SlideShare a Scribd company logo
1 of 18
i
CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI
(TEKU)
“Mafunzo kwa Maisha Bora”
TEKU AMBASSODORS
IMEANDALIWA NA
RIBERATUS PHILIPO
ANDIKO NAMBA 1
KUSHIRIKIANA NA
1. OFISI YA PRO
2. OFISI YA DOS
3. OFISI YA SERIKALI YA WANAFUNZI
S.L.P. 1104, MBEYA, TANZANIA
Simu: +255 25 2502682
Faksi: +255 25 2503721
ii
Barua pepe: info@teku.ac.tz
Tovuti: www.teku.ac.tz
SEPTEMBA, 2020
YALIYOMO
SHUKRANI...............................................................................................................................iii
UFUPISHO WA MANENO...................................................................................................... iv
UTANGULIZI ...........................................................................................................................1
TEKU AMBASSADORS ..........................................................................................................3
Teku ambassadors ni nini? .........................................................................................................3
Nani aitwe Teku ambassador?....................................................................................................3
Uongozi wa teku ambassadors...................................................................................................3
1. Mwenyekiti wa teku ambassador atapatikanaje? ...................................................................3
Vigezo ........................................................................................................................................4
2. Katibu WA TEKU ambassodors.............................................................................................4
Vigezo ........................................................................................................................................4
3. Mshauri wa TEKU ambassador .............................................................................................4
iii
UONGOZI WA TEKU AMBASSSADORS NJE YA CHUO (WALIOKO MIKOANI)...........5
Wajumbe wa kikao cha TEKU ambassodors .............................................................................6
Misingi na taratibu ya TEKU ambassadors ...............................................................................6
Faida za kua mshiriki wa TEKU ambassador............................................................................7
MABALOZI WA CHUO WANAOENDELEA NA CHUO ....................................................10
MABALOZI WA CHUO WALIOMALIZA CHUO................................................................12
SHUKRANI
Kwa namna ya pekee napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia afya na maono
ambayo nimeweza kuyaweka katika maandishi.
Kipekee nashukurru uopngozi wa Chuo Kikuu Teofilo Kisanji kwa kunilea tangu nimefika
bila kujali madhaifu yangu bali kunifanya niyatazame mema na kuona fursa mbalimbali.
Napenda shukrani za kipekee zimuendee makamu mkuu wa chuo Prof. Herman J. Mwansoko
na uongozi wa Moravian kwa kuendelea kuona na kubuni namna mbalimbali ambazo teku
inaweza kusimama bila changamoto inazopitia.
Hali kadharika napenda shukrani za kipekee ziwafikie wafuatao.
1. Prof. Tuli Kasimoto Kitengo cha Taaluma
2. Dr. John Msindai Kitengo cha Fedha na Mipango
3. Rev. Mary Kategile Kitengo cha Elimu Endelevu.
4. Nina Kibasa Kitengo cha Uhusiano
iv
5. Ofisi ya Mlezi wa Wanafunzin chini ya Miss. Stella Seif
6. Serikali ya wanafunzi wa TEKU
7. Ofisi zote zilizoko ndasni ya chuo naamini kipekee zimekua msaaada mkubwa sana.
Aidha, napenda kuwashukuru wote tulioshirikiana kwa pamoja kuwatafuta TEKU
ambassodors bila kuwasahau
1. Musa Kalinga mwanafunzi aliehitimu ngazi ya 6 usimamizi wa biashara
2. Rais serikali ya wanafunzi ya 2020/2021 Mussa Mgwasa
3. Wanafunzi washiriki wa TEKU ambassadors
Nipende kuhitimisha kua kuishi kwa ajili ya wengine ndio maisha yenye maana na kusudi la
juu kabisa chini ya jua, kuna haja ya kua na utume kama wa Ezra na Nehemia kwenye Biblia
walioeweza kuwatoa Israel kutoka utumwani Babeli kurejea kwao Jerusalem.
UFUPISHO WA MANENO
DOS –Mlezi wa wanafunzi
PRO-ofisi ya habari na mahusiano
TEKU -Teofilo Kisanji University
v
1
UTANGULIZI
“Kama ua halistawi vizuri yakupasa kurekebisha mazingira ya bustani sio
ua”
Chuo Kikuu Teofilo Kisanji Mbeya ni chuo ambacho kimejikita kutoa elimu bora na chuo
kianzilishi kwa vyuo vikuu mkoani Mbeya.
Chuo kimeanzishwa mwaka 2007 kikiwa na uthubutu mkubwa sana na weledi wa kutoa
elimu thabiti uku kauli mbiu yake ikiwa ni mafunzo kwa maisha bora.
Chuo kilianza kupata changamoto mbalimbali kutokana na sababu kadha wa kadha ambazo
zilipelekea chuo kupata idadi ndogo ya wanafunzi wasioendana na idadi tarajali.
Aidha mawazo haya ni mawazo kama mengine kwa namna ambayo chuo kinaweza yapokea
na kuyakubali kwa ajili ya kukitangaza na kuweza kuwafikia watanzania mbalimbali ili kwa
kiasi flani kuongeza idadi ya wanafunzi kama taasisi zingine za kielimu.
Napenda kutumia maneno yafuatayo ndani ya utangulizi wa andiko hili
“Haikuhitaji kua na muonekano mzuri ili uwe na wafuasi wengi hata Mahtamu Gandhi
aliekua na sura mbayazaidi duniani alikua na wafuasi wengi”.
“Haikuhitaji kua muongeaji sana ili kupata wafuasi wengi hata Musa alikua na kigugumizi ila
alipata wafuasi wengi na kuliongoza taifa la Israel”.
“Haikuhitaji kua na ngozi kama ya mzungu ili uwe na wafuasi wengi hata Martin Luter na
Nelson Mandela walifanikiwa kuungwa mkono na watu wengi licha ya kua na ngozi nyeusi”.
“Haikuhitaji kua namali nyingi ili kua na wafuasi maana hata Yesu alizaliwa kwenye familia
masikini na yenye historia duni lakini alikua na wafuasi zaidi ya 1.5 billioni
wanaomwamini”.
2
“Haikuhitaji elimu kubwa ili kua na wafuasi wengi au kiongozi maana hata Abraham Lincoln
hakua na msingi mzuri wa elimu lakini ndio alikua Rais bora wa Taifa kubwa na imara la
Marekani”.
“Haikuhitaji umri mkubwa ili ukubalike maana hata John Kenedy alikua kijana mdogo
alikubbalika sana nchini Marekerni”.
“Hivyo unahitaji kua na sifa bora za kiongozi ambazo huibuliwa vyema katika kipindi cha
changamoto binafsi, za kijamii, kiuchumi, kisiasa,au hata kiimani”.
Kipindi cha changamoto kama hiki chuo kinazopitia yatufaa zaidi kustawisha nia njema na
mtazamo sahihi.
Itoshe kuhitimisha utangulizi kwa kusema kua kukutana pamopja ni mwanzo,kudumu pamoja
ni maendeleo,kufanya kazi pamoja ni mafanikio.
3
TEKU AMBASSADORS
Tekuambassadors ni nini?
Teku ambassadors ni neno lililotumika kama neno la kingereza likimaanisha mabalozi wa
Chuo kikuu Teofilo Kisanji.
Nani aitwe Tekuambassador?
Teku ambassador ni mwanafunzi wa TEKU aliehitimu au anaendelea, anaweza kua mtu
yeyote asie mwanafunzi au akawa mtumishi wa TEKU alie tayari na kuthibitika kua ana
utayari na moyo wa dhati wa kusaidia chuo kikuu cha Teofilo Kisanji katika nyanja kuu
mbili.
1. Kukitangaza chuo kikuu teofilo kisanji ndani na je ya mkoa wa Mbeya kwa ajili ya
kupata wanafunzi kama ilivo taasisi ya kielimu
2. Kusaidia mawazo ya kujenga na kushiriki kwa hiyari shughuli zitakazo mhitaji
kufanya hivo kwa niaba ya chuo.
Uongozi wa TEKU ambassadors
Teku ambassador itakua na uongozi wake utakaokua na nafasi kuu tatu
1. Mwenyekiti wa TEKU ambassador ndani ya chuo
2. Katibu wa TEKU ambassador ndani ya chuo
3. Mshauri wa TEKU ambassador ndani ya chuo
4. Mwanatehama(IT)
1. Mwenyekitiwa TEKU ambassador atapatikanaje?
Mwenyekiti wa teku ambassador atapatikana kwa kuchaguliwa na ambassodors WA TEKU
4
Vigezo
 Awe mshiriki hai wa TEKU ambassodors
 Awe ni mwanafunzi halali wa TEKU anaeendelea na masomo
 Awe ni mzalendo wa kweli kwa niaba ya TEKU
 Awe ni mtu wa kijituma ,mchapa kazi na mpenda maendeleo ya TEKU bila shuruti
 Asiwe na cheo chochote ndani ya serikali ya wanafunzi
 Awe mbunifu, mvumilivu na mwenye nidhamu
 Anaweza kua wa jinsia yoyote.
 Asiwe mtu wa kuribuniwa kwa tamaa za fedha na yuko tayari kusimama na TEKU
kwa halil yoyote ile.
2. Katibu WATEKU ambassodors
Katibu wa teku ambassadors atapatikana kwa kuchaguliwa na ambassodors wa TEKU
Vigezo
 Awe mshiriki hai wa TEKU ambassador
 Awe ni mwanafunzi halali wa TEKU anaeendelea na masomo
 Awe ni mzalendo wa kweli kwa niaba ya TEKU
 Awe ni mtu wa kijituma, mchapa kazi na mpenda maendeleo ya TEKU bila shuruti
 Asiwe na cheo chochote ndani ya serikali ya wanafunzi
 Awe mbunifu, mvumilivu na mwenye nidhamu
 Anaweza kua wa jinsia yoyote.
3. Mshauri wa TEKU ambassador
Mshauri hatochaguliwa na TEKU ambassador bali atakua ni rais wa serikali ya wanafuniz
ilioko madarakani akishirikiana na makamu wake.
4.Mwanatehama(IT)
5
Vigezo
1. Awe mshiriki hai wa TEKU ambassador
2. Awe ni mzalendo wa kweli kwa niaba ya TEKU
3. Awe ni mwanafunzi halali wa TEKU anaeendelea au aliehitimu na anapatikana mda
wote kwenye mazingira ya chuo
4. Awe ni mtu wa kijituma, mchapa kazi na mpenda maendeleo ya TEKU bila shuruti
5. Awe mbunifu, mvumilivu na mwenye nidhamu
UONGOZI WA TEKU AMBASSSADORS NJE YA CHUO (WALIOKO
MIKOANI)
TEKU ambassadors walioko mikoani tukimaanisha ambassador waliokwisha hitimu au
ambassador yeyote aliejitolea kua miongoni mwa TEKU ambassodr ila yuko nje ya chuo
watakua na wawakilishi wawili watakaeteuliwa na kikao cha uongozi wa TEKU ambassador
ulioko ndani ya chuo kwa wanaoendelea na kuthibitishwa na ofisi ya PRO na DOS.
Wawakilishi hao watafanya kazi kushirikiana na uongozi wa TEKU ambassador uliopo
chuoni ili kuweka mapendekezo na mrejesho wa kazi wanazofanya.
Mfano TEKU ambassodr wa mkoa flani wanataka kutembelea shule kadhaa wataweza
kuwasiliana na uongozi ulioko chuoni ili kufanya mazungumzo na odis ya PRO na DOS ili
kuwatumia barua ya utambulisho na kuhainisha kazi wanayoenda kuifanya. Hii inaweza
saidia kufanya kazi kwa uhuru na kibali cha chuo ili kazi iende vizuri.
Wawakilishi hao watfahamika kwa jina la “mabalozi wa TEKU nje ya chuo”au “TEKU
ambassadors off campus”
6
Wajumbe wa kikao cha TEKU ambassodors
1. Mwenyekiti
2. Katibu
3. Mshauri wa TEKU ambassador
4. Ofisi ya PRO (Ofisi inaweza toa muwakilishi mmoja au wahusika wake
wakahudhuria wote).
5. Mwanatehama(IT)
Misingi na taratibu ya TEKU ambassadors
1. Kupata wawakilishi wa Kila mkoa.
2. Kupata ambassadors watakaokua wanafanya shughuli za ubalozi wawapo chuoni
3. Ambassadors watakaofanya kazi mikoani waliohitimu
4. Kwa sababu tunakua na ambassadors Kila mwaka hivo kila kuhitimu kunaongezeka
mabalozi mikoani.
5. Ambassadors hao baada ya kikao cha Kwanza cha serikali ya wanafunzi cha kupitisha
majina yao yatakabidhiwa rasmi kwa PRO na DOS kuhakikiwa na kutunzwa kwenye
taarifa za ofisi.
6. Baada ya zoezi namba 5 apo juu kutaandaliwa kikao cha kwanza cha TEKU
ambassodors ili kuchangua viongozi waliohainishwa kwenye andiko hili.
7. Ofisi ya PRO itaombwa iitishe kikao cha matangazo kikiwa na serikali ya wanafunzi,
viongozi wa TEKU ambassodors, TEKU ambassodrs washiriki ili kupitisha agenda ya
semina kwa hawa waliopitishwa na kuandaa vipindi ndani ya semina.
8. Ndani ya semina hiyo kutakua na vipindi vifuatavyo
 Kazi za ambassadors ni zipi,
 Chuo kitamtambuaje ambassador kwenye kazi yake.
9. Mamlaka kuweza kushirikisha ambassadors katika matukio ya chuo kama vile sherehe,
michezo, maonesho na tafrija mbalimbali.
10. Namna mamlaka ya kuwawezesha ambassadors wanaoelekea maeneoyao ya uwakilishi
7
kuwawezesha hata nauli kama sehemu ya motisha.
11. Ambassador waliohitimu kuthaminiwa na kukaribishwa katika mahafari mbalimbali kwa
awamu tofaut mfano chuo kinaweza kuamua mahafari flani kuleta mabalozi 5 na
mahafari mengine 5 hivo hivo ili kila mmoja ashiriki kikamilifu.
12. Ambassador kufanya taratibu za kutembelea advance na Olevel katika nyakati za
masomo mwishoni kutoa vipeperushi na elimu zitolewazo na huduma na chuo na kutoa
mawasiliano yao na kuweka wazi eneo maalumlitakalotumika kuwafanyia maombi ya
chuo.
13. Ambassador anawezawezeshwa kupata internet cafe ambayo chuo kinaweza muwezesha
ili aifanye center ya maombi kwa wanafunzi na kupata fursa ya kuwashawishi kuja Teku.
14. Ambassador awe na account yake instagram, facebook na mitandao mingine ya kijamii
ambako wanakua wamefolow page ya mwenzake na kushirikishana matukio
wanayofanya hivo kua na mvuto kubwa ndani ya mitandao ya kijamii ambapo ndo
center kubwa ya watu.
