SlideShare a Scribd company logo
1 of 11
Download to read offline
ORIFLAME INAKUFANYA UZIFIKIE
NDOTO ZAKO
GUNDUA FURSA NZURI ZA
ORIFLAME
 Je ungependa Kupendeza?
Je unataka kuongeza kipato?
Ungependa kuwa na muda Zaidi wa
kukaa na marafiki zako na familia yako?
Na je unapenda kusafiri duniani?
Oriflame ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 1967 na ndugu wawili
(Robert and Jonas Af Jochnick pamoja na rafiki yao Benght
Hellsten) ikiwa na nia ya kubadilisha maisha ya watu, mimi na
wewe.
Leo ni kampuni ya vipodozi namba moja barani Ulaya
inayojihusisha na biashara ya moja kwa moja.
Ina wanachama Zaidi ya million 3 katika nchi 60 ulimwenguni.
KUPENDEZA
Ukiwa na Oriflame unapata fursa ya kutumia bidhaa zenye ubora
wa Kimataifa ambazo hutengenezwa nchini Sweden.
Na pia utakua wa kwanza kutumia bidhaa za kisasa Zaidi ambazo
hutoka katika kila catalogue mpya na kujua kinachoendelea
kwenye ulimwengu wa Fashion. Kila mwaka Oriflame inatoa Zaidi
ya bidhaa 100 mpya.
Na Oriflame imerahisisha jinsi ya kupata bidhaa ambazo ni kwa
njia ya kupitia catalogue (Kitabu cha bidhaa ) au kwa kutembelea
tovuti ya Oriflame.
TENGENEZA PESA NA ORIFLAME
KUNA NAMNA TATU ZA KUTENGENEZA PESA
NA ORIFLAME.
1. FAIDA YA PAPO KWA PAPO
Inapatikana katika punguzo la 23% (punguzo) kwenye kila bidhaa
utakayo nunua na ukiuza bidhaa hiyo unapata faida 30% (Faida ya
papo kwa papo)
2. BONUS (Kamisheni)
Utatengeneza pesa Zaidi na Oriflame kwa kualika ndugu, jamaa na
marafiki nao wafurahie fursa za Oriflame. Hapa utatengeneza team
na utapata mpaka 21% ya mauzo ya team yako.
3. CASH AWARD (Pesa kama zawadi)
Oriflame itakupa pesa kama zawadi kwa vyeo mbali mbali
utakavyokua unafikia, kuanzia cheo cha directo na kuendelea.
MWONGOZO WA MAFANIKIO NA ORIFLAME
Jiunge na Oriflame kwa tsh 9000/= na utapata namba ya
uwanachama, catalogue pamoja na muongozo wa bei.
Unachotakiwa kufanya kwa mwezi wa kwanza wa
kujiunga ni kuonyesha catalogue ya Oriflame kwa ndugu,
jamaa na marafiki na ujitahidi kuuza bidhaa za 100 BP
(tsh 93000/=) au Zaidi.
FAIDA.
 Pata faida ya Papo kwa Papo ya Tsh 28000/= na
zaidi
 Pata Welcome program 1 (offer maalumu za
kukaribisha mwanachama mpya.)
1.HATUA YA KWANZA
2.HATUA YA PILI
Alika marafiki watano (5) na uwaonyeshe unachokifanya
katika mwezi wako wa pili Oriflame.
Kila mmoja wenu afanye manunuzi ya japo 100 BP (tsh
93000/=)
Kampuni itahesabu kwamba wewe una points 600 (yaan
za kwako pamoja na za marafiki zako wale watano.)
FAIDA
30% faida ya papo kwa papo + 6% Performance Discount
(PD) Katika mauzo yako.
+ The 6% PD katika mauzo ya team.
Unaweza pata kuanzia (Tsh 27000/= – Tsh 56000/=)
Faida Zaidi:
Welcome Program 2
3.HATUA YA TATU Mwezi wa tatu, saidia marafiki zako nao
waunganishe watu watano katika network zao.
Kama wote katika team mtafanya order za 100 bp ,
wewe utakua 12% na utakua tayari na cheo cha
manager.
30% Faida ya papo kwa papo
+ The 12% PD katika mauzo binafsi
+ The 6% PD katika mauzo ya team
Unaweza pata (Tsh 224,900 – Tsh 374,800)
Faida Zaidi
• Recognition pin
4.HATUA YA NNE
Endapo team nzima itakua inaalika japo watu
watano kila mwezi. Ndani ya miezi mine, team
yako itakua na watu 125 .
Wote mkifanya manunuzi ya 100BP kila mmoja,
wewe utapanda cheo Oriflame na kuitwa
SENIOR MANAGER. Miezi 6 baadae cheo
kitapanda na utakua Director.
FAIDA
Oriflame itakulipa Tsh 1000000/= na kuendelea
Ukiwa Director utapewa $1000 ambazo ni pesa kama zawadi
Utaalikwa kwenye Directors’ seminars ambazo hufanyika kwenye
nchi zaEast Africa na kila kitu kitalipiwa na kampuni
4.HATUA YA TANO
Saidia marafiki zako watano nao wawe ma
Director. Hapo wewe utakua Sapphire
Director.
FAIDA
Mshahara wa sapphire Director si chini ya Tsh 3500000/=
Utapewa cash award ya $4000
Utapewa nafasi mbili katika Directors’ seminars
Utaweza attend Gold Directors’ seminars ambazo hufanyika nje ya
east Africa
Karibu sana Oriflame. Napenda kukushukuru
kwa kutumia mda wako kujua Zaidi kuhusiana na
Oriflme, Hususani Oriflame Tanzania.
Naitwa Suzana Michael na kwa mawasiliano na
maelekezo Zaidi:
0659416626
oriflameprodtz@gmail.com
oriflameproductstz

