SlideShare a Scribd company logo
1 of 2
Download to read offline
JINSI YA KULETA MABADILIKO DHIDI YA WATU
WENYE UALBINO KATIKA JAMII KWA KUTUMIA
MTAZAMO WAKO
‘WATU WENYE UALBINO WAKO SAWA KAMA BINADAMU WENGINE’
1. Mtu mwenye Ualbino akitukanwa;
Simama na wao, WATETEE!!
Usikae Kimya.
Usiwashangae ; Mtu mwenye Ualbino akitazama
simu au kusoma kitabu kwa ukaribu ni ili aweze
kusoma vizuri. Hii ni kwasababