Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.
SHAIRI - SAUTI YA AMANI
Miguel Suárez
4º B
Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi,
Hawaruhusu ongea, hata hawaniulizi,
Nataka kutoa wazo, na wamenifumba domo,
Nami nin...
Nikimanisha mi nani, lakini wanidharau,
Sauti yakumba anga, yalia herufi tatu,
Ambayo haimdhuru mtu, wala kumkwaza mtu,
Na...
P- bendera yapepea, A- ni mnara wa furaha,
Z- njia inayokuja, inayoenda hewani,
Kutoka nyumbani kwako, hadi kwangu kukutan...
Amani imetoweka, sababu ya dharau,
Hili nimelifikiri, nipeni muda nisema,
Na sasa nalihubiri, alifahamu kila mtu,
Nami nin...
Dharau imekithiri, tufumbue macho yetu,
Shairi limeshamiri, name nawaambia watu,
Wale wenye kudharau, si wanyama au watu,
...
Kalamu twaweka chini, wino umetuishia,
Shukrani zetu pokea, kwa uchache wa shairi,
Nami nawaambieni, kosa sauti hatari,
Na...
Upcoming SlideShare
Loading in …5
×

La voz de la paz en suajili

576 views

Published on

La voz de la Paz en suajili

Published in: Education
  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

La voz de la paz en suajili

  1. 1. SHAIRI - SAUTI YA AMANI Miguel Suárez 4º B
  2. 2. Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi, Hawaruhusu ongea, hata hawaniulizi, Nataka kutoa wazo, na wamenifumba domo, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  3. 3. Nikimanisha mi nani, lakini wanidharau, Sauti yakumba anga, yalia herufi tatu, Ambayo haimdhuru mtu, wala kumkwaza mtu, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  4. 4. P- bendera yapepea, A- ni mnara wa furaha, Z- njia inayokuja, inayoenda hewani, Kutoka nyumbani kwako, hadi kwangu kukutana, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  5. 5. Amani imetoweka, sababu ya dharau, Hili nimelifikiri, nipeni muda nisema, Na sasa nalihubiri, alifahamu kila mtu, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  6. 6. Dharau imekithiri, tufumbue macho yetu, Shairi limeshamiri, name nawaambia watu, Wale wenye kudharau, si wanyama au watu, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.
  7. 7. Kalamu twaweka chini, wino umetuishia, Shukrani zetu pokea, kwa uchache wa shairi, Nami nawaambieni, kosa sauti hatari, Nami ninayo sauti, bali hawanisikizi.

×