Hali Halisi ya Sekta ya Maji:
Hali ya upatikanaji wa maji vijijini
pamoja na mipango ya serikali za
kuongeza huduma za maji
Yaliyomo
• Changamoto zilizopo katika sekta ya
maji
• Mpango wa serikali na wafadhili
kudhibiti changamoto hizi (WSDP)
• U...
Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini
• Upatikanaji wa maji vijijini hauongezeki, unashuka
Wananchi Hawajaridhika
• Wananchi vijijini hutaja maji kuwa shida kubwa
katika maisha yao
Tatizo la Uendelevu
• 54% ya vituo vya maji vijijini
vinafanya kazi
All Waterpoints (including
non-functional points)
Func...
Average coverage
Nzega District
• Sehemu nyingi vituo vya maji ni vingi, sehemu
nyingine ni chache
• Na miradi mipya huend...
Tatizo la Uwajibikaji
• Development partners less hands-on
• Weak demand-side accountability pressures
• Result: an “accou...
Government and Donor Response
• Water Sector Development Programme
“Programu ya Maji”
Introduction to the WSDP
• One single sector-wide programme for
investment
• US$ 951mn over 5 years
• All major Developmen...
Proposed Contributions (US$ Million)
$200
$80
$207
$70 $60
$83
$251
$0
$50
$100
$150
$200
$250
$300
IDA(World
Bank)
AfDB
U...
30%
8%
.. and where is it going?
WSDP
50%
11%
$951m
$75m
$106m
$480m
$290m
Urban Water Supply
and Sewerage
Mainly to UWASA...
Status of WSDP – 2007-2010
• Launched in March 2007
• Funds flowing since 2007
• Two main activities in rural areas:
– “Qu...
Mgogoro
• Ambassador Hertz:
– "We do hope that this water sector review will
result in decisions which allow the DPs to re...
Ukosefu wa Fedha kwa Mradi ya Maji Vijijini
• Fedha zimetumika nyingi ku-design
• Zimebaki chache kwa ajili ya ujenzi
• Wa...
Madhara yake kwa wananchi
• Matamshi ya Mtumishi Mmoja wa Wizara:
– “We are not scaling down. We have raised hopes in 1300...
The future
• Miradi ya maji vijijini:
– Fedha zitaongezwa?
– Vijiji vitakavyotolewa kwenye WSDP ni vingapi?
– Ni vijiji vi...
Asanteni
Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini, WSDP
Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini, WSDP
Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini, WSDP
Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini, WSDP
Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini, WSDP
Upcoming SlideShare
Loading in …5
×

Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini, WSDP

1,309 views

Published on

A presentation on the state of rural water supply in Tanzania, and on the latest status of the Water Sector Development Programme - the Tanzanian government's main investment programme for water supply.

0 Comments
1 Like
Statistics
Notes
 • Be the first to comment

No Downloads
Views
Total views
1,309
On SlideShare
0
From Embeds
0
Number of Embeds
17
Actions
Shares
0
Downloads
15
Comments
0
Likes
1
Embeds 0
No embeds

No notes for slide

Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini, WSDP

 1. 1. Hali Halisi ya Sekta ya Maji: Hali ya upatikanaji wa maji vijijini pamoja na mipango ya serikali za kuongeza huduma za maji
 2. 2. Yaliyomo • Changamoto zilizopo katika sekta ya maji • Mpango wa serikali na wafadhili kudhibiti changamoto hizi (WSDP) • Uendeshaji wa WSDP hadi sasa
 3. 3. Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini • Upatikanaji wa maji vijijini hauongezeki, unashuka
 4. 4. Wananchi Hawajaridhika • Wananchi vijijini hutaja maji kuwa shida kubwa katika maisha yao
 5. 5. Tatizo la Uendelevu • 54% ya vituo vya maji vijijini vinafanya kazi All Waterpoints (including non-functional points) Functional Waterpoints Only
 6. 6. Average coverage Nzega District • Sehemu nyingi vituo vya maji ni vingi, sehemu nyingine ni chache • Na miradi mipya huenda kwa walio na vituo vingi Less than half (40%) of new funding going to wards with below average coverage Tatizo la Usawa
 7. 7. Tatizo la Uwajibikaji • Development partners less hands-on • Weak demand-side accountability pressures • Result: an “accountability gap” • An underlying cause of equity and sustainability challenges – Equity: Voices of under-served communities not being heard – Sustainability: Local government not being held accountable for keeping WPs functional
 8. 8. Government and Donor Response • Water Sector Development Programme “Programu ya Maji”
 9. 9. Introduction to the WSDP • One single sector-wide programme for investment • US$ 951mn over 5 years • All major Development Funds for the Water Sector (i.e. no funds for recurrent costs – salaries, office running, etc.) • World Bank, African Development Bank, US Millennium Challenge Corporation (MCC), KfW (Germany), Netherlands • Biggest donor is the Government of Tanzania – 30% of the total budget
 10. 10. Proposed Contributions (US$ Million) $200 $80 $207 $70 $60 $83 $251 $0 $50 $100 $150 $200 $250 $300 IDA(World Bank) AfDB US- Millennium Challenge Corporation Germany (KfW/GTZ) The Netherlands Government Others Government ofTanzania Source Contribution(MillionUS$)Where does the money come from?
 11. 11. 30% 8% .. and where is it going? WSDP 50% 11% $951m $75m $106m $480m $290m Urban Water Supply and Sewerage Mainly to UWASAs Institutional Strengthening and Capacity Building Mainly to MoW Water Resource Management Mainly to Basin Water Offices Rural Water Supply and Sanitation Mainly to LGAs
 12. 12. Status of WSDP – 2007-2010 • Launched in March 2007 • Funds flowing since 2007 • Two main activities in rural areas: – “Quick win” projects – Design consultants – 10 villages per district
 13. 13. Mgogoro • Ambassador Hertz: – "We do hope that this water sector review will result in decisions which allow the DPs to release committed funds to the water basket. Further damage to the reputation of the WSDP and the water sector should be prevented.“ • Minister Mwandosya: – "I submit that, my dear development partners, the glass is half full."
 14. 14. Ukosefu wa Fedha kwa Mradi ya Maji Vijijini • Fedha zimetumika nyingi ku-design • Zimebaki chache kwa ajili ya ujenzi • Wafadhili hawapo tayari kuongeza fedha • Matokeo yake: – Wananchi wa vijiji 1,300 (10 kwa kila wilaya) vimeahadiwa miradi mipywa ya maji, lakini hawatapata.
 15. 15. Madhara yake kwa wananchi • Matamshi ya Mtumishi Mmoja wa Wizara: – “We are not scaling down. We have raised hopes in 1300 villages and we will follow through on this.” – “The so-called 10 villages per district will definitely have to be reduced, to 4 or 6, since it seems the funding will not be available.” • Ufafanuzi: – Takribani vijiji 800 vilivyoahadiwa maji havitapata – Takribani watu 2,000,000 waliahadiwa maji hawatapata
 16. 16. The future • Miradi ya maji vijijini: – Fedha zitaongezwa? – Vijiji vitakavyotolewa kwenye WSDP ni vingapi? – Ni vijiji vipi? – Vitachaguliwaje? • WSDP itaendelea baada ya 2012? Haijulikani!
 17. 17. Asanteni

×