Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.
Tuzungumzie Ginseng na Red Yeast
Coffee
Kunywa Ginseng na Red Yeast
Coffee si anasa bali ni sehemu ya
maisha ya mtumiaji.
NI NINI HUIFANYA KAHAWA YA
EDMARK KUWA YENYE MANUFAA
KIAFYA?
1. Inashusha kiwango cha lehemu mbaya na
mafuta yaliyohifadhi...
Imepewa hati safi za:
- Mfumo bora wa uzalishaji(GMP)
- Matumizi stahiki kwa imani mbalimbali
- Mamlaka ya chakula Malaysi...
Upcoming SlideShare
Loading in …5
×

Tuzungumzie ginseng na red yeast coffee

955 views

Published on

Kahawa Yenye Uwezo wa Kushusha Lehemu (cholesterol) mbaya, Kusaidia Mmeng’enyo wa Chakula na Kusaidia Mzunguko wa Damu, Inaondoa Sumu na Kupunguza Kasi ya Kuzeeka, Kuchangamsha Ubongo na Kurudisha Kumbukumbu, Kuongeza kiwango cha hewa ya oksigeni mwilini, Kuzuia Saratani na Kuongeza Kinga Mwilini

Published in: Food
  • Be the first to like this

Tuzungumzie ginseng na red yeast coffee

  1. 1. Tuzungumzie Ginseng na Red Yeast Coffee Kunywa Ginseng na Red Yeast Coffee si anasa bali ni sehemu ya maisha ya mtumiaji.
  2. 2. NI NINI HUIFANYA KAHAWA YA EDMARK KUWA YENYE MANUFAA KIAFYA? 1. Inashusha kiwango cha lehemu mbaya na mafuta yaliyohifadhiwa mwilini 2. Kuongeza kiwango cha lehemu nzuri. 3. Inaupa afya mfumo wa mzunguko wa damu kwenye moyo. 4. Inaupa lishe mfumo wa mzunguko wa damu 5. Inaboresha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula 6. Inapooza maumivu ya tumbo na kuongeza utendaji kazi wa bandama 7. Inatia nguvu mwilini 8. Inasaidia kuondoa hewa chafu katika damu na kupunguza kasi ya kuzeeka 1. Kuchangamsha akili na kumbukumbu. 2. Inazidisha uwezo wa kuona na kusikia. 3. Kukufanya kuwa imara na macho. 4. Kukufanya kuwa makini. 5. Inaongeza nguvu. 6. Kupunguza na kuondoa lehemu mbaya. 7. Inashusha shinikizo la juu la damu
  3. 3. Imepewa hati safi za: - Mfumo bora wa uzalishaji(GMP) - Matumizi stahiki kwa imani mbalimbali - Mamlaka ya chakula Malaysia na Tanzania

×