Personal Information
Organization / Workplace
Nairobi, Kenya
Occupation
Chief Executive Officer
About
Being alone does not necessarily mean being lonely.
Nakumbuka mwaka wa 1982,huo ndio mwaka nilizaliwa jo na ilikuwa siku ya coup,airforce ilikuwa inajaribu ku take over gova,ma airforce mandula ndio huwaga na vaa. Ndio maana roho yangu huwaga juu,kimzi kimaisha me hufanya tu,ni kaa masaai akiwa na mkuki,ameidunga nje ya keja ndani yuko na mtoto mzuri,kama mjaluo ama mluhya akipiga ball. nduki..tangu mtoto ndoto ilikuwa kuwa professor,inspiration wangu professor Wangare Marthai,alafu nikakutana na proffessor Jay,akaniuliza nitakusaidiaje kizee nikamwambia me nataka kuskika mpaka T.z, nika muintroduce kwa doctor Dre wa kenya,alafu genge ikashikana na bongo bila c kupenda...HAHAHAHA.