Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.

WBenny young philosopher

183 views

Published on

  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

WBenny young philosopher

  1. 1. Benson Mwinuka(Bfaith)MAFANIKIO NA JAMIIMASWALI 15 YANAYOWEZA KUKUSAIDIABenson A. Mwinuka(Bfaith) 2012/2013
  2. 2. UNAFIKIRI NINI KUHUSU MAHUSANO YALIYOPO KATI YA MAFANIKIO YAKO NA JAMII INAYOKUZUNGUKA? 1/1/2013 X Be nson Mw inuka Industria l Engine e rMASWALI 15 YANAYOWEZA KUKUFANYA UJIBU SWALI HILO HAPO JUU!MASWALI:-1. JE, UNAITAMBUA VIZURI JAMII INAYOKUZUNGUKA?2. UNAFAHAMU NINI KUHUSU TABIA NA MWENENDO WA JAMII INAYOKUZUNGUKA?3. UNAFIKIRI UNAWEZA KUJAMIIANA NAYO?4. UNAAMINI KUWA JAMII INAYOKUZUNGUKA INAWEZA KUWA CHACHU KUBWA KATIKAKUPATA MAFANIKIO YAKO?5. JE, JAMII INAYOKUZUNGUKA INAKUTAMBUA?6. HUENDA JAMII/SEHEMU KUBWA YA JAMII IMEKUTENGA!7. UNAZIFAHAMU SABABU ZILIZOIFANYA/ZINAZOIFANYA JAMII INAYOKUZUNGUKAUKUTENGA?8. WEWE UNAINGILIANA VIPI NA JAMII YAKO?9. UNAWEZA KUTAMBUA KUWA JAMII YAKO INAHITAJI MTU WA NAMNA IPI? (Kwa mfano,Watu wakali, wapole, wachangamfu, waongeaji sana, wakimya, walevi, watu wa namnambili au zaidi katika hizi?)10. JE, UMEGUNDUA NINI KUHUSU WEWE NA JAMII YAKO? UNAFIKIRI KUWA WEWE NDIYEMTU WA NAMNA ILE AMBAYE JAMII YAKO INAMHITAJI?11. JE WEWE UPO TOFUTI NA MTU YULE AMBAYE JAMII YAKO INAMHITAJI?12. UNAFIKIRI NINI? WEWE UNAWEZA KUIBADILI JAMII NA KUIFANYA IMHITAJI MTU WAAINA YAKO AU,JE UNAWEZA KUBADILIKA NA KUWA MTU YULE AMBAYE JAMII YAKOINAMHITAJI?13. JE, UNAWEZA KUMUDU KUDUMU KATIKA NAMNA AMBAYO JAMII YAKOINAHITAJI? (Kwamuda gani?)
  3. 3. 14. UNAIHESHIMU VIPI JAMII INAYOKUZUNGUKA?15. UNAFIKIRI JAMII YAKO INAKUHESHIMU SAWA AU ZAIDI YA VILE WEWEUNAVYOIHESHIMU? (Kama jamii yako haikuheshimu na au inakuheshimu kwa kiwangokidogo u kujiuliza kwa nini?)Zaidi ya 75% ya vitu/mambo unayoyahitaji katika maisha yako hayapo mikononi mwako.75% ya vitu/mambo hayo yapo mikononi mwa watu wengine(Wanajamii wanaokuzunguka!).Unaweza kujibu maswa yotekuhusu jamii inayokuzunguka ili uweze kupata mafanikiounayoyatafuta. Huenda wanajamii wanaokuzunguka hawautambui na hivyo hawajui kamauna mahitaji na vitu/mambo hayo. Juhudi yako pekee juu ya mambo hayo haitakufanyaupate vitu/mambo hayo!IFAHAMU KWANZA JAMII YAKO!Huenda wanajamii wengine hawatambui kama wana vitu/mambo unayoyahitaji (Swali la 5, 8linaweza kukusaidia).MUHIMU!Hautakiwi kukosea hapa! Usifanye kosa kwa kuchagua na kuibagua jamii yako. Wapowengine wanaichukulia jamii yenye nguvu kuwa akina baba tu, au akina mama tu, au vijanatu, au wazee tu, au watu wakubwa tu na si watoto, au watu flaniflani tu wenye uwezo wakiuchumi au kielimu.Ukifanya hivyo itakuwa vigumu kupata kile unataka kutoka kwa jamii yako.Jamiii yako yenye nguvu ni muunganiko wa watoto, vijana na wazee,akina mama na akinababa, walemavu na watu wazima wasio na ulemavu wa aina yoyote, masikini na matajiri,waliosoma na wasiosoma, wenye nyadhifa na vyeo na wale wasio navyo!Swali namba 6, 7 na 14.Huenda watoto au vijana au wazee na au wengine katika makundi hapo juu wamekutengana ndio maana umekosa kabisa au umepata sehemu ndogo tu ya hazina waliyonayo ambayondiyo hitaji lako.Huenda wewe mwenyewe ndio chanzo kilichoifanya jamii ikutenge. Labda wewe mwenyeweumeanzanakuwatenga watoto, wazee, walemavu, akina mama au akina baba. Labda tabia namwenendo wako haujakubalika katika jamii inayokuzunguka!Huenda kauli na semi zako hazina radha nzuri na kuwavutia wanajamii wanaokuzunguka!Au labda jamii inayokuzunguka haijakutambua! Unafikiri unahitaji kipaza sauti nakujitambulisha kwa wanajamii? Benson Mwinuka(Author)
  4. 4. KUHUSU MWANDISHIBenson Mwinuka ni kijana (1989) mwanafunzi anayesomea digrii yake ya kwanza ya Uinjiniawa viwanda kwa miaka 2011-2015 katika chuo kikuu cha Dar es salaam Nchini Tanzania.Mara nyingi anatumia muda wake wa ziada kuandaa na kuchapisha nakala mbalimbali zenyeujumbe na kuelimisha jamii.Ameshafanya nakala ya Wakati wa kufanya mabadiliko, nakala ya “What’s all about achance?” na nyingine nyingi zinazoambatana na hii.“Je unitambua vizuri jamii inayokuzunguka?”MAWASILIANO:-E-mail: beniefaith@gmail.comPhone:- Line 1: +255768 661 416 Line 2: +255719 288 419Blog: http//www.tanzania-nyumbani.blogspot.com

×