More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
Taifa jumapili uongozi launch
1. 2 TAIFA JUMAPILI
Septemba 23, 2012
Kampuni ya umeme katika zogo la ardhi Kwale Wazuia siasa
WAKAZI wa maeneo ya Nyari ka-
tika jimbo la Kwale wametatizwa
na hatua ya Kampuni ya Umeme
Na AMINA KIBIRIGE
vitambulisho, na nakala za fomu
za kuthibitisha kukubaliana kwao
na mradi huo.
katika mazishi
(Kenya Power) kukusanya vyeti
vyao vya umiliki wa ardhi katika
maeneo ambayo nyaya za mradi
majumbani mwao na kuitisha hati
hizo kabla ya kuwapa hundi ya
malipo kwa njia ya kupitia nyaya
Shirika la Utetezi wa Haki la
Kwale Human Rights Network
limeghadhabishwa na hatua hiyo
ya Sumbeiywo
mpya wa umeme zimepitia. hizo. na kuitaja kama mbinu ya ku- KUTOKA UK 1
Kulingana na wakazi hao, vyeti Barabara hiyo imechukuwa wanyima wakazi hao haki zao.
hivyo vilikusanywa wakati wa takriban mita 30 kwa upana na Akiapa kufuatilizia swala hilo, kusiwe na hutoba za kisiasa, tafad-
kupokea hundi za malipo ya kutu- kumenya vipande vya ardhi vilivy- Msimamizi wa Maswala katika hali mheshimu matakwa yetu”.
mika kwa ardhi zao kama barabara oko pande zote mbili za minara shirika hilo, Bw George Jaramba, Aliyekuwa Mkurugenzi wa
ya kupitishia nyaya za umeme hiyo ya stima. alisema kuwa hakuna sheria Shirika la Kitaifa la Ujasusi (NSIS),
zinayotoka Rabai kuelekea Galu Kulingana na barua iliyotu- inayoruhusu kampuni yoyote Brigedia (Mstaafu) Wilson Boinet,
katika eneo la Diani. miwa wakaazi hao kutoka shirika kuchukua hati halisi kama ush- ambaye alikuwa kiongozi wa
ratiba katika mazishi hayo, alitisha
Wakizungumza na Taifa Leo, hilo mwanzoni mwa mwaka, kila uhuda wakati wa kufanya mal-
kumuondoa kwa nguvu kutoka
JUMBA la afisi za Kenya wakazi hao walisema kuwa afisa mwenye ardhi alitakiwa kutoa na- ipo isipokuwa benki zinazotoa jukwaani yeyote ambaye angeth-
Power jijini Nairobi kutoka shirika hilo aliwafuata kala ya hati hiyo miliki, nakala za mikopo. ubutu kutoa hotuba za kisiasa.
Mawaziri waliokuwepo ni Bw
Walimu: Heri
Franklin Bett (Barabara), Prof
Margaret Kamar (Elimu ya Juu),
Bw Eugene Wamalwa (Haki) na
UONGOZI Bw Henry Kosgey (Ustawi wa
Viwanda).
Wabunge William Ruto (Eldoret
tufutwe kazi
Kaskazini), Jackson Kiptanui (
Keiyo Kusini), Lucas Chepkitony
(Keiyo Kaskazini), Lina Kilimo
(Marakwet Mashariki) na Boaz
Keino (Marakwet Magharibi) pia
walihudhuria mazishi hayo.
ingetekelezwa Juni 2013. HOTUBA
KUTOKA UK 1 Lakini kwa upande wake, Knut in- Aliyekuwa Mbunge wa Keiyo
“Tunaiambia Serikali itufute kazi sasa asema kuwa pendekezo hilo si la busara Kusini, ambaye pia ni kingozi wa
hivi. Lazima tuchukuliwe kwa heshima kwani pesa hizo zapasa kutolewa katika chama cha National Vision Party,
inayostahili. Tutaendelea na mgomo mwaka mmoja wa kifedha. Nicholas Biwott pia alihudhuria.