15. Ambassador watapewa tishetikama sehemu ya uthamani wa ushiriki wao na pia kazi
yao inapoonekana vizuri vyeti kwao ni vya msingi sana.
16. Ambassador watakua na tour mbalimbali kwa ajili ya kutangaza chuo na mambo
mengine yahusuyo chuo.
17. Ambassodor atasikilizwa na kuthaminiwa mawazo yake juu ya changamoto anazokutana
wakati wa kazi na chuo kitakua tayari kuzipokea na kuzifanyia kazi.
Faida za kua mshiriki wa TEKU ambassador
1. Kuongeza thamani yako na kuongeza uhusiano kwa sababu kazi utakayokua unafanya
inaweza kupelekea pia kupata nafasi mbalimbali.
2. Kupitia TEKU ambassador unaweza kupata ajira au kuunganishwa na sehemu ya ajira
kwa sababu naamini nafasi yoyote ikitokea ndani ya chuo au nje ya chuo ni rahisi
kufikikiliwa na kuunganishwa sehemu husika.
3. Utapata uzoefu wa kazi jambo ambalo litakupa umahili na uthubutu wa kukua kifikira.
8
4. Itakupa uhusiano mkubwa sana kupitia mashuleni na maeneo mbalimbali unaweza pata
kibarua uko uko kama kweli unaonesha dhamira ya dhati.
5. Pia itakuwezesha kua mbunifu jambo lenye tija sana ndani ya maisha yako muda
mwingine ukaamua kutangaza biashara zako nyinginezo kupitia fursa hii.
6. Cha muhimu sana ni pale umepata wanafunzi 50 ukazidisha kwa 5000 muda mwingine
maisha yanaenda licha ya kidogo utakachokipata.
7. Chuo nao wanakuthamini sana kamwe hawatakuacha bure kwa sababu wewi ni thamani
sana kwao.
8. Faida nyinginezo unaweza zipata ukiwa umeanza kazi ila zaidi kua na mwenendo mzuri
ili hata yule anaekuona unafanya hii kazi akuamini na kukuthamini kwa kazi yako.
MAFANIKIO YA TEKU AMBASSADOR NI KAMA IFUATAVYO
1. Tumefanikiwa kuunda kamati ya kudumu kwa kuwachagua viongozi ambao ni
mwenyekiti na katibu na kumteua mwanatehama(IT) wa. Teku ambassador
1.1.1. Mwenyekiti: Ndg. Dotto M Hessa
1.1.2. Katibu: Ndg. Fauzi Sumaida
9
1.1.3. Mwanatehama(IT): Ndg. Laurent Kandege
2. Tumefanikiwa kugawa matangazo katika vijiji vyote vya wilaya ya tukuyu na
kyella .mfano ushirikiano,ipinda,k.k kiwila,mtopela na mchangani
3. Tumefanikiwa kugawa matangazo kwenye mabasi yaendayo mikoani mifano
dar,mpanda-katavi,tabora,songea(,masasi,tunduru,mbinga,)mwanza,singida,
dodoma,arusha,kilimanjalo
4. Tumefanikiwa kugawa matangazo kwenye daladala zilizopo hapa mbeya
5. Tumefanikiwa kutangaza matangazo ya chuo kupitia mitandao ya kijamiii
whatssap,youtube,insta, facebook.
6. Tumewatembelea wanajamii na kuwaelimisha na kuwa habarisha juu ya uwepo wa
chuo chetu cha teofilo kisanji-mbeya
7. Tumefanikiwa kuandika cha pisho hili linalo somwa sasa.
8 Tumefanikiwa kugawa vipeperushi vya matangazo kwa wanafunzi wetu wanao safiri na
wanakwenda kugawa mahali wanapo kwenda .
CHANGAMOTO
1 .Uhaba wa fedha tunashindwa kutembeleaa maeneo mbali mbali kwa ajili ya kutangaza
chuo
3. Kutokuwa na usafiri wa kutuwezesha kutembeleaa maeneo mengi
4. Muamko mdogo kwa wanachuo juu ya umuhimu wa kukitangaza chuo
5. Changamoto ya watumishi kukosa huduma nzuri kwa wanafunzi (good customer care
to students)
6.
MAPENDEKEZO
1. Tunapendekeza mwaka wa masomo 2021/2022 tuwe na vituo maalumu vya
kufanyia maombi ya chuo chetu mikoa mbalimbali(application centres)
2. Wanachama wa teku ambassadors wa usishwe kwa asilimia zaidi ya themanini
kwenye zoezi la uundaji wa vituo vyakufanyia maombi (application
centres)kwasababu ya uwezo na misingi ya uzalendo ambao watakua
10
wamejengewa
3. Wanachama wa teku ambassadors wahusishwe kwenye shughuli mbalimbali
za ndani na nje ya chuo ili kuongeza uweledi wa chuo
4. Tunapendekeza uongozi wa chuo kua na fungu kwaajili ya shughuli ya
kukitangaza chuo pale inapoitajika kwa mfano safari na uwezeshwaji kwa
watu ambao watakua kwenye vituo vya maombi(application centres)
5. Tunapendekeza kupatiwa computer moja na printer chini ya usimamizi wa
ofisi ya mwenyekiti wa kamati ya matangazo (P R O OFFCE) ili
kuwezesha uandaaji na upatikanaji wa matangazo na vipeperushi kwa wakati
na urahisi
6. Tunapendekeza wanachama wa teku ambassador kupatiwa t-shirt, na ishara ya
utambulisho(vitambulisho au barua) ili kurahisisha kazi
7. Tunapendekeza watumishi kutuunga mkono kwa kufatilia mitandao yetu ya
kijamii kama ‘youtube teku ambassador’ na ‘instragram teku
ambassador’
8. Tunaomba uongozi wa chuo kuweka uelimishaji endelevu kwa watumishi
kuhusu huduma nzuri kwa wanafunzi(good customer care for students)
MABALOZI WA CHUO WANAOENDELEANACHUO
JINA NAMBA YA SIMU MKOA
01
.
BEATRICE PHILIPO 0745416232 TABORA
02
.
SCOLASTICA MATHIAS 0710432881 DOOMA
03 DAVID MISALA 0759466315 RUKWA
11
.
04
.
HAWA HAMIS MOHAMMED 0627670545 DAR-ES-SALAAM
05
.
EMMANUEL .N.NAMINDIA 0621219734 ARUSHA.
06
.
EMMANUEL BENAMIN 0753458165 MTWARA.
07
.
WINFRIDA MWASAKAFYUKA 0758082493 /0622472079 MOROGORO.
08
.
MUSSA MUHAGAMA 0745809043 NJOMBE
09
.
AMANI LOISULIE 0766903533 ARUSHA
10
.
MBINDI FRANCE 0625729280 SONGWE
11
.
SAGWE ATHUMANI 062236772 KIGOMA
12
.
STARLONE GOSBERT 0622336772 DAR-ES-SALAAM
13
.
DOTTO HESSA 0627565168 SIMIYU
14
.
ESTHER MWANDAGASYA 0758295526 RUKWA
15
.
ANANIA S. MWAMBOGOLO 0627552197 SONGWE
16
.
FEBI P. SWILA 0622846015 SONGWE
17
.
EVODIA ERNEST 0745456157 KIGOMA
12
18
.
MUSSA MGWASSA 0763154151 PWANI
19
.
EXAVERY SINGOYI 0627841457 MBEYA
20
.
OMARY HASSAN 0623631964 LINDI
21
.
MAPINDUZI MHINDI 0759963273 SINGIDA
22
.
EFRAHIMU MWAMBONA 0629352081 RUNGWE-ILEJE
23
.
HILDA V FUTE 0758554229 RUVUMA
24
.
GLORIA MADUNDA 0769146311 NJOMBE
25
.
FAUZI SUMAIDA 0744105407 BUKOBA
MABALOZI WA CHUO WALIOMALIZA CHUO
JINA NAMBA YA SIMU MKOA
1. ELIZABETH NYIVAMBE 0757299755 MBEYA
2. GRACE MWAKASENDILE 0656056791 MBEYA
3. LAUDENCE SIMKONDA 0759359478 MBEYA
4. AWADH HAULE 0766762103 MBEYA
5. EDWARD KATAGWA 0754238500 KATAVI
6. WILLIAM J UVAMBE 0713333531 /0764294389 IRINGA
7. SIPHA KIMOTO 0743401428 IRINGA
13
8. AMINA MANGAPI 0683491536 DAR-ES-SALAAM
9. EVELINE EMMANUEL 0620689796 SHINYANGA
10. AMOSI EZEKIEL 0763535448 GEITA
11. MUSSA KALINGA 0755553405 DAR-S-SALAAM
“Nidhamu inaweza kukupa chochote maishani hata usichostahili
kupewa tuitunze wakati wa kazi yetu”
“Nidhamuni daraja linalotenganisha kati ya malengona mafanikio
yako”.
TEOFILO KISANJI NI SEHEMU YA MAFUNZO KWA MAISHA BORA
NYOTE MNAKARIBISHWA.

