SlideShare a Scribd company logo
1 of 7
SHAIRI - SAUTI YA
AMANI
Rocío Riaño
4º B
Nami ninayo sauti,
bali hawanisikizi,
Hawaruhusu ongea,
hata hawaniulizi,
Nataka kutoa wazo,
na wamenifumba domo,
Nami ninayo sauti,
bali hawanisikizi.
Nikimanisha mi nani,
lakini wanidharau,
Sauti yakumba anga,
yalia herufi tatu,
Ambayo haimdhuru mtu,
wala kumkwaza mtu,
Nami ninayo sauti,
bali hawanisikizi.
P- bendera yapepea,
A- ni mnara wa furaha,
Z- njia inayokuja,
inayoenda hewani,
Kutoka nyumbani kwako,
hadi kwangu kukutana,
Nami ninayo sauti,
bali hawanisikizi.
Amani imetoweka, sababu ya dharau,
Hili nimelifikiri, nipeni muda nisema ,
Na sasa nalihubiri, alifahamu kila mtu,
Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
Dharau imekithiri, tufumbue macho yetu,
Shairi limeshamiri, name nawaambia watu,
Wale wenye kudharau, si wanyama au watu,
Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
Kalamu twaweka chini, wino umetuishia ,
Shukrani zetu pokea, kwa uchache wa shairi,
Nami nawaambieni, kosa sauti hatari,
Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.

More Related Content

More from CP Baudilio Arce

Diario de semana santa 1ºb
Diario de semana santa 1ºbDiario de semana santa 1ºb
Diario de semana santa 1ºb
CP Baudilio Arce
 

More from CP Baudilio Arce (20)

Presentación medidas
Presentación medidasPresentación medidas
Presentación medidas
 
Deshielo de colores 3º
Deshielo de colores 3ºDeshielo de colores 3º
Deshielo de colores 3º
 
Poems about trees
Poems about treesPoems about trees
Poems about trees
 
Poesías a los árboles 3ºA
Poesías a los árboles 3ºAPoesías a los árboles 3ºA
Poesías a los árboles 3ºA
 
Recital de poesía 4º
Recital de poesía 4ºRecital de poesía 4º
Recital de poesía 4º
 
Recital de poesía 3º de Primaria
Recital de poesía 3º de PrimariaRecital de poesía 3º de Primaria
Recital de poesía 3º de Primaria
 
Poemas a nuestros árboles 5º A
Poemas a nuestros árboles 5º APoemas a nuestros árboles 5º A
Poemas a nuestros árboles 5º A
 
La ruta de las esculturas
La ruta de las esculturasLa ruta de las esculturas
La ruta de las esculturas
 
Diario de semana santa 1ºb
Diario de semana santa 1ºbDiario de semana santa 1ºb
Diario de semana santa 1ºb
 
Maratón de poesía
Maratón de poesíaMaratón de poesía
Maratón de poesía
 
El molinero
El molineroEl molinero
El molinero
 
Evolución de la población
Evolución de la poblaciónEvolución de la población
Evolución de la población
 
Casas asturianas
Casas asturianasCasas asturianas
Casas asturianas
 
Rocas y minerales
Rocas y mineralesRocas y minerales
Rocas y minerales
 
Urria, mi gran pueblecillo
Urria, mi gran pueblecilloUrria, mi gran pueblecillo
Urria, mi gran pueblecillo
 
Tanzania
TanzaniaTanzania
Tanzania
 
Minería ángel
Minería ángelMinería ángel
Minería ángel
 
Tanzania
TanzaniaTanzania
Tanzania
 
Tanzania, presentada con gráficos
Tanzania, presentada con gráficos  Tanzania, presentada con gráficos
Tanzania, presentada con gráficos
 
Tanzania
TanzaniaTanzania
Tanzania
 

Shari sauti ya amani

  • 1. SHAIRI - SAUTI YA AMANI Rocío Riaño 4º B
  • 2. Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi, Hawaruhusu ongea, hata hawaniulizi, Nataka kutoa wazo, na wamenifumba domo, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  • 3. Nikimanisha mi nani, lakini wanidharau, Sauti yakumba anga, yalia herufi tatu, Ambayo haimdhuru mtu, wala kumkwaza mtu, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  • 4. P- bendera yapepea, A- ni mnara wa furaha, Z- njia inayokuja, inayoenda hewani, Kutoka nyumbani kwako, hadi kwangu kukutana, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  • 5. Amani imetoweka, sababu ya dharau, Hili nimelifikiri, nipeni muda nisema , Na sasa nalihubiri, alifahamu kila mtu, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  • 6. Dharau imekithiri, tufumbue macho yetu, Shairi limeshamiri, name nawaambia watu, Wale wenye kudharau, si wanyama au watu, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  • 7. Kalamu twaweka chini, wino umetuishia , Shukrani zetu pokea, kwa uchache wa shairi, Nami nawaambieni, kosa sauti hatari, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.