Gwc full with 2 stories

888 views

Published on

0 Comments
0 Likes
Statistics
Notes
 • Be the first to comment

 • Be the first to like this

No Downloads
Views
Total views
888
On SlideShare
0
From Embeds
0
Number of Embeds
3
Actions
Shares
0
Downloads
2
Comments
0
Likes
0
Embeds 0
No embeds

No notes for slide

Gwc full with 2 stories

 1. 1. Kutokana na vitabu vya dini :- Kulikuwa Tajiri aliyekuwa na wafanyakazi wake watatu. Siku moja yuletajiri alikuwa anasafiri. Akawaita wafanyakazi wake na kila mmoja akampa Talanta, wa kwanza akampatalanta tano (5), wa pili akampa talanta mbili (2) na wa mwisho akampa talanta moja (1) halafu akasafiri.Wale wafanyakazi wakazifanyia kazi zile talanta walizopewa ila yule aliyepewa talanta moja aliendakuichimbia chini, Baada ya kipindi Fulani yule tajiri akarudi kutoka safari, akawa amekaa na wafanyakaziwake, wakiwa wanaongea na wafanyakazi wake akawauliza kuhusu talanta alizowapa, yule aliyepewatalanta tano akamwambiaMfano wa talanta ni mtazamo halisi wa maisha tunayoishi Kuna maskini (talanta moja ambazowamezificha) maisha ya saizi ya kati (talanta mbili zilizoongezeka kuwa nne) na matajiri (talanta tanozilizoongezeka na kuwa kumi) nah ii iko hivi maskini hawazalishi japo wanatumia japo watu wa saizi yakati wanazalisha kidogo na kukitumia hichohicho kidogo mfano mtu yeyote aliyeajiriwa hata kama nimkurugenzi ukimtafuta tarehe 18 hata 20 utakuta hana hela au kaishiwa tena anaweza akaanza kukopaangalau asogeze siku mpaka mishahara iweze kutoka ndio aanze kuwa na nafuu na maisha yarudikawaida. Hata kwa mtu aliyejiajiri na kuzilisha kidogo nae maisha yake yako hivyo hivyo tukija kwamatajiri hali ni tofauti kwani wao huzalisha zaidi ya matumizi yao. Na hapo ndipo linakuja swala latalanta kugawa na kupokea talanta kunatokana na uzalishaji unaoufanya hivyo ndivyo talantazinavyotoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hata ukiangalia kwenye vitabu wanasemamwenye talanta nne hakuongezewaHata hivyo ukiwa na biashara yako kodi ni swala na mwisho kulipa ila ukiwa mfanyakazi kodi ndio kitukitu cha kwanza na haiepukiki na Katika biashara inalipwa baada ya faida na faida ni mapato unatoamatumizi, na kwenye matumizi ni sehemu ambayo mwenye biashara anapocheza napo mwenyebiashara lazima ajipanue kwa kuongeza matawi au kuongeza huduma hapohapo na kwa kufanya hiloananunua mashine na vitu vingine na vyote hivi vinaonekana kama matumizi na ndizo zinazopunguzamwonekano wa faida , pia huwa wanatatoa misaada ambayo inaingiza kama matumizi kwa sababuinaingia kama cheque na tena kwa kutoa misaada anapata msamaaha wa kodi tena haiishi hapoatajinunulia gari atajiwekea mafuta kwa kama gharama za ofisi yote haya anapunguza faida na kwa vileamenunua mashine anazidi tu kukukibiashara, sasa turudi kwa anayefanya kazi kwa mwezi wenyewehela haikutoshi sana sana ataingiza kwenye mkopo ili mshahara utoke tena na mshahara ukitoka aanzekulipa madeni ifike katikati ndio aanze kukopa tena huku na muda ndio kabisa umebanwa utaanzaishalini biashara na hata biashara ukiianzisha huweza kuimiliki. Sababu haupo pale na bila ya kuwa na uzoefuwa biashara hata kama una hela vipi kama huna ujuzi nayo inakukufilisi kama unataka kuanziashabiashara anza kuanzia mwanzo na ukuwe na biashara inavyokuwa au kafanye kazi kwa mtu mwenyebiashara unayoitaka kisha anzisha yako
 2. 2. Katika kijij kimoja lenye mabonde mazuri, kulikuwa na marafiri wawili Bruno na Pablo walikuwa vijanawachangamfu na waliotaka maisha mazuri hapo baadae, na mara kwa mara walikuwa wana jadilianamalengo yao jinsi watakavyoyafaya na kufanikiwa kuliko watu wote hapo kijijini hawakuogopa kufanyakazi kwa bidii na walikuwa wanatafuta fursa kokote ilipokuwa inapatikana iliwaweze fanikisha malengoyao. Siku moja fursa ilijitokeza, Diwani wa hicho kijiji aliamua kuwaajiri watu wawili kutoa maji kutokakwenye chemchem ya bonde la pili (jirani) na kupeleka hapo kijijini na watalipwa kulingana na idadi yaujazo wa maji atakaopeleka. Bruno na Pablo kwa hamu na hamasa kubwa wakaanza kufanya kazi. Kilasiku kuanzia asubuhi mpaka joini wakawa wanachota maji kutoka kwenye chemchem mpaka kwenyekijiji, walifanya kazi kwa bidii na jioni walirudi nyumbani na ujira wao waliolipwa kutokana na ujazo wamaji waliyochota. Bruno aliridhika na kipato alichokuwa anakipata akafikiria jinsi ya kuongeza kipato nibora aongeze ukubwa wa ndoo ili aongeze wingi wa maji. Aliamini kwa kuwa kipato cha kawaidaataweza kutimiza malengo yake ya kununua ng’ombe na kuwa na ghorofa aliyokuwa anaitaka. Pablohakuwa ameridhika na kipato alichokuwa anakipata, kila siku anarudi mikono nyuma na alikuwaanachoshwa na hii hali. Na alikuwa anafikiria njia rahisi ya kipata kipato kingi, siku moja wazo likamjiaPablo akafikiria akiweza kutengeneza bomba kutoka kwenye chemchem mpaka pale kijijni na kwakutumia huo mfumo wa bomba ataweza kupeleka maji mengi hapo kijijini bila ya kubabe ndoo.Alifurahia sana kulipata hilo wazo. Akamtafuta Bruno na kumshirikisha wazo alilolipata na kumuombawalitekeleze wote katika kutengeneza huo mfumo wa mabomba ya maji. Bruno akaona hilo ni wazokichaa, Bruno alichokifikiria ni hela za harakaharaka na jinsi ya kuzipata sasa hivi. Alifikiria kutengenezamabomba ya maji kutampunguzia na kumchelewesha Kutimiza malengo yake. Alichoamua ni kuongezaukubwa wa ndoo na kuongeza idadi na uharaka anaoutumia kwenda na kurudi wakati wa kuchota majiili atomize malengo yake haraka. Pablo akaamua kutengeneza huo mfumo wa mabomba ya maji pekeeyake na alijua kuwa sio kazi rahisi kutengeneza na itamchukua muda kutengeneza mpaka kumaliza ilaakajiwekea akilini mwake katika lengo lake la kutengeneza huo mfumo. Kila siku alikuwa anabeba majikama mwanzo ila kila mwisho wa mwezi na muda wake wa ziada baada ya kazi za mchana, alikuwaanachimba miamba na kubeba udongo iliafanikishe kupitisha mabomba na tena kwa mwezi wa kwanzajuhudi zake zilionekana kuwa ndogo. Bruno na wanakijiji walikuwa wanamcheka na kumuita kwa kejeliPablo mabomba ya maji na tena kwa kipindi hichi kipato cha Bruno kiliongezeka mara mbili na aliwezakununua ng’ombe na kujenga ghorofa na maisha yake yakabadilika, alikuwa anatumia muda wake waziada kwenda kunywa pombe baa na marafiki akifurahia kipato chake cha kubeba maji. Bruno alikuwaajajua kuwa mwili wake unazidi kuchoka kutokana na kubeba ndoo kubwa uso wake umeaanza kutoamikunjo ya uso na mwili unachoka na ikabidi apunguze kubeba idadi ya majiMwezi baada ya mwezi Pablo akaendelea kutengeneza mabomba mwaka wa kwanza na wa pili ukapitawa tatu mabomba yakakamilika na kuanza kutumia mabomba kupeleka maji kijijini bila ya kubeba majikwa sasa akawa anapata hela mara nyingi ya alizokuwa anapata mwanzo maji yalikuw ayanaendeleakutoka pale kijijini na alikuwa ameweka mita ya kuhesabia ujazo wa maji, kwa hiyo Pablo hakuwaanafanya kazi akawa anakula raha huku maji yanatoka na kuhusabiwa na mita. Pablo alifurahi sana kwakutambua alichokifanya na alikwa anapata hela kwa jinsi maji yanavyozidi kutoka kwenye bomba.Stori ya Pablo na Bruno ni mtazamo wa maisha tunayoishi. Kazi ni sehemu watu wanapopatumia kupatakipato. Bruno yeye anapata kipato kwa kutumia ndoo anakwenda na kurudi kuchota maji ilia pate hela,
 3. 3. ili kuongeza kipato inabidi aende na kurudi na mara nyingi(more frequently) au kutumia ndoo kubwa.Kwa hali ya kawadia watu wanaona kana kwamba ili kuongeza kipato inabidi mtu afanye kazi kwa bidii.Kwa mfano kufanya kazi muda wa ziada (kuongeza muda zaidi ya muda uliopangwa “overtime”) aukutafuta kazi ya pili. Ni sawa tunaongeza ukubwa wa ndoo kwa kukubali nafasi za juu za uongozi. Kitukinachotupelekea kutumia muda mwingi kazini kwa kipato kilicho na kikomo (sio endelevu) na tunakosamuda wa kuwa karibu na familia zetu. Watu wengi kubadilisha/wanauza muda wao kwa hela kamaBruno, inajulikana kwamba kila mtu ana masaa 24 kwa siku na hakuna mtu anaweza kuyatumia masaayote kazini. Wakati mbaya unakuja pale mtu anaposhindwa kubadilisha au kuuza muda wake kwa helakutokana umri kwenda au matatizo ya kiafya au sababu nyinginezo baada ya hapo kipato chakekinasitishwa.Embu tuangalie Pablo alichokifanya, kwa busara za hali ya juu hakubadilisha muda wake wote kwa hela.Alitumia muda wake wa ziada kutengeneza mfumo wa mabomba, alijua mfumo wa mabomba utakujamletea kipato kisicho na kikomo kulingana na maji yanavyotiririka kwenye mabomba. Alijua kwa kufanyahivyo muda utakuwa unajizidisha kwa ajili ya baadae, na kutokana na umri au matatizo ya kiafyaatakuwa anashindwa kubadiisha au kuuza muda wake. Pablo alijua akiamua kuutekeleza mradi wake wawa mabomba atatakiwa afanye hiyo kazi kwa bidii na maarifa na ni kazi nguvu sana ila inahitaji adabu nahata alivyokwisha kuimaliza Pablo alikuwa na kazi wa kufanya marekebisho madogomadogo nakuhakikisha maji yanatiririrka kwenye mabomba tu ili hela ziendelee kuingia kwenye mifuko yakeKaribu kwenyeHizi ni dakika chache muhimu ulizowahi kutumia kwenye internet , Itakuwa na madhara juu ya maishayako ya baadaye