mpaka tupewe haki yetu. Ni mara “Kusawazishiwa mishahara ni haki Prof Kamar aliwauliza wabunge
ngapi Serikali imetutisha?” aliuliza jana yetu. Sisi ni walipa ushuru kama Waken- wote kusimama na kuwapun-
Mwenyekiti wa Knut, Bw Wilson Sos- ya wengine na tunataka tutimiziwe haki gia mkono waombolezaji kisha
sion. yetu. Tunataka kupewa fedha hizo mara akamwalika Bw Kosgey kusoma
Alikuwa akiongea katika mkutano wa moja. Baraza limekataa walimu kulipwa risala za rambi rambi kutoka kwa
chama hicho na wanahabari katika afisi kwa awamu tatu,” alisema Bw Nyamu. Waziri Mkuu, Bw Raila Odinga.
kuu za Knut jijini Nairobi. Walisema hawakijui kipengee cha Hatua hii iliwashangaza wengi
Matumaini ya kusitishwa kwa mgomo kisheria (Notisi ya 16, 2003) kina- kwani walitaraji kuwa Bw Ruto
huo sasa ni ndoto tu baada ya chama chojadiliwa bungeni ambacho kilifanya angepewa fursa ya kuhutubu.
hicho kukataa kata kata mapendekezo mabadiliko kwa kipengee kingine katika Makamu wa Rais alisema al-
yaliyotolewa na Baraza la Mawaziri li- sheria ya 1997 ( Notisi ya 534) kuhusu ishauriana na kakake marehemu
lilokutana Alhamisi na kusema Serikali marupurupu. Jenerali (Mstaafu) Lazarus Sum-
haikuwachukulia kwa uzito. Aidha, walisema hawawezi kukubali beiywo, kusema machache kuhusu
“Mgomo uko mbali kuisha. Baada ya kamati ambayo ilipendekezwa kuunda mchango wa Elijah katika historia
majadiliano ya kina, Baraza Kuu la Kitaifa kanuni na masharti hadi ianze kazi. ya Kenya.
limeafikia mgomo utaendelea mpaka “Sisi hatuko tayari kudanganywa. Bw Kalonzo, ambaye alitambua
walimu wapewe haki yao,” alisema Bw Lazima kamati hiyo ianze kufanya uwepo wa Bw Ruto alimtaja mare-
Sossion. kazi kwanza ili tuikubali,” alisema Bw hemu Elijah kama mtu jasiri ali-
Aliongeza kuwa mkutano baina ya Nyamu. yetumikia taifa hili kwa uaminifu.
walimu na Serikali siku ya Ijumaa hauku- Kuhusu kupandishwa cheo kwa wal- “Historia haiwezi kusahauliwa.
fikia makubaliano yoyote. imu wa P2, chama hicho kilisema ni Ndugu hawa wawili (Elijah na
“Tumekuwa tukiyakagua mapendek- jambo zuri ingawa lilifaa kutekelezwa Lazarus) waliisadia taifa hili zaidi
ezo ya Serikali. Lakini ni dhahiri Serikali kuanzia zamani. Bw Nyamu alisema wakati wa mapinduzi ya Serikali
haijajaribu kwa njia yoyote kutimiza ma- marupurupu ya mazingira magumu ya mnamo 1982. Walirejesha utulivu
takwa yetu,” alisema kaimu katibu wa kufanya kazi na majukumu maalum MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Nation Media Group, Bw Linus Gitahi nchini huku mataifa mengine ya
chama hicho, Bw Xavier Nyamu. yalifaa kutekelezwa 2009.
Kulingana na Knut, pendekezo la kusa-
(kushoto) na Kinara wa Inuka Trust, Bw John Githongo walipozindua Afrika yakizama katika mach-
msafara wa ‘Uongozi 2012’ katika uwanja wa Huruma, jijini Nairobi afuko. Marehemu atakumbukwa
wazisha mishahara yao na wafanyikazi kama mtumishi wa umma aliyeji-
wengine wa Serikali ni haki yao, hivyo jana. Msafara huo unanuia kuhimiza wakenya kupiga kura kwa amani
tolea katika kazi yake,” alisema Bw
Serikali haiwezi kudai ilikuwa imetatua na kuchagua viongozi kwa busara kwenye uchaguzi mkuu ujao. Picha/
Musyoka.
suala la mgomo kwa kusema ilikuwa SALATON NJAU
inadhamiria kutoa Sh13.5 bilioni.
Alhmisi, Baraza la Mawaziri lilii-
dhinisha kutolewa kwa Sh13.5 bilio-
ni za kuwalipa walimu kwa awamu
tatu kwa muda wa miezi kumi.
