SlideShare a Scribd company logo
Hifadhi	ya	Jamii	kwa	wote:	Je,	
Inawezekana?	
Kassim	Hussein,	PhD	
kassimhussein2002@yahoo.com	
255	754	360
Maana	ya	hifadhi	
Hifadhi	ya	Jamii	ni	mfumo	wa	kujikinga	
dhidi	ya	majanga	yasiyotarajiwa.	
Majanga	hayo	ni	kama	Maradhi,	
Ulemavu,	Kupoteza	kazi,	Kuacha	kazi	
kwa	sababu	ya	uzee	(kustaafu)
Kinga
Chakula(NjaakutokanaUkame)
Afyayawatotochiniyamiaka5
Kujifunguakwamama
Msaadawamakundimaalum:
walemavu
Misamahayakodi,tozo
Mengineyo
Pensionkwawote:CHF,
Kinga…chanjozamiripuko
Historia : Aina za Hifadhi kamilifu
MafaoyaBima:PPF,LAPF,NSSF,GEPF,NHIF
Mafaoyawawatumishi
Majanga:
Mafuriko,Tetemeko,Vimbimbunga,Ajali
Wazee:Pensionnatibayawastaafu
Sera	za	hifadhi	-	nguzo	kuu	tatu	(3)	
•  Nguzo	ya	kwanza	-	Nguzo	hii	
inahusisha	Hifadhi	ya	Jamii	kaSka	
mfumo	wa	huduma	za	kijamii	
zinazogharamiwa	kwa	kodi	ya		
Serikali,	mashirika	ya	wahisani	wa	
ndani	na	nje	na	taasisi	za	kijamii
•  Nguzo	ya	pili	-	Hifadhi	ya	Jamii	inahusisha	
uchangiaji	wa	lazima	wa	wenye	kipato	na	
walio	ajiriwa.	Hii	ndio	nguzo	ambayo	
Mifuko	ya	Hifadhi	ya	Jamii	inahusika.	
Uchangiaji	kaSka	mifuko	hiyo	
hugharamiwa	kwa	pamoja	kaS	ya	Waajiri	
pamoja	na	Wafanyakazi.	
	
Sera	za	hifadhi	-	nguzo	kuu	tatu	(3)
•  Nguzo	ya	tatu	-	mfumo	wa		
uchangiaji	wa	hiari	ambao	
unawalenga	zaidi	watu	wenye	kipato	
cha	ziada	na	huchangia	kama	ziada	
baada	ya	kutekeleza	majukumu	ya	
kisheria	kwenye	nguzo	ya	pili.	
Sera	za	hifadhi	-	nguzo	kuu	tatu	(3)
Mfumo	
Hifadhi		
kwa	hiyari	
Hifadhi	ya	msingi	
kwa	shuruS	
Hifadhi	ya	awali	kwa	
wote
Hifadhi	hasa	inahusu:	
•  	kupotea	kipato	kutokana	na	kifo,	ulemavu	au	
uzee.	
•  Kuumwa	na	kutoweza	kujiSbu	
•  Athari	za	Majanga	kama	vile	mafuriko,	ukame	
nk	unaoathiri	maisha	pamoja	na	makazi.
Viashiria	vya	kuwa	inawezekana?	
• Dhamira	(intenSon,	will)		
• Kukubali	na	utayari	(readiness)	
• Uwezo	–	kiuchumi	(ability)	
• Uwezo	–	ki	organizaSon
Je,	Dhamira	ipo?	
•  Ndio,	dhamira	ipo	na	imekuwepo	
tangu	mfumo	wetu	wa	hifadhi	wa	
kiasili	kaSka	ngazi	ya	kifamilia	
•  (Tungaraza	(1988),	Mlyansi	(1991),	
Wangwe	and	Tibandebage,	(1999)	
Bossert	(1987)
Je,	Dhamira	ipo?	
•  Mfumo	wa	familia	wa	kuchukua	
majukumu	ya	hifadhi	ulikuwepo	–	
kijima.	
•  Sasa	umebadilika	sana	kaSka	karne	hii	
(kivipi?)		
•  KaSka	miaka	miongo	5	hii	iliopita,	
hifadhi	ya	ujima	imebadilka	na	haja	ya	
kuwa	na	mfumo	wa	hifadhi	wa	kisasa	
umekuwa	ni	wa	lazima
Je,	Dhamira	ipo?	
•  Serikali	imekuwa	na	dhamira	kwanza	kwa	
kuhakikisha	hifadhi	maalum	kama	vile	afya	
kwa	wote	bure	kaSka	miaka	ya	1970;	unafuu	
wa	kodi	(tax	relief)	kwa	wanandoa;		
•  Kuendelea	kulipwa	mashahara	kwa	
mfanyakazi	akiwa	mgonjwa	(1972)	
•  Malipo	ya	mshahara	kwa	mfanyakazi	mzazi	
(1975)
Uwezo	na	kadhia	ya	Umaskini	wetu	
•  Watanzania	wengi	waliojiajiri	na	walio	
kaSka	sekta	isiyo	rasmi	hawamo	kaSka	
mfumo	wa	Hifadhi	ya	Jamii.		
•  Kitakwimu	Watanzania	wengi	wapo	
kwenye	sekta	isiyo	rasmi.	
•  	Asilimia	70	wapo	kwenye	ukulima	
mdogo
Uwezo	na	Umaskini	
•  	Asilimia	10	ni	Wajisiriamali:		
wamejiajiri	wenyewe	
• biashara	ndogondogo,		
madini,		
• Sanaa,		
• michezo	na	uchuuzi	
mwingine.
Uwezo	na	Umaskini	
•  Watanzania	wenye	ajira	
rasmi	ni	sehemu	ndogo	
sana	ya	nguvu	kazi	ya	
Tanzania.		
•  Hifadhi	ya	Jamii	Tanzania	
kwanza	uliwalenga	watu	
wachache	tu	kwenye	ajira	
tu.
Maswaibu	ya	Uwezo	
•  Uwezo	wa	serikali	kutoa	huduma	kwa	mfano	
kaSka	afya	bure	ulipungua	
•  Ubora	wa	huduma	pia	ulishuka	sana	
•  Ikadhihirika	kuwa	serikali	haina	uwezo	na	sera	
ya	‘uchangiaji	gharama’	ikaanza	1985	kwa	afya	
lakini	pia	kaSka	elimu
Uwezo	wa	nani?	
•  Ikaanza	kujilikana	kuwa	uwezo	wa	
serikali	kumudu	sio	tu	unapungua	
dhidi	ya	uengezeko	wa	idadi	ya	watu
Uwezo	wa	nani?	
•  Uwezo	wa	wananchi	wenyewe	
kujimudu	unaongezeka	iwapo	
watajihudumia	kwa	pamoja	
•  Hata	hivyo	uwezo	wa	mwanachi	
kuchukua	bima	za	kibiashara	
(medical	Insurance)	ni	mdogo	
kufuatana	na	kipato	cha	chini
Sera	ya	Kuchangia	
Ilitoa	unafuu	kwa:			
•  Kwa	wazee	
•  Wenye	magonjwa	sugu	(TB)		
•  HIV	ARV’s	
•  Akina	mama	wazazi	
•  Chanjo	–PENTA	(surua,	homa	ya	ini,	polio	BCG	
nk)
Magonjwa	ya	Miripuko	
•  Surua	
•  Kipindupindu	
•  Maji	safi
Serikali	inapojitoa	-	Uwezo:	Njia	panda	
Uwezo	
mkubwa	
wa	kipato	
Uwezo	
mdogo	
wa	kipato	
Ubora	wa	huduma	
Ubora	wa	huduma
Changamoto			
Huduma	bora	inayogharamiwa	ni	
kubwa	lakini	pia	inahitaji	uwezo	
mkubwa		wakuzilipia	
Je	afya	yako,	na	uwezo	wako	
utakuwa	hivyo	hivyo…	au	unaweza	
kupungua?
Umasikini		
•  Mwaka	2000	maskini	ilikuwa	asilimia	35.7		
•  Mwaka	2007	ilikuwa		asilimia		33.6	(HBS)	
•  Mwaka	2009	ilikuwa	asilimia		42	(DHS)	
•  Sasa…	millioni	12	wanaishi	kama	maskini.
Umaskini	–	ulinganisho	duniani
Hifadhi	kwa	wote…	
•  Njia	ya	kupunguza	umaskini	
•  Umri	na	umaskini	ni	njia	rahisi	ya	utambuzi	