More Related Content

Viewers also liked

Ирина Петраченкова - CITROEN Russia и Евгения Лысенко - OMD Media Direction
Ирина Петраченкова - CITROEN Russia и Евгения Лысенко - OMD Media Direction Ирина Петраченкова - CITROEN Russia и Евгения Лысенко - OMD Media Direction
Ирина Петраченкова - CITROEN Russia и Евгения Лысенко - OMD Media Direction World Brand Academy
 
Blue Insurance Digital Advertising Pitch
Blue Insurance Digital Advertising PitchBlue Insurance Digital Advertising Pitch
Blue Insurance Digital Advertising PitchAdam Hide
 
La Tribune 16-02-16.PDF
La Tribune 16-02-16.PDFLa Tribune 16-02-16.PDF
La Tribune 16-02-16.PDFVincent Genet
 
Biashara ya mtandao ya forever living products tanzania.By Victor Rutashobya
Biashara ya mtandao ya forever living products tanzania.By Victor RutashobyaBiashara ya mtandao ya forever living products tanzania.By Victor Rutashobya
Biashara ya mtandao ya forever living products tanzania.By Victor RutashobyaVictor Prince
 

Viewers also liked (7)

Ирина Петраченкова - CITROEN Russia и Евгения Лысенко - OMD Media Direction
Ирина Петраченкова - CITROEN Russia и Евгения Лысенко - OMD Media Direction Ирина Петраченкова - CITROEN Russia и Евгения Лысенко - OMD Media Direction
Ирина Петраченкова - CITROEN Russia и Евгения Лысенко - OMD Media Direction
 
Inicio da clases marzo
Inicio da clases marzoInicio da clases marzo
Inicio da clases marzo
 
Inicio da clases xaneiro
Inicio da clases xaneiroInicio da clases xaneiro
Inicio da clases xaneiro
 
Blue Insurance Digital Advertising Pitch
Blue Insurance Digital Advertising PitchBlue Insurance Digital Advertising Pitch
Blue Insurance Digital Advertising Pitch
 
La Tribune 16-02-16.PDF
La Tribune 16-02-16.PDFLa Tribune 16-02-16.PDF
La Tribune 16-02-16.PDF
 
CV Susanna Heinonen L
CV  Susanna Heinonen LCV  Susanna Heinonen L
CV Susanna Heinonen L
 
Biashara ya mtandao ya forever living products tanzania.By Victor Rutashobya
Biashara ya mtandao ya forever living products tanzania.By Victor RutashobyaBiashara ya mtandao ya forever living products tanzania.By Victor Rutashobya
Biashara ya mtandao ya forever living products tanzania.By Victor Rutashobya
 

Oom presentation (swahili)