Serikali ilikuwa imependekeza
kuwalipa Sh6 bilioni kuanzia Julai
2012 hadi Januari 2013 ambapo ndogo kukamilika katika Maafisa wa GSU
ingetoa fedha zaidi kiasi cha Sh5 maeneo bunge matatu na wapata makaburi ya Afisa mmoja aliye Mechi iliyosubiriwa
bilioni. Awamu ya mwisho ya Sh2.5 wadi kadhaa. Kutokana siri katika msitu ulio karibu kwenye kundi la kwa hamu kati ya
na matokeo ya chaguzi na kijiji cha Kilelengwani wanajeshi wa Ulaya walio mahasimu wa jadi Gor
hizo ndogo, Waziri Mkuu ambapo watu 38 Afghanistan azaa akiwa Mahia na AFC Leopards
MKUTANO WA WAGOMBEAJI Raila Odinga alikariri wakiwemo polisi tisa kambini. Imeripotiwa yachezwa uwanja wa Moi,
CHAMA CHA SAFINA kuwa uchaguzi mkuu ujao waliuawa kwenye vita vya kuwa mwanamke huyo Kasarani. Washindi katika
Chama cha SAFINA kitawasilisha wagombeaji nchini kote utakuwa mapambano akijamii. Inashukiwa kuwa hakufahamu kuwa alikuwa mechi hiyo watakuwa
katika Uchaguzi Mkuu ujao wa 2013. Kutokana na haya chama makali kati ya chama huenda watu walioripotiwa mja mzito wakati wote na nafasi bora zaidi
sha SAFINA kinatoa mwaliko kwa walio na nia ya kuwa anachkiongoza, ODM na
Wanasiasa waendelea kupotea wakati wa vita huo. Sheria za kijeshi huwa kutwaa taji la Ligi Kuu
• Magavana • Wawakilishi wa ya chama kile kinachoongozwa na
• Maseneta wanawake • Makatibu wa kujipigia debe maeneo hivyo wamezikwa humo, haziruhusu wanawake ya Tusker (TPL). Tusker
• Wabunge • Wapendekezwa mawaziri mbalimbali nchini, wiki Naibu Waziri Mkuu cha au pamefichwa silaha za wajawazito kuwa kwenye inayoongoza kwenye
• Madiwani katika orodha moja baada ya chaguzi TNA. vita. oparesheni za kivita. ligi itakutana kesho na
Kuhudhuria mkutano wa wagombeaji katika makao makuu ya Karuturi Sports, uwanjani
Chama cha SAFINA, yalioko katika Barabara ya Amboseli,
kwenye Barabara ya Gatanga, Lavington Nairobi, Jumatano
Oserian.
hii Septemba 26, 2012 kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhaali zingatia kuwa chama cha SAFINA kitatoa hati za AFC Leopards yabanduliwa kutoka Walimu wakosa kuafikiana na
UTEUZI WA BURE kwa Wanawake, Vijana (Chini ya umri wa kileleni mwa orodha ya mchuano wa taji serikali baada ya majadiliano
miaka 35) na walemavu waliofuzu. la ligi kuu la Tusker (TPL). Hii ni baada iliyonuiwa kupata suluhisho ili Tume ya kuchunguza majaji inayoongozwa na
Tafadhali hudhuria na umwalike mgombeaji mwingine katika yao kuzabwa mabao 2-0 na timu ya Tusker. wasitishe mgomo wao. Vyama vya Sharad Rao latangaza kuwa jaji wa mahakama
Baraza la SAFINA Tafadhali dhibitisha kuwa utahuudhuria kwa Ingwe sasa ina alama 45, sawa na Tusker walimu, Knut na Kuppet, vilikataa ya juu Mohammed Ibrahim na Roselyn Nambuye
Afisi ya Mkurugenzi wa Uchaguzi ingawa Tusker inaongoza kwa mabao. Gor watachunguzwa upya. Hii ni kufuatia uamuzi wa majaji
Mahia iko katika nafasi ya tatu na alama 43, toleo la Sh13.4 bilioni ikiwa nyongeza
Beatrice kupitia Nambari ya Rununu: 0722676192
ya mshahara kwa awamu tatu kama hao kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa awali uliotolewa
Simu Nambari: 0205202211 na imerudi kambini leo baada ya wiki moja
ya mapumziko ilivyopendekezwa na serikali. na tume hiyo kuwa hawafai kuendelea kuhudumu.
email: info@safinaparty.org
website: www.safinaparty.org