•  Elimu	kwa	wote	sasa	‘inawezekana’	
•  Afya	ya	msingi….	Inawezekana
Umaskini	na	Elimu
Mifano:	Kenya	
•  Nchi	ya	Kenya,	WB	walipendekeza	kuwa	bima	
ya	afya	kwa	wote..	Utafikia	asilimia	62	baada	
ya	miaka	10.	
•  Serikali	ya	kenya	na	taasisi	mbali	mbali	
zikaunga	mkono	jitahada	za	bima	ya	afya	kwa	
wote	kwa.	Mwaka	2004,	the	Kenya	NSHIF	
ikaanzishwa
Mifano:	Namibia	
•  Wazee	wana	pension	
•  Wengine	wana	pension	zao	
•  Watoto	walio	kaSka	mazingira	
magumu	–	wanatambuliwa	na	
kusaidiwa
Mifano:	Rwanda	
•  Nchi	ya	Rwanda	ina		(RAMA),	the	
Medical	Military	Insurance	(MMI)	na		
Assurances	Maladies	
Communautaires	(AMCs).		RAMA	ni	
lazima		Kwa	watumishi	wa	serikali	na	
hiari	kwa	watu	wengine	binafsi.	
Wote	wanachangia	asilimia	15	ya	
mapato	yao.
Mifano:	Rwanda	
•  MMI	ambayo	huchangia	asilimia	22	
ni	zaidi	mashsusi	kwa	wanajeshi
Mifano:	Rwanda	
•  AMCs	ni	mpango	wa	watu	
wasiokuwa	na	kipato		au	kipato	cha	
chini	na	ndio	wengi	chini	nao	
huchangia	kwa	kima	cha		1000	
Rwandan	Francs	(sawa	na	1.85	US$)	
kwa	mwaka		na	serikali	huchangia	
kaisi	kama	hiko	tena	kaSka	mfuko
Dhana	ya	
Uwezo:	
Kutaka,	
Kuhitaji,	
kumudu
Hoja	ya	kujumuisha	hifadhi		
Pension	
Ruzuku	
CapitaSon	
Ruzuku	
Mishahara	
na	other	
charges	
Huduma	za	
afya		za	
bure	
Mipango	na	
mifuko	
mengine	
TASAF	
Mfuko	wa	
Majanga	
Bima	za	
Jamii	
CHF	
Bima	ya	
Afya	
NHIF
Mifuko	imekomaa	
•  Mifuko	sasa	ina	uzoefu	
•  Ina	wafanyi	kazi	
•  	‘Acturially’	iko	vizuri	
•  Ina	mtandao	mzuri	mikoani	
•  Kuna	SSRA	kwa	udhibiS
11 | 37
Kukuwa kwa wanachama…michango
0
1
2
3
4
5
6
7
8
9
2006 2007 2008 2009 2010 2011 2012
Figure 2: Contribution/membership Growth
Con/membership
Ongezeko la
michango
Utawala bora wa
Mfuko
Ongezeko la
Thamani ya mifuko
Viashiria	vya	Kumudu	
•  Asilimia	1	ya	Pato	la	Taifa	(asilimia	7)	
•  Kuingia	uchumi	wa	kaS,	Kuchuka	kwa	ongezeko	la	
bei	(inflaSon)	
•  Kubadilisha	matumizi	(expenditure	switching)	
•  Kasi	ya	JPM	kaSka	ukusanyaji	wa	Kodi,	kupunguza	
gharama	
•  Sera	ya	kushusha	na	kusamehe	viwango	vya	kodi	
•  Kuongezeka	kwa	vikundi	vya	ujasiriamali	
•  Uwezekano	wa	kuunganisha	aina	za	hifadhi.	
•  Kuanzishwa	kwa	pension	kwa	wazee	Zanzibar
Viashiria	kinzani	
•  Utayari	au	kutohamasika	wa	baadhi	ya	watu	
kuchangia,	kujitoa	kwa	baadhi	
•  Ufinyu	wa	mafao	
•  Ukubwa	wa	deni	la	Taifa	na	kuongezeka	kwa	
deni	hilo	
•  Nakisi	kaSka	bajeS	ya	serikali
Kuhusu Wazee
• Ni wachache… zaidi wako
vijijini, zaidi ya asilimia 73
bado wanafanya kazi
• Gharama yao sio kubwa…
• Kumudu Social pension kwa
kundi hili inawezekana?
Safari	ni	hatua
Kuhusu
Wajasiriamali
•  Mifuko
imefanya vizuri
kwa wale walio
katika CHF,
Vikoa, ….
•  Inawezekana
kutumia
Halmashauri,
CBO, vikundi,
vicoba, Saccos
Kuhusu mifuko rasmi
• Mifuko imefanya vizuri kwa
wale walio katika ajira
• Imeanza kusajili kwenye
sekta isio rasmi
• Kumekuwa na kutoridhika
na ubora wa mafao
HiSmisho:	Mazingira	rafiki	yajengwe	
•  Pato	la	Taifa	la	taifa	…	
asilimia	25	lielekezwe	
kwenye	hifadhi	zote	
(viwango	vya	kimataifa)	
•  TaraSbu,	kidogo	
kidogo..	Hatua	kwa	
hatua	kwa	hiari	
•  Kushirikisha	watu	kaSka	
ngazi	za	chini
HiSmisho:	Mazingira	rafiki	yajengwe	
•  Elimu	na	ushawishi	
uwepo	
•  Matumizi	ya	
Kitambulisho	cha	Taifa,	
unasaidia	utambuzi.		
•  Aina	ya	huduma	ziwe	
rafiki,	michango	kwa	
teknologia	ya	simu,	
vikundi	nk
Jumuisho	
•  Inawezekana,		
•  Dhamira	ipo,	haja	ipo,	
•  Watu	wahitaji	wapo	
•  Uwezo	ki	uchumi	upo,	unakuwa	
•  Uwezo	ki	organizaSon	upo
Ahsante
Q & A
Kassim Hussein, PhD
Kassimhussein2002@yhaoo.com
+255 754 360