ya kimaisha, hatima ya fedha na milele, Ninachotaka kushiriki na wewe katika dakikachache zijazo kitabadilisha maisha yako kabisa.Kama wewe utachukua hatua leo inaweza kuwa tofauti kati ya chochote ulichokuwa ukikifanya mpakasasa na kuishi maisha ya malengo ya kwako tena yale uliyokuwa unayoyapenda)Kama wewe unaishi maisha unayoyapenda na yako katika malengo uliyokuwa umejiwekea basi hii siokwa ajili yako. Hata hivyo, kwa wale ambao bado basi, Ngoja tuchambua baadhi ya mamboNini kinachopelekea hali hii!!Tuliambiwa kwamba: • Twende shule na tusome kwa bidii na tupate alama nzuri darasani ili tupate kazi nzuri inayolipa zaidi, tufanye kazi kwa bidii,tuishi maisha ya kujinyima, tuhifadhi hela, tuondokane na madeni na tuwe na kiinua mgongo kizuri. Ila hata kimoja hakiendeni na hali ya sasa
 4. 4. Uchumi wa kila nchi Uko kwenye hali mbaya kushuka kwa thamani ya hela kulizidi na kunazidi kushuka.Ajira na Mishahara na gharama za maisha haviongezeki kwa usawa mmoja. Kushuka kwa uchumikumesababisha maelfu ya watu duniani kuachishwa kazi walizokuwa wanazitegemea na kuziamini ndaniya dakika na bila taarifa.Watu wengi hawawezi kuanzisha Biashara kutokana na kukosa mtaji unaotakiwa katika kuwekeza.Kuweza kwa kufungua ofisi, kuwalipa wafanyakazi, gharama kuhifadhi na gharama nyinginezo zinazidikuwa ghali sana. Na ukishindwa kutafuta masoko vizuri, Utajikuta unapata hasara kubwa zaidi.Unaweza kuamua kuchagua biashara zilizo tayarishwa tayari zinazoitwa ‘franchise’ ila itakugharimumamia ya mamilioni kuianzisha na kuiendeleza.Kuna njia mbadala ya kununua biashara ya kisasa iliyoandaliwa “franchise” ambayo haitakugrarimu helanyingi na inaitwa: GWCKwa GWC utaishi maisha uliyokuwa unayataka na kuwapa watoto wako elimu inayowafaa, ukaishi naunaowapenda katika maisha mnayoyataka. GWC ni mfumo unaokusaidia kufanya kazi muda unaotaka,kuwa mkurugenzi wa kujitegemea, kujipangia mshahara wewe mwenyewe,tumia muda na jitihada zawatu wengine bila kumlipa mtu hata mmoja! Wewe unakuwa mmiliki wa biashara yako hii na kujifanyiakazi utakavyo kuanzia leo. Ulishawahi kufikiria kumfukuza kazi bosi wako wa sasa au kujifanyia kazi zakomwenyewe? GWC inaweza kukuwezesha kufanya hivyo kirahisi na kulipizia msharahara wako wa mwezikwa kujifanyia kazi ukiwa nyumbani.Ngoja nikupe maelezo GWC kiundani:GLOBAL WEALTHY CLUB,GWC ilianzaishwa 2011Makao Makuu yako London U.K.Ina uongozi makiniNi binafsi na haidaiwiIna miundo mbinu ya uhakikaIna ofisi na misaada ya haraka dunia nzimaDHUMUNI: Kutengeneza kikundi cha wajasiriamali wanaochipukia kwa kasi duniani kwa kutumiainternetGWC inaunganisha mienendo saba inayokuwa kwa kasi katika dunia ya sasa kwa mara ya kwanzaambayo ni • 1) Internet – 2 Billion People
 5. 5. • 2) E-learning - Fast Growing Trend Personality & Self Development - $100 Billion Industry • 3) Home Based Business - $200 Billion Industry • 4) eLearning - $32 Billion Industry • 5) Travel - $900 Billion Industry • 6) Online Shopping - $142 Billion Industry • 7) Weight Loss- Obesity has become a worldwide phenomenon Peter Drucker - Forbes Magazine Alisema: “Elimu ya mtandao ni fursa kubwa inayokuja … “Elimu ya mtandao inaonyesha utofauti mpya na mkubwa, tofauti ya maeneo mengine, na ndio njia mpya ya utoaji elimu... Na kuna soko kubwa duniani lenye uthamani wa maelfu ya mabilioni ya hela” Kuingia GWC Kuna njia 4 za kuingia GWC na ni kama ifuatavyo:1. Kifurushi cha Student -$1002. Kifurushi cha Basic - $1993. Kifurushi cha Elite - $5994. Kifurushi cha Platinum - $1399 Vifurushi vya Bidhaa Kabla ya kuingia kwenye bidhaa kiundani jua hili GWC inajihusisha na bidhaa za LAW OF ATRACTION ambayo ni self-development na personality, Kwanini uamue kujihusisha na LAW OF ATRACTION kutokana na hali ya kawaida “watu tunakuwa kutokana na jinsi tunavyofikiria muda mwingi” na jinsi ambavyo mwili unakuzwa na aina ya chakula unachokula vile vile na Akili zetu zinakula kwa kuangalia, kusoma na kusikia kwa hiyo unavyoviingiza kwenye akili yako ndio vinakujenga wewe mtu ambayo anasikiliza aina Fulani ya muziki mara nyingi basi anajikuta anakuwa na tabia ya aina ya dhamira ya ule muziki mfano miziki ya mapenzi watu wengi wametumia muda mwingi kusikiliza aina hii ya miziki na ukiangalia watu wengi wanaishi maisha ya hayo yaliyoongolewa mfano jinsi ya kumdanganya au kuwa na wapenzi wengi bila kujali na watu wanaishi hayo maisha hata watu wanavyodanganyana na kusameheana na watu wanafanya hivyo hivyo au kwa wale wanaoangalia tamthilia au filamu za mapenzi wanafanya hivyohivyo na
 6. 6. kuishi maisha ya kuigiza. Kwahiyo watu tunakuwa kutokana na jinsi tunavyofikiria tulivyo kwa muda mrefu” ukifikiria wewe ni maskini basi utakuwa maskini ukifikiria huwezi kufanya kitu basi hutoweza kukifanya na mara nyingi watu tunafikiria kufanikiwa ila badala ya kufikiria ni jinsi gani utafanikiwa ila wengi tunafikiria ni jinsi gani tutakavyoshindwa kufanikiwa na jinsi tunavyotumia muda nyingi kuangalia tunavyoshindwa ile hali ya kushindwa inatutawala mwisho wake tunakata tamaa na tunashindwa kufanya lolote na pili mafanikio yanahitaji utu (personality) kwa hiyo ili kuwa na mafanikio yeyote unahitaji LAW OF ATRATION ili kujiendeleza mara kwa mara ili kufikia mafnikio unayoyataka1. Kifurushi cha Student -$100 Mafunzo ya kina juu ya jinsi ya kutumia Law of Attraction katika maisha yako na unufaike nayo kwa kupitia vitabu 10 (30 eBooks) kila wiki utapata kitabu kimoja Tumia “Law of Attraction” katika maisha yako. Nusu kituo cha biashara (75 PV)kipato kisicho zaidi ya 5,500,000/= ($3500) kwa wiki Unaweza ku up grade muda wowote2. Kifurushi cha Basic -$199 Mafunzo ya kina juu ya jinsi ya kutumia Law of Attraction katika maisha yako na unufaike nayo kwa kupitia vitabu 30 (30 eBooks) kila wiki utapata kitabu kimoja Kituo kimoja cha biashara (150 PV)kipato kisicho zaidi ya 11,000,000/= ($7000) kwa wiki3. Kifurushi cha Elite -$599 Kifurushi cha Elite ni mafunzo yote ya kifurushi cha basic na mafunzo zaidi yanayohusu utu na mafunzo ya maendeleo binafsi kwa vitabu vya sauti kama :- Financial IQ and Management (Elimu ya Fedha na usimamizi wake) Positive Thinking (Mawazo chanya) Goal Setting and Getting Results Spirituality, Zen & Enlightenment Habits and Sub Consciousness etc. Vituo 3 vya biashara (450 PV) kipato kisicho zaidi 33,000,000/= ($21,000) kwa wiki4. Kifurushi cha Platinum -$1399
