2. • Majaribio ya kisayansi ni shughuli zinazofanywa a wanasayansi hatua
kwa hatua ili kupata jibu la swal ka kisayansi .
• Majatibio ya kisayansi hufanyika kwa kufuata utaratibu au hatua
zifuatazo;
3. 1. Kubaini tatizo
2. Mabunio
3. Kuandaa vifaa na kufanya majaribio
4. Kukusanya data
5. Kuchambua data
6. Kutafsiri matokeo
7. Hitimisho
4. • Uandishi wa ripoti ya kisayansi
• Kusudi la jaribio /tatizo
• Mabunio vifaa vilivyotumika katika jaribio
• Njia iliyofuatwa katika kufanya jaribio
• Matokeo ya jaribio
• Hitimisho kutokana na matokeo ya jaribio