika wakiwa kama watumwa ambao walipelekwa kwa ajili kulima na kuchimba madini. Lakini kama maandiko ya Christopher Columbus alivyoandika kwenye maandiko yake kuwa, “Waafrika weusi walikuwepo barani Amerika wakiwa na mauhusiano ya kibaishra na wakazi wa mwanzo wa Amerika( wahindi wekundu)”, tazama filamu ya Anacoda(1997) sehemu za kwanza utapata kuwaona wahindi wekundu mwishoni mwa filamu hiyo.Ukweli ni kwamba historia ya Waafrika haikuanzia kwenye miaka ya 1490 kama inavyofahamika, hivyo historia ya Waafrika barani Amerika ilianza kabla ya 1490. Ni wakati sasa kwa wasomi kutafsiri maandiko mbalimbali yenye kuhusiana na historia ya Waafrika ili jamii ipate kujua historia kama sehemu ya maendeleo ya jamii na sio kama somo ambalo wajue na kusoma wanafunzi. Wakati ni huu wa kujua historia ya Waafrika duniani kote.
  • 7. Marcus Garvey alisema kuwa “Watu wanaoishi bila kuwa na ujuzi wa historia yao na utamaduni wao, ni sawa na mti bila mizizi” Na mimi Mayuni Joseph nakwambia kuwa “Mwafrika anayekataa historia yake, namfananisha na mnyama anayekataa mkia wake wakati mkia huo ni sehemu ya mwili wake.” Imetafsiriwa na kuchambuliwa kutoka: Ivan Van Sertima (1976) They Came Before Columbus; Africans presence in ancient America. Makala fupi kutoka: The Illinois Amistad Commission and the Dussable Museum of African American History. Africa presence in America before Columbus.
  • 8. Mayuni, Joseph Mwanaharakati Wa Utamduni Wa Mwafrika Na Mwanahistoria Email.mayunijoseph@yahoo.com Phone: +255755671568 +255654546353 Muhariri Julius Alex ©2016