More Related Content

More from Kassim Hussein

Nbaa ettiquates for accountants
Nbaa   ettiquates for accountantsNbaa   ettiquates for accountants
Nbaa ettiquates for accountants
Kassim Hussein
 
Governance and pitfalls in public procurement function in Tanzania
Governance and pitfalls in public procurement function in TanzaniaGovernance and pitfalls in public procurement function in Tanzania
Governance and pitfalls in public procurement function in Tanzania
Kassim Hussein
 
Nbaa zanibar ethics and governance
Nbaa   zanibar ethics and governanceNbaa   zanibar ethics and governance
Nbaa zanibar ethics and governance
Kassim Hussein
 
hifadhi kwa kila kaya, je, inawezekana?
hifadhi kwa kila kaya, je, inawezekana?hifadhi kwa kila kaya, je, inawezekana?
hifadhi kwa kila kaya, je, inawezekana?
Kassim Hussein
 
Pspf 2014 presentation kassim hussein
Pspf 2014 presentation kassim husseinPspf 2014 presentation kassim hussein
Pspf 2014 presentation kassim hussein
Kassim Hussein
 
CG requiremnets for banks in tanzania
CG requiremnets for banks in tanzaniaCG requiremnets for banks in tanzania
CG requiremnets for banks in tanzania
Kassim Hussein
 
The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
The role of directors in the preparations of afs   dr. kassim husseinThe role of directors in the preparations of afs   dr. kassim hussein
The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
Kassim Hussein
 
The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
The role of directors in the preparations of afs   dr. kassim husseinThe role of directors in the preparations of afs   dr. kassim hussein
The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
Kassim Hussein
 

More from Kassim Hussein (8)

Nbaa ettiquates for accountants
Nbaa   ettiquates for accountantsNbaa   ettiquates for accountants
Nbaa ettiquates for accountants
 
Governance and pitfalls in public procurement function in Tanzania
Governance and pitfalls in public procurement function in TanzaniaGovernance and pitfalls in public procurement function in Tanzania
Governance and pitfalls in public procurement function in Tanzania
 
Nbaa zanibar ethics and governance
Nbaa   zanibar ethics and governanceNbaa   zanibar ethics and governance
Nbaa zanibar ethics and governance
 
hifadhi kwa kila kaya, je, inawezekana?
hifadhi kwa kila kaya, je, inawezekana?hifadhi kwa kila kaya, je, inawezekana?
hifadhi kwa kila kaya, je, inawezekana?
 
Pspf 2014 presentation kassim hussein
Pspf 2014 presentation kassim husseinPspf 2014 presentation kassim hussein
Pspf 2014 presentation kassim hussein
 
CG requiremnets for banks in tanzania
CG requiremnets for banks in tanzaniaCG requiremnets for banks in tanzania
CG requiremnets for banks in tanzania
 
The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
The role of directors in the preparations of afs   dr. kassim husseinThe role of directors in the preparations of afs   dr. kassim hussein
The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
 
The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
The role of directors in the preparations of afs   dr. kassim husseinThe role of directors in the preparations of afs   dr. kassim hussein
The role of directors in the preparations of afs dr. kassim hussein
 

Hifadhi ya jamii kwa kila kaya, je, inawezekana?