More Related Content

More from ITNet

Ia 124 1621324160 ia_124_lecture_02
Ia 124 1621324160 ia_124_lecture_02Ia 124 1621324160 ia_124_lecture_02
Ia 124 1621324160 ia_124_lecture_02ITNet
 
Ia 124 1621324143 ia_124_lecture_01
Ia 124 1621324143 ia_124_lecture_01Ia 124 1621324143 ia_124_lecture_01
Ia 124 1621324143 ia_124_lecture_01ITNet
 
Cp 121 lecture 01
Cp 121 lecture 01Cp 121 lecture 01
Cp 121 lecture 01ITNet
 
Cp 111 5 week
Cp 111 5 weekCp 111 5 week
Cp 111 5 weekITNet
 
Tn 110 lecture 8
Tn 110 lecture 8Tn 110 lecture 8
Tn 110 lecture 8ITNet
 
Tn 110 lecture 2 logic
Tn 110 lecture 2 logicTn 110 lecture 2 logic
Tn 110 lecture 2 logicITNet
 
Tn 110 lecture 1 logic
Tn 110 lecture 1 logicTn 110 lecture 1 logic
Tn 110 lecture 1 logicITNet
 
internet
internetinternet
internetITNet
 
Im 111 lecture 1
Im 111   lecture 1Im 111   lecture 1
Im 111 lecture 1ITNet
 
development study perspective full
development study perspective fulldevelopment study perspective full
development study perspective fullITNet
 
Gender issues in developement
Gender issues in developementGender issues in developement
Gender issues in developementITNet
 
Religion
ReligionReligion
ReligionITNet
 
Development studies 103 conflict and peace studies
Development studies 103 conflict and peace studiesDevelopment studies 103 conflict and peace studies
Development studies 103 conflict and peace studiesITNet
 
Computer programing 111 lecture 1
Computer programing 111 lecture 1 Computer programing 111 lecture 1
Computer programing 111 lecture 1 ITNet
 
Computer programing 111 lecture 3
Computer programing 111 lecture 3Computer programing 111 lecture 3
Computer programing 111 lecture 3ITNet
 
Computer programing 111 lecture 2
Computer programing 111 lecture 2Computer programing 111 lecture 2
Computer programing 111 lecture 2ITNet
 
Lecture information technology
Lecture information technologyLecture information technology
Lecture information technologyITNet
 
Development study notes
Development study notes Development study notes
Development study notes ITNet
 
Listening
ListeningListening
ListeningITNet
 
development study
development studydevelopment study
development studyITNet
 

More from ITNet (20)

Ia 124 1621324160 ia_124_lecture_02
Ia 124 1621324160 ia_124_lecture_02Ia 124 1621324160 ia_124_lecture_02
Ia 124 1621324160 ia_124_lecture_02
 
Ia 124 1621324143 ia_124_lecture_01
Ia 124 1621324143 ia_124_lecture_01Ia 124 1621324143 ia_124_lecture_01
Ia 124 1621324143 ia_124_lecture_01
 
Cp 121 lecture 01
Cp 121 lecture 01Cp 121 lecture 01
Cp 121 lecture 01
 
Cp 111 5 week
Cp 111 5 weekCp 111 5 week
Cp 111 5 week
 
Tn 110 lecture 8
Tn 110 lecture 8Tn 110 lecture 8
Tn 110 lecture 8
 
Tn 110 lecture 2 logic
Tn 110 lecture 2 logicTn 110 lecture 2 logic
Tn 110 lecture 2 logic
 
Tn 110 lecture 1 logic
Tn 110 lecture 1 logicTn 110 lecture 1 logic
Tn 110 lecture 1 logic
 
internet
internetinternet
internet
 
Im 111 lecture 1
Im 111   lecture 1Im 111   lecture 1
Im 111 lecture 1
 
development study perspective full
development study perspective fulldevelopment study perspective full
development study perspective full
 
Gender issues in developement
Gender issues in developementGender issues in developement
Gender issues in developement
 
Religion
ReligionReligion
Religion
 
Development studies 103 conflict and peace studies
Development studies 103 conflict and peace studiesDevelopment studies 103 conflict and peace studies
Development studies 103 conflict and peace studies
 
Computer programing 111 lecture 1
Computer programing 111 lecture 1 Computer programing 111 lecture 1
Computer programing 111 lecture 1
 
Computer programing 111 lecture 3
Computer programing 111 lecture 3Computer programing 111 lecture 3
Computer programing 111 lecture 3
 
Computer programing 111 lecture 2
Computer programing 111 lecture 2Computer programing 111 lecture 2
Computer programing 111 lecture 2
 
Lecture information technology
Lecture information technologyLecture information technology
Lecture information technology
 
Development study notes
Development study notes Development study notes
Development study notes
 
Listening
ListeningListening
Listening
 
development study
development studydevelopment study
development study
 

Teofilo kisanji university mbeya (TEKU) ambassador 2020

  • 1. i CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI (TEKU) “Mafunzo kwa Maisha Bora” TEKU AMBASSODORS IMEANDALIWA NA RIBERATUS PHILIPO ANDIKO NAMBA 1 KUSHIRIKIANA NA 1. OFISI YA PRO 2. OFISI YA DOS 3. OFISI YA SERIKALI YA WANAFUNZI S.L.P. 1104, MBEYA, TANZANIA Simu: +255 25 2502682 Faksi: +255 25 2503721
  • 2. ii Barua pepe: info@teku.ac.tz Tovuti: www.teku.ac.tz SEPTEMBA, 2020 YALIYOMO SHUKRANI...............................................................................................................................iii UFUPISHO WA MANENO...................................................................................................... iv UTANGULIZI ...........................................................................................................................1 TEKU AMBASSADORS ..........................................................................................................3 Teku ambassadors ni nini? .........................................................................................................3 Nani aitwe Teku ambassador?....................................................................................................3 Uongozi wa teku ambassadors...................................................................................................3 1. Mwenyekiti wa teku ambassador atapatikanaje? ...................................................................3 Vigezo ........................................................................................................................................4 2. Katibu WA TEKU ambassodors.............................................................................................4 Vigezo ........................................................................................................................................4 3. Mshauri wa TEKU ambassador .............................................................................................4
  • 3. iii UONGOZI WA TEKU AMBASSSADORS NJE YA CHUO (WALIOKO MIKOANI)...........5 Wajumbe wa kikao cha TEKU ambassodors .............................................................................6 Misingi na taratibu ya TEKU ambassadors ...............................................................................6 Faida za kua mshiriki wa TEKU ambassador............................................................................7 MABALOZI WA CHUO WANAOENDELEA NA CHUO ....................................................10 MABALOZI WA CHUO WALIOMALIZA CHUO................................................................12 SHUKRANI Kwa namna ya pekee napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia afya na maono ambayo nimeweza kuyaweka katika maandishi. Kipekee nashukurru uopngozi wa Chuo Kikuu Teofilo Kisanji kwa kunilea tangu nimefika bila kujali madhaifu yangu bali kunifanya niyatazame mema na kuona fursa mbalimbali. Napenda shukrani za kipekee zimuendee makamu mkuu wa chuo Prof. Herman J. Mwansoko na uongozi wa Moravian kwa kuendelea kuona na kubuni namna mbalimbali ambazo teku inaweza kusimama bila changamoto inazopitia. Hali kadharika napenda shukrani za kipekee ziwafikie wafuatao. 1. Prof. Tuli Kasimoto Kitengo cha Taaluma 2. Dr. John Msindai Kitengo cha Fedha na Mipango 3. Rev. Mary Kategile Kitengo cha Elimu Endelevu. 4. Nina Kibasa Kitengo cha Uhusiano
  • 4. iv 5. Ofisi ya Mlezi wa Wanafunzin chini ya Miss. Stella Seif 6. Serikali ya wanafunzi wa TEKU 7. Ofisi zote zilizoko ndasni ya chuo naamini kipekee zimekua msaaada mkubwa sana. Aidha, napenda kuwashukuru wote tulioshirikiana kwa pamoja kuwatafuta TEKU ambassodors bila kuwasahau 1. Musa Kalinga mwanafunzi aliehitimu ngazi ya 6 usimamizi wa biashara 2. Rais serikali ya wanafunzi ya 2020/2021 Mussa Mgwasa 3. Wanafunzi washiriki wa TEKU ambassadors Nipende kuhitimisha kua kuishi kwa ajili ya wengine ndio maisha yenye maana na kusudi la juu kabisa chini ya jua, kuna haja ya kua na utume kama wa Ezra na Nehemia kwenye Biblia walioeweza kuwatoa Israel kutoka utumwani Babeli kurejea kwao Jerusalem. UFUPISHO WA MANENO DOS –Mlezi wa wanafunzi PRO-ofisi ya habari na mahusiano TEKU -Teofilo Kisanji University
  • 5. v
  • 6. 1 UTANGULIZI “Kama ua halistawi vizuri yakupasa kurekebisha mazingira ya bustani sio ua” Chuo Kikuu Teofilo Kisanji Mbeya ni chuo ambacho kimejikita kutoa elimu bora na chuo kianzilishi kwa vyuo vikuu mkoani Mbeya. Chuo kimeanzishwa mwaka 2007 kikiwa na uthubutu mkubwa sana na weledi wa kutoa elimu thabiti uku kauli mbiu yake ikiwa ni mafunzo kwa maisha bora. Chuo kilianza kupata changamoto mbalimbali kutokana na sababu kadha wa kadha ambazo zilipelekea chuo kupata idadi ndogo ya wanafunzi wasioendana na idadi tarajali. Aidha mawazo haya ni mawazo kama mengine kwa namna ambayo chuo kinaweza yapokea na kuyakubali kwa ajili ya kukitangaza na kuweza kuwafikia watanzania mbalimbali ili kwa kiasi flani kuongeza idadi ya wanafunzi kama taasisi zingine za kielimu. Napenda kutumia maneno yafuatayo ndani ya utangulizi wa andiko hili “Haikuhitaji kua na muonekano mzuri ili uwe na wafuasi wengi hata Mahtamu Gandhi aliekua na sura mbayazaidi duniani alikua na wafuasi wengi”. “Haikuhitaji kua muongeaji sana ili kupata wafuasi wengi hata Musa alikua na kigugumizi ila alipata wafuasi wengi na kuliongoza taifa la Israel”. “Haikuhitaji kua na ngozi kama ya mzungu ili uwe na wafuasi wengi hata Martin Luter na Nelson Mandela walifanikiwa kuungwa mkono na watu wengi licha ya kua na ngozi nyeusi”. “Haikuhitaji kua namali nyingi ili kua na wafuasi maana hata Yesu alizaliwa kwenye familia masikini na yenye historia duni lakini alikua na wafuasi zaidi ya 1.5 billioni wanaomwamini”.
  • 7. 2 “Haikuhitaji elimu kubwa ili kua na wafuasi wengi au kiongozi maana hata Abraham Lincoln hakua na msingi mzuri wa elimu lakini ndio alikua Rais bora wa Taifa kubwa na imara la Marekani”. “Haikuhitaji umri mkubwa ili ukubalike maana hata John Kenedy alikua kijana mdogo alikubbalika sana nchini Marekerni”. “Hivyo unahitaji kua na sifa bora za kiongozi ambazo huibuliwa vyema katika kipindi cha changamoto binafsi, za kijamii, kiuchumi, kisiasa,au hata kiimani”. Kipindi cha changamoto kama hiki chuo kinazopitia yatufaa zaidi kustawisha nia njema na mtazamo sahihi. Itoshe kuhitimisha utangulizi kwa kusema kua kukutana pamopja ni mwanzo,kudumu pamoja ni maendeleo,kufanya kazi pamoja ni mafanikio.
  • 8. 3 TEKU AMBASSADORS Tekuambassadors ni nini? Teku ambassadors ni neno lililotumika kama neno la kingereza likimaanisha mabalozi wa Chuo kikuu Teofilo Kisanji. Nani aitwe Tekuambassador? Teku ambassador ni mwanafunzi wa TEKU aliehitimu au anaendelea, anaweza kua mtu yeyote asie mwanafunzi au akawa mtumishi wa TEKU alie tayari na kuthibitika kua ana utayari na moyo wa dhati wa kusaidia chuo kikuu cha Teofilo Kisanji katika nyanja kuu mbili. 1. Kukitangaza chuo kikuu teofilo kisanji ndani na je ya mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kupata wanafunzi kama ilivo taasisi ya kielimu 2. Kusaidia mawazo ya kujenga na kushiriki kwa hiyari shughuli zitakazo mhitaji kufanya hivo kwa niaba ya chuo. Uongozi wa TEKU ambassadors Teku ambassador itakua na uongozi wake utakaokua na nafasi kuu tatu 1. Mwenyekiti wa TEKU ambassador ndani ya chuo 2. Katibu wa TEKU ambassador ndani ya chuo 3. Mshauri wa TEKU ambassador ndani ya chuo 4. Mwanatehama(IT) 1. Mwenyekitiwa TEKU ambassador atapatikanaje? Mwenyekiti wa teku ambassador atapatikana kwa kuchaguliwa na ambassodors WA TEKU
  • 9. 4 Vigezo  Awe mshiriki hai wa TEKU ambassodors  Awe ni mwanafunzi halali wa TEKU anaeendelea na masomo  Awe ni mzalendo wa kweli kwa niaba ya TEKU  Awe ni mtu wa kijituma ,mchapa kazi na mpenda maendeleo ya TEKU bila shuruti  Asiwe na cheo chochote ndani ya serikali ya wanafunzi  Awe mbunifu, mvumilivu na mwenye nidhamu  Anaweza kua wa jinsia yoyote.  Asiwe mtu wa kuribuniwa kwa tamaa za fedha na yuko tayari kusimama na TEKU kwa halil yoyote ile. 2. Katibu WATEKU ambassodors Katibu wa teku ambassadors atapatikana kwa kuchaguliwa na ambassodors wa TEKU Vigezo  Awe mshiriki hai wa TEKU ambassador  Awe ni mwanafunzi halali wa TEKU anaeendelea na masomo  Awe ni mzalendo wa kweli kwa niaba ya TEKU  Awe ni mtu wa kijituma, mchapa kazi na mpenda maendeleo ya TEKU bila shuruti  Asiwe na cheo chochote ndani ya serikali ya wanafunzi  Awe mbunifu, mvumilivu na mwenye nidhamu  Anaweza kua wa jinsia yoyote. 3. Mshauri wa TEKU ambassador Mshauri hatochaguliwa na TEKU ambassador bali atakua ni rais wa serikali ya wanafuniz ilioko madarakani akishirikiana na makamu wake. 4.Mwanatehama(IT)
  • 10. 5 Vigezo 1. Awe mshiriki hai wa TEKU ambassador 2. Awe ni mzalendo wa kweli kwa niaba ya TEKU 3. Awe ni mwanafunzi halali wa TEKU anaeendelea au aliehitimu na anapatikana mda wote kwenye mazingira ya chuo 4. Awe ni mtu wa kijituma, mchapa kazi na mpenda maendeleo ya TEKU bila shuruti 5. Awe mbunifu, mvumilivu na mwenye nidhamu UONGOZI WA TEKU AMBASSSADORS NJE YA CHUO (WALIOKO MIKOANI) TEKU ambassadors walioko mikoani tukimaanisha ambassador waliokwisha hitimu au ambassador yeyote aliejitolea kua miongoni mwa TEKU ambassodr ila yuko nje ya chuo watakua na wawakilishi wawili watakaeteuliwa na kikao cha uongozi wa TEKU ambassador ulioko ndani ya chuo kwa wanaoendelea na kuthibitishwa na ofisi ya PRO na DOS. Wawakilishi hao watafanya kazi kushirikiana na uongozi wa TEKU ambassador uliopo chuoni ili kuweka mapendekezo na mrejesho wa kazi wanazofanya. Mfano TEKU ambassodr wa mkoa flani wanataka kutembelea shule kadhaa wataweza kuwasiliana na uongozi ulioko chuoni ili kufanya mazungumzo na odis ya PRO na DOS ili kuwatumia barua ya utambulisho na kuhainisha kazi wanayoenda kuifanya. Hii inaweza saidia kufanya kazi kwa uhuru na kibali cha chuo ili kazi iende vizuri. Wawakilishi hao watfahamika kwa jina la “mabalozi wa TEKU nje ya chuo”au “TEKU ambassadors off campus”
  • 11. 6 Wajumbe wa kikao cha TEKU ambassodors 1. Mwenyekiti 2. Katibu 3. Mshauri wa TEKU ambassador 4. Ofisi ya PRO (Ofisi inaweza toa muwakilishi mmoja au wahusika wake wakahudhuria wote). 5. Mwanatehama(IT) Misingi na taratibu ya TEKU ambassadors 1. Kupata wawakilishi wa Kila mkoa. 2. Kupata ambassadors watakaokua wanafanya shughuli za ubalozi wawapo chuoni 3. Ambassadors watakaofanya kazi mikoani waliohitimu 4. Kwa sababu tunakua na ambassadors Kila mwaka hivo kila kuhitimu kunaongezeka mabalozi mikoani. 5. Ambassadors hao baada ya kikao cha Kwanza cha serikali ya wanafunzi cha kupitisha majina yao yatakabidhiwa rasmi kwa PRO na DOS kuhakikiwa na kutunzwa kwenye taarifa za ofisi. 6. Baada ya zoezi namba 5 apo juu kutaandaliwa kikao cha kwanza cha TEKU ambassodors ili kuchangua viongozi waliohainishwa kwenye andiko hili. 7. Ofisi ya PRO itaombwa iitishe kikao cha matangazo kikiwa na serikali ya wanafunzi, viongozi wa TEKU ambassodors, TEKU ambassodrs washiriki ili kupitisha agenda ya semina kwa hawa waliopitishwa na kuandaa vipindi ndani ya semina. 8. Ndani ya semina hiyo kutakua na vipindi vifuatavyo  Kazi za ambassadors ni zipi,  Chuo kitamtambuaje ambassador kwenye kazi yake. 9. Mamlaka kuweza kushirikisha ambassadors katika matukio ya chuo kama vile sherehe, michezo, maonesho na tafrija mbalimbali. 10. Namna mamlaka ya kuwawezesha ambassadors wanaoelekea maeneoyao ya uwakilishi
  • 12. 7 kuwawezesha hata nauli kama sehemu ya motisha. 11. Ambassador waliohitimu kuthaminiwa na kukaribishwa katika mahafari mbalimbali kwa awamu tofaut mfano chuo kinaweza kuamua mahafari flani kuleta mabalozi 5 na mahafari mengine 5 hivo hivo ili kila mmoja ashiriki kikamilifu. 12. Ambassador kufanya taratibu za kutembelea advance na Olevel katika nyakati za masomo mwishoni kutoa vipeperushi na elimu zitolewazo na huduma na chuo na kutoa mawasiliano yao na kuweka wazi eneo maalumlitakalotumika kuwafanyia maombi ya chuo. 13. Ambassador anawezawezeshwa kupata internet cafe ambayo chuo kinaweza muwezesha ili aifanye center ya maombi kwa wanafunzi na kupata fursa ya kuwashawishi kuja Teku. 14. Ambassador awe na account yake instagram, facebook na mitandao mingine ya kijamii ambako wanakua wamefolow page ya mwenzake na kushirikishana matukio wanayofanya hivo kua na mvuto kubwa ndani ya mitandao ya kijamii ambapo ndo center kubwa ya watu. 15. Ambassador watapewa tishetikama sehemu ya uthamani wa ushiriki wao na pia kazi yao inapoonekana vizuri vyeti kwao ni vya msingi sana. 16. Ambassador watakua na tour mbalimbali kwa ajili ya kutangaza chuo na mambo mengine yahusuyo chuo. 17. Ambassodor atasikilizwa na kuthaminiwa mawazo yake juu ya changamoto anazokutana wakati wa kazi na chuo kitakua tayari kuzipokea na kuzifanyia kazi. Faida za kua mshiriki wa TEKU ambassador 1. Kuongeza thamani yako na kuongeza uhusiano kwa sababu kazi utakayokua unafanya inaweza kupelekea pia kupata nafasi mbalimbali. 2. Kupitia TEKU ambassador unaweza kupata ajira au kuunganishwa na sehemu ya ajira kwa sababu naamini nafasi yoyote ikitokea ndani ya chuo au nje ya chuo ni rahisi kufikikiliwa na kuunganishwa sehemu husika. 3. Utapata uzoefu wa kazi jambo ambalo litakupa umahili na uthubutu wa kukua kifikira.
  • 13. 8 4. Itakupa uhusiano mkubwa sana kupitia mashuleni na maeneo mbalimbali unaweza pata kibarua uko uko kama kweli unaonesha dhamira ya dhati. 5. Pia itakuwezesha kua mbunifu jambo lenye tija sana ndani ya maisha yako muda mwingine ukaamua kutangaza biashara zako nyinginezo kupitia fursa hii. 6. Cha muhimu sana ni pale umepata wanafunzi 50 ukazidisha kwa 5000 muda mwingine maisha yanaenda licha ya kidogo utakachokipata. 7. Chuo nao wanakuthamini sana kamwe hawatakuacha bure kwa sababu wewi ni thamani sana kwao. 8. Faida nyinginezo unaweza zipata ukiwa umeanza kazi ila zaidi kua na mwenendo mzuri ili hata yule anaekuona unafanya hii kazi akuamini na kukuthamini kwa kazi yako. MAFANIKIO YA TEKU AMBASSADOR NI KAMA IFUATAVYO 1. Tumefanikiwa kuunda kamati ya kudumu kwa kuwachagua viongozi ambao ni mwenyekiti na katibu na kumteua mwanatehama(IT) wa. Teku ambassador 1.1.1. Mwenyekiti: Ndg. Dotto M Hessa 1.1.2. Katibu: Ndg. Fauzi Sumaida
  • 14. 9 1.1.3. Mwanatehama(IT): Ndg. Laurent Kandege 2. Tumefanikiwa kugawa matangazo katika vijiji vyote vya wilaya ya tukuyu na kyella .mfano ushirikiano,ipinda,k.k kiwila,mtopela na mchangani 3. Tumefanikiwa kugawa matangazo kwenye mabasi yaendayo mikoani mifano dar,mpanda-katavi,tabora,songea(,masasi,tunduru,mbinga,)mwanza,singida, dodoma,arusha,kilimanjalo 4. Tumefanikiwa kugawa matangazo kwenye daladala zilizopo hapa mbeya 5. Tumefanikiwa kutangaza matangazo ya chuo kupitia mitandao ya kijamiii whatssap,youtube,insta, facebook. 6. Tumewatembelea wanajamii na kuwaelimisha na kuwa habarisha juu ya uwepo wa chuo chetu cha teofilo kisanji-mbeya 7. Tumefanikiwa kuandika cha pisho hili linalo somwa sasa. 8 Tumefanikiwa kugawa vipeperushi vya matangazo kwa wanafunzi wetu wanao safiri na wanakwenda kugawa mahali wanapo kwenda . CHANGAMOTO 1 .Uhaba wa fedha tunashindwa kutembeleaa maeneo mbali mbali kwa ajili ya kutangaza chuo 3. Kutokuwa na usafiri wa kutuwezesha kutembeleaa maeneo mengi 4. Muamko mdogo kwa wanachuo juu ya umuhimu wa kukitangaza chuo 5. Changamoto ya watumishi kukosa huduma nzuri kwa wanafunzi (good customer care to students) 6. MAPENDEKEZO 1. Tunapendekeza mwaka wa masomo 2021/2022 tuwe na vituo maalumu vya kufanyia maombi ya chuo chetu mikoa mbalimbali(application centres) 2. Wanachama wa teku ambassadors wa usishwe kwa asilimia zaidi ya themanini kwenye zoezi la uundaji wa vituo vyakufanyia maombi (application centres)kwasababu ya uwezo na misingi ya uzalendo ambao watakua
  • 15. 10 wamejengewa 3. Wanachama wa teku ambassadors wahusishwe kwenye shughuli mbalimbali za ndani na nje ya chuo ili kuongeza uweledi wa chuo 4. Tunapendekeza uongozi wa chuo kua na fungu kwaajili ya shughuli ya kukitangaza chuo pale inapoitajika kwa mfano safari na uwezeshwaji kwa watu ambao watakua kwenye vituo vya maombi(application centres) 5. Tunapendekeza kupatiwa computer moja na printer chini ya usimamizi wa ofisi ya mwenyekiti wa kamati ya matangazo (P R O OFFCE) ili kuwezesha uandaaji na upatikanaji wa matangazo na vipeperushi kwa wakati na urahisi 6. Tunapendekeza wanachama wa teku ambassador kupatiwa t-shirt, na ishara ya utambulisho(vitambulisho au barua) ili kurahisisha kazi 7. Tunapendekeza watumishi kutuunga mkono kwa kufatilia mitandao yetu ya kijamii kama ‘youtube teku ambassador’ na ‘instragram teku ambassador’ 8. Tunaomba uongozi wa chuo kuweka uelimishaji endelevu kwa watumishi kuhusu huduma nzuri kwa wanafunzi(good customer care for students) MABALOZI WA CHUO WANAOENDELEANACHUO JINA NAMBA YA SIMU MKOA 01 . BEATRICE PHILIPO 0745416232 TABORA 02 . SCOLASTICA MATHIAS 0710432881 DOOMA 03 DAVID MISALA 0759466315 RUKWA
  • 16. 11 . 04 . HAWA HAMIS MOHAMMED 0627670545 DAR-ES-SALAAM 05 . EMMANUEL .N.NAMINDIA 0621219734 ARUSHA. 06 . EMMANUEL BENAMIN 0753458165 MTWARA. 07 . WINFRIDA MWASAKAFYUKA 0758082493 /0622472079 MOROGORO. 08 . MUSSA MUHAGAMA 0745809043 NJOMBE 09 . AMANI LOISULIE 0766903533 ARUSHA 10 . MBINDI FRANCE 0625729280 SONGWE 11 . SAGWE ATHUMANI 062236772 KIGOMA 12 . STARLONE GOSBERT 0622336772 DAR-ES-SALAAM 13 . DOTTO HESSA 0627565168 SIMIYU 14 . ESTHER MWANDAGASYA 0758295526 RUKWA 15 . ANANIA S. MWAMBOGOLO 0627552197 SONGWE 16 . FEBI P. SWILA 0622846015 SONGWE 17 . EVODIA ERNEST 0745456157 KIGOMA
  • 17. 12 18 . MUSSA MGWASSA 0763154151 PWANI 19 . EXAVERY SINGOYI 0627841457 MBEYA 20 . OMARY HASSAN 0623631964 LINDI 21 . MAPINDUZI MHINDI 0759963273 SINGIDA 22 . EFRAHIMU MWAMBONA 0629352081 RUNGWE-ILEJE 23 . HILDA V FUTE 0758554229 RUVUMA 24 . GLORIA MADUNDA 0769146311 NJOMBE 25 . FAUZI SUMAIDA 0744105407 BUKOBA MABALOZI WA CHUO WALIOMALIZA CHUO JINA NAMBA YA SIMU MKOA 1. ELIZABETH NYIVAMBE 0757299755 MBEYA 2. GRACE MWAKASENDILE 0656056791 MBEYA 3. LAUDENCE SIMKONDA 0759359478 MBEYA 4. AWADH HAULE 0766762103 MBEYA 5. EDWARD KATAGWA 0754238500 KATAVI 6. WILLIAM J UVAMBE 0713333531 /0764294389 IRINGA 7. SIPHA KIMOTO 0743401428 IRINGA
  • 18. 13 8. AMINA MANGAPI 0683491536 DAR-ES-SALAAM 9. EVELINE EMMANUEL 0620689796 SHINYANGA 10. AMOSI EZEKIEL 0763535448 GEITA 11. MUSSA KALINGA 0755553405 DAR-S-SALAAM “Nidhamu inaweza kukupa chochote maishani hata usichostahili kupewa tuitunze wakati wa kazi yetu” “Nidhamuni daraja linalotenganisha kati ya malengona mafanikio yako”. TEOFILO KISANJI NI SEHEMU YA MAFUNZO KWA MAISHA BORA NYOTE MNAKARIBISHWA.