  • 2. GUNDUA FURSA NZURI ZA ORIFLAME  Je ungependa Kupendeza? Je unataka kuongeza kipato? Ungependa kuwa na muda Zaidi wa kukaa na marafiki zako na familia yako? Na je unapenda kusafiri duniani?
  • 3. Oriflame ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 1967 na ndugu wawili (Robert and Jonas Af Jochnick pamoja na rafiki yao Benght Hellsten) ikiwa na nia ya kubadilisha maisha ya watu, mimi na wewe. Leo ni kampuni ya vipodozi namba moja barani Ulaya inayojihusisha na biashara ya moja kwa moja. Ina wanachama Zaidi ya million 3 katika nchi 60 ulimwenguni.
  • 4. KUPENDEZA Ukiwa na Oriflame unapata fursa ya kutumia bidhaa zenye ubora wa Kimataifa ambazo hutengenezwa nchini Sweden. Na pia utakua wa kwanza kutumia bidhaa za kisasa Zaidi ambazo hutoka katika kila catalogue mpya na kujua kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Fashion. Kila mwaka Oriflame inatoa Zaidi ya bidhaa 100 mpya. Na Oriflame imerahisisha jinsi ya kupata bidhaa ambazo ni kwa njia ya kupitia catalogue (Kitabu cha bidhaa ) au kwa kutembelea tovuti ya Oriflame.
  • 5. TENGENEZA PESA NA ORIFLAME KUNA NAMNA TATU ZA KUTENGENEZA PESA NA ORIFLAME. 1. FAIDA YA PAPO KWA PAPO Inapatikana katika punguzo la 23% (punguzo) kwenye kila bidhaa utakayo nunua na ukiuza bidhaa hiyo unapata faida 30% (Faida ya papo kwa papo) 2. BONUS (Kamisheni) Utatengeneza pesa Zaidi na Oriflame kwa kualika ndugu, jamaa na marafiki nao wafurahie fursa za Oriflame. Hapa utatengeneza team na utapata mpaka 21% ya mauzo ya team yako. 3. CASH AWARD (Pesa kama zawadi) Oriflame itakupa pesa kama zawadi kwa vyeo mbali mbali utakavyokua unafikia, kuanzia cheo cha directo na kuendelea.
  • 6. MWONGOZO WA MAFANIKIO NA ORIFLAME Jiunge na Oriflame kwa tsh 9000/= na utapata namba ya uwanachama, catalogue pamoja na muongozo wa bei. Unachotakiwa kufanya kwa mwezi wa kwanza wa kujiunga ni kuonyesha catalogue ya Oriflame kwa ndugu, jamaa na marafiki na ujitahidi kuuza bidhaa za 100 BP (tsh 93000/=) au Zaidi. FAIDA.  Pata faida ya Papo kwa Papo ya Tsh 28000/= na zaidi  Pata Welcome program 1 (offer maalumu za kukaribisha mwanachama mpya.) 1.HATUA YA KWANZA
  • 7. 2.HATUA YA PILI Alika marafiki watano (5) na uwaonyeshe unachokifanya katika mwezi wako wa pili Oriflame. Kila mmoja wenu afanye manunuzi ya japo 100 BP (tsh 93000/=) Kampuni itahesabu kwamba wewe una points 600 (yaan za kwako pamoja na za marafiki zako wale watano.) FAIDA 30% faida ya papo kwa papo + 6% Performance Discount (PD) Katika mauzo yako. + The 6% PD katika mauzo ya team. Unaweza pata kuanzia (Tsh 27000/= – Tsh 56000/=) Faida Zaidi: Welcome Program 2
  • 8. 3.HATUA YA TATU Mwezi wa tatu, saidia marafiki zako nao waunganishe watu watano katika network zao. Kama wote katika team mtafanya order za 100 bp , wewe utakua 12% na utakua tayari na cheo cha manager. 30% Faida ya papo kwa papo + The 12% PD katika mauzo binafsi + The 6% PD katika mauzo ya team Unaweza pata (Tsh 224,900 – Tsh 374,800) Faida Zaidi • Recognition pin
  • 9. 4.HATUA YA NNE Endapo team nzima itakua inaalika japo watu watano kila mwezi. Ndani ya miezi mine, team yako itakua na watu 125 . Wote mkifanya manunuzi ya 100BP kila mmoja, wewe utapanda cheo Oriflame na kuitwa SENIOR MANAGER. Miezi 6 baadae cheo kitapanda na utakua Director. FAIDA Oriflame itakulipa Tsh 1000000/= na kuendelea Ukiwa Director utapewa $1000 ambazo ni pesa kama zawadi Utaalikwa kwenye Directors’ seminars ambazo hufanyika kwenye nchi zaEast Africa na kila kitu kitalipiwa na kampuni
  • 10. 4.HATUA YA TANO Saidia marafiki zako watano nao wawe ma Director. Hapo wewe utakua Sapphire Director. FAIDA Mshahara wa sapphire Director si chini ya Tsh 3500000/= Utapewa cash award ya $4000 Utapewa nafasi mbili katika Directors’ seminars Utaweza attend Gold Directors’ seminars ambazo hufanyika nje ya east Africa
  • 11. Karibu sana Oriflame. Napenda kukushukuru kwa kutumia mda wako kujua Zaidi kuhusiana na Oriflme, Hususani Oriflame Tanzania. Naitwa Suzana Michael na kwa mawasiliano na maelekezo Zaidi: 0659416626 oriflameprodtz@gmail.com oriflameproductstz