 7. 7. Mafunzo ya juu ya Maendeleo ya mtu binafsi kwa VideoKifurushi cha Platinum ni mafunzo yote ya kifurushi cha basic , Elite na mafunzo zaidi yaliyo kwenyeVideo yanayohusu utu na mafunzo ya juu ya maendeleo binafsi kama:-Affirmation Video SeriesGuided Hypnosis Video SeriesMeditation Video SeriesFitness Video Series etcVituo 7 vya biashara (1050 PV) kipato kisicho zaidi 79,000,000/= ($50,000) kwa wikiFURSA YA BIASHARAGWC inakuletea malipo ya kwanza ya kipekee DUNIANI ya kulipwa kila sikuNjia 10 za kulipwa….1. Fast Start Bonus2. Team Builder Bonus3. Executive Bonus4. Binary Income5. Mega Matching Bonus6. Rank Advancement Bonus7. Global Royalty Income Pool8. Sales Office Program9. Yearly Renewal Income10. Quarterly Travel Incentive Fast Start BonusUkiwa umejiunga tuseme umejiunga kwa kufurushi cha Basic cha $199 na ukamjulisha rafiki yako nayeye akajiunga kama wewe basi wewe utapaka $10 kwa hiyo kila mtu utakaye mjulisha akijiungakwa ID yako basi na wewe unapata $10 kwa kila mtu uliyemuunganisha na kila anayejiunga anapataID na hakuna kikomo ya watu unaowaungalisha
 8. 8. Kutengeneza Timu -Ukimuunganisha mmoja kushoto na mmoja kulia unakuwa umetengeneza TIMU na sasa unakuwa na uwezo wa kupata mapato mengine yote Team Builder Bonus Kwa kila uliyemuunganisha kwenye GWC na yeye akimuunganisha mtu yeye analipwa $10 zake na wewe unalipwa $5 kwa kila mtu aliyemuungaanisha bila kikomo Executive Bonus Ukiweza kusaidia watu wawili wawe na watu wawili kila mmoja ndani ya siku 15 za kujiunga unalipwa $75 Hii ni biashara inayohusuana na kusaidiana utafundishwa na wewe utawafundisha wengine jinsi unavyoifanya mbinu zote ili uweze kufanikiwa kulingana na malengo yako Binary IncomeBinary inafanya kwa 1:1 na kila pair au pacha utakayo izalisha wewe watu uliowaunganisha auwaliojiunga kupitia wewe utalipwa $25 kwa kila pair kwa wewe na timu yako mtalipwa $25 kila mmoja Mega Matching BonusKwa kila mtu uliyemuunganisha GWC, kila binary anayolipwa wewe unapata 5% ya mapato yako. Kwa mfano, umemuungalisha A na B na mapato yao ni $500 kila mmoja, yaani $1000, kwa hiyo utapata$50 (5% of $1000). Embu fikiri utapata kiasi gani ikiwa una 100 ambao umewaunganisha wewe pekeeyako. Jumla ya mapato ndani ya siku 15Kwa mfano umewaunganisha watu wawili na ukawasaidia hao wawili wakawaunganisha wawili kilammoja utalipwa: 1. Fast Start Bonus watu wawili wamejiunga kwako $10 x 2 = $20 2. Team Builder Bonus watu wawili wameunganishwa na watu uliowaunganisha $5 x 4 = $20 3. Executive Bonus - una wawili na wenyewe wana wawili ndani ya siku 15 = $75 4. Binary Income - una pair 3 $25 x 3 = $75 5. Mega Matching Bonus 5% ya uliowaunganisha $1.25 x 2 = $2.5 JUMLA = $20+$20+$75+$75+$2.5=$192.2Una rudisha 97% ya hela zako ulizozitumia kujiungia ndani ya siku 15 za mwanzo UWEZO WA BIASHARA
