SlideShare a Scribd company logo
1 of 6
PUBLIC
PIN (Kiswahili Version)
PUBLIC
PIN ni nini?
PIN ni nambari ya kipekee inayochukuliwa na mtu binafsi au biashara
ya aina ya kampuni, kilabu, Trust na kadhaalika kwa madhumuni ya
kufanya bisahara na KRA, wakala wengine wa serikali na watoa
huduma.
PUBLIC
Nani anapaswa kuwa na PIN?
Ni sharti kila mtu ambaye ana mapato yanayolipiwa ushuru au mtu yeyote
amabaye Kamishna anaweza kuhitaji, kuwa na PIN.
Halikadhalika,
1. Ushirikiano amabao si mume na mke lazima uwe na PIN.
2. Katika Umiliki wa pekee, PIN ya mmiliki hutumika katika shughuli zote.
3. Kinyume na watu wanavyofikiria, PIN si ushuru.
PUBLIC
Unachohitaji kujisalisha PIN
Sharti uwe na hati halalai (kitambulisho kama wewe ni mkenya, Alien
ID kama wewe si mkenya halisi lakini ni mkaazi nchini Kenya, pasipoti
kama wewe si mkenya wala mkaazi nchini kenya na cheti cha biashara
kama ni kampuni.
PUBLIC
Je, Ni wakati gani mtu anaweza pata PIN ya KRA?
Unaweaza jisajili unapopata vyeti halali vinavyo hitajika. Kwa
mfano, kitambulisho kwa mkenya , cheti cha biashara.
PUBLIC
Wajibu wa mlipa ushuru.
1. Kujisajilisha kama mlipa ushuru
2. Kujaza mapato yako inavyostahili
3. Kulipa ushuru na faini
4. Kushirikiana na maafisa wa KRA

More Related Content

More from Kenya Revenue Authority (20)

iTax Online e-Services
iTax Online e-Services  iTax Online e-Services
iTax Online e-Services
 
VTDP
VTDPVTDP
VTDP
 
KRA overview
KRA overview KRA overview
KRA overview
 
Authorized Economic Operators(AEO)
Authorized Economic Operators(AEO)Authorized Economic Operators(AEO)
Authorized Economic Operators(AEO)
 
Importation of motor vehicles
Importation of motor vehiclesImportation of motor vehicles
Importation of motor vehicles
 
Turnover Tax Amendments
Turnover Tax AmendmentsTurnover Tax Amendments
Turnover Tax Amendments
 
Minimum Tax
Minimum Tax Minimum Tax
Minimum Tax
 
Tax Debt
Tax DebtTax Debt
Tax Debt
 
Waiver Application
 Waiver Application Waiver Application
Waiver Application
 
Turnover
TurnoverTurnover
Turnover
 
MRI slideshare
MRI slideshareMRI slideshare
MRI slideshare
 
Refunds slide share for uploading
Refunds slide share for uploadingRefunds slide share for uploading
Refunds slide share for uploading
 
Withholding tax on rental income
Withholding tax on rental incomeWithholding tax on rental income
Withholding tax on rental income
 
Corporation Tax
Corporation Tax Corporation Tax
Corporation Tax
 
Withholding vat 1
Withholding vat 1Withholding vat 1
Withholding vat 1
 
Excise goods slide
Excise goods slideExcise goods slide
Excise goods slide
 
Paye slide share
Paye slide sharePaye slide share
Paye slide share
 
Trading Across Boarders slide share
Trading Across Boarders slide share Trading Across Boarders slide share
Trading Across Boarders slide share
 
Finance act content
Finance act contentFinance act content
Finance act content
 
KRA Annual Revenue Performance Report 2019/2020
KRA Annual Revenue Performance Report 2019/2020KRA Annual Revenue Performance Report 2019/2020
KRA Annual Revenue Performance Report 2019/2020
 

Slideshare on PIN (kiswahili)

  • 2. PUBLIC PIN ni nini? PIN ni nambari ya kipekee inayochukuliwa na mtu binafsi au biashara ya aina ya kampuni, kilabu, Trust na kadhaalika kwa madhumuni ya kufanya bisahara na KRA, wakala wengine wa serikali na watoa huduma.
  • 3. PUBLIC Nani anapaswa kuwa na PIN? Ni sharti kila mtu ambaye ana mapato yanayolipiwa ushuru au mtu yeyote amabaye Kamishna anaweza kuhitaji, kuwa na PIN. Halikadhalika, 1. Ushirikiano amabao si mume na mke lazima uwe na PIN. 2. Katika Umiliki wa pekee, PIN ya mmiliki hutumika katika shughuli zote. 3. Kinyume na watu wanavyofikiria, PIN si ushuru.
  • 4. PUBLIC Unachohitaji kujisalisha PIN Sharti uwe na hati halalai (kitambulisho kama wewe ni mkenya, Alien ID kama wewe si mkenya halisi lakini ni mkaazi nchini Kenya, pasipoti kama wewe si mkenya wala mkaazi nchini kenya na cheti cha biashara kama ni kampuni.
  • 5. PUBLIC Je, Ni wakati gani mtu anaweza pata PIN ya KRA? Unaweaza jisajili unapopata vyeti halali vinavyo hitajika. Kwa mfano, kitambulisho kwa mkenya , cheti cha biashara.
  • 6. PUBLIC Wajibu wa mlipa ushuru. 1. Kujisajilisha kama mlipa ushuru 2. Kujaza mapato yako inavyostahili 3. Kulipa ushuru na faini 4. Kushirikiana na maafisa wa KRA