2. Usimamizi wa Kibiashara
• Wafanya biashara wadogowadogo wengi wao hufanya biashara zao
kila siku ili kuweza kuendesha maisha yao ya kila siku na
ikiwezekana kuongeza ukubwa wa biashara na kutoa ajira kwa watu
wengine.
• Dondoo Zifuatazo ni muhimukatika usimamizi wa biashara yako
• Hakikisha haupotezi muda kwa vitu ambavyo vinaweza kuua
biashara yako – kwako muda ni mali
• Kuwa makini na usimammizi wa fedha zako – usipochunga hili
waweza kufilisi biashara yako wewe mwenyewe
• Angalia bidhaa unazoweza kuziuza haraka haraka na kupata faidi ya
mapema – kumbuka mzunguko wa haraka wa fedha zako ndio
ukuaji wa haraka wa biashara yako
•