 9. 9. Juhudi zako binafsiSasahivi umepewa nafasi ya kupata 100% kutokana na juhudi unazozifanya na kulipwa kutokana naunazozifananya sasa.Katika GWC fikiria umeamua kununua kifurushi cha Basic($199) ukaamua kuweka juhudi x% kama hapochini:- 100% = $15,000 kwa mwezi 50% = $7,500 kwa mwezi 25% = $3750 kwa mwezi 10% = $1,500 kwa mwezi Swali kwakoKwa fursa ya biashara yenye uwezo wa mapato ya $15,000 kwa mwezi naKwa juhudi zako na msaada wetu sisi, ni muda gani utautumia kuhamasisha watu wawili na biasharayako ya GWC? Simu tu? Masaa machache? Siku moja au mbili? Wiki moja au mbili? Kama utapata watu wawili kirahisi kujiunga ndani ya mwezi mmoja Embu tuangalie utaweza kupata malipo ya kiasi gani kwa mwaka mmoja.. Jinsi kipato cha ziada kinavyokuwa Kwa mwakaKwa mfano umejiunga mwezi huu tuuite mwezi wa kwanza katika biashara na ukahakikisha unapatawatu wawili wa kujiunga ndani ya mwezi na baada ya hapo unahakikisha umewafundisha hao watuwawili kila mmoja awe na watu wawili ndani wa mwezi unaokuja kwa hiyo utakuwa na timu wa watusita yaani wawili uliowaunganisha wewe na wane waliounganishwa na hao uliowaunganisha. Mweziunaokuja yaani wa tatu kwako mnakaa wote na kuwafundisha hao waliojiunga na mnahakikishawanawaungalisha wawili na kwa hiyo hao wane waliojiunga wakiwaunganisha wawili kila mmoja basiwatu nane watakuwa wamejiunga ndani ya mwezi huo kwahiyo hii inakuwa ndio tabia yenu kilaanayejiunga katika huo mwezi anatakiwa ahakikishe anawangiza watu wawili na ukifanya hivyo ndani yamiezi 12 na idadi inaji double kila mwezi na kufikia mwezi wa 12 utakuwa na timu ya watu 8190 ambapo
 10. 10. ukigawanya kwa mbili (2) unapata 4095 kwa hiyo ni pair 4095 na kwa kila pair utakayoisababisha weweau mtu wa timu yako utalipwa $25 kwahiyo 4095 x $25 = $102,375 ambayo ni sawa na zaidi ya Milionimia moja na sitini Tshs 160,000,000/= kwa mwakaKama unaweza kufanya kwa wiki na kila mtu akafanya kwa wiki basi utazipata hizo kwa wiki 12 Miezi Kipeuo cha Idadi ya pili Watu 1 2 2 2 4 6 3 8 14 4 16 30 5 32 62 6 64 126 7 128 254 8 256 510 9 512 1022 10 1024 2046 11 2048 4094 12 4096 8190 Rank Advancement Bonus (Kipato cha Vyeo)
 11. 11. MudaPacha Vyeo Kipato (Miezi)10 Bronze 1 $10025 Silver 2 $20050 Gold 3 $500100 Pearl 4 $1,000200 Ruby 6 $2,000500 Emerald 9 $5,0001,000 Diamond 12 $10,0002,000 Blue Diamond 15 $20,0005,000 Black Diamond 18 $30,00010,000 Royal Black Diamond 21 $50,00025,000 Ambassador 24 $75,00050,000 Crown Ambassador 30 $100,000100,000 Double Crown Ambassador 36 $200,000200,000 Triple Crown Ambassador 40 $500,000Global Royalty Income Pool• Global Royalty Income Pool ni mapato yanayogawiwa kwa walifika Diamond na zaidi.• Waliofika Diamonds na zaidi wanagawana 1% ya mauzo yote (faida) yaliyofanywa na Global Wealthy Club duniani kote kwa mwaka mzima.
 12. 12. Sales Office Program• Itakapo tengenezwa Timu makini kwenye sehemu yeyote kampuni itasaidia gharama za kufungua ofisi kwa ajili ya mafunzo, na kuonyesha biashara kwa watu wapya, pia na kufanya mikutano ya timu na shughuli mbalimbali.• Hii itasaidia kukuza biashara kwa ujumla na kuipeleka mbali zaidi.• Kama kwenye sehemu yako yeyote kwa mfululizo kutatokea mauzo 300 ya kifurushi cha basic, timu yako itakuwa na uwezo wa kulipiwa $600 kwa mwezi kwa ajili ya kodi ya sehemu kuonyesha biashara.Yearly Renewal Income• Pale kila mtu kwenye Timu yako atakapolipia kuendeleza uanachama kwa $25 kwa mwaka wewe utalipwa 25PV($33) ambayo itakusaidia kuongeza kipato chako.• Jaribu kufikiri una watu 6 kwenye Timu yako wanaoendeleza uanachama, utapata 150PV sawa na na ID moja ya Basic.Quarterly Travel Incentives• Kila robo ya mwaka kunakuwa na tukio la kimataifa la Global Wealthy Club University litafanyika sehemu za kifahari itakayochaguliwa na utapata nafasi wewe na timu yako kuhudhuria ikiwa umelipiwa kila kitu na kutakuwa na mafunzo ya hali ya juu.Siri ya Bill Gates…Bill Gates alipoulizwa kwanini amekuwa tajiri kwa kiasi hiki alijibu Vitu 3...1. Nilikuwa kwenye sehemu sahihi na kwa muda sahihi.2. Niliona malengo makubwa(maono ya mbele)3. Nikachukua hatua na kuweka matendo zaidiUTAJIRI WA KWELI UNATOKANA NA KUWA MBELE KWA KILA KITU…Unachotakiwa kufanya!!!Chagua kifurushi kimojawapo unachotaka kununua :Kifurushi cha Student($100) – 1/2 id & earn max $1,750/wikiKifurushi cha Basic ($199) – 1 id & earn max $7,000/wikiKifurushi cha Elite ($599) – 3 ids & earn max $21,000/wikiKifurushi cha Platinum ($1399) – 7 ids & earn max $50,000/wiki
 13. 13. Rudi kwa aliyekushirikisha hii taarifa na Muulize jinsi gani unaweza kujiunga leo na ukaanza kupata malipo hata kesho. Mwisho, wahenga wanasema… …Kuna aina ya watu 3Wanaofanya vitu vitokee..Wanaangalia vitu vikitokeaWanaoshangaa vitu vimetokeaje! Kama unataka kufanya vitu vitokee fursa ni hii… Kulipia tembelea www.globalwealthyclub.com/banker.htm Kujiunga www.globalwealthyclub.com/join.htm au www.globalwealthyclub.com bonyeza Join Us button kisha bonyeza submit jaza form ila utahitaji PIN ambayo utaipata baada ya kulipia ni kama namba ya risiti pia unahitaji ID ya mtu aliyekupa hii taarifa na ukimaliza kujaza ukisubmit na wewe unapata ID na password ambayo utaitumia ku log in kwenye www.globalwealthyclub.com na kuingia kwenye ofisi yako iliyona karibia kila kitu na pia ID utampa mtu anayetaka kujiunga au wewe unayetaka kumuunganisha na kutengeneza hela hata kuanzia leo hii Kuangalia hii taarifa kwenye video tembelea www.globalwealthyclubpresentation.com/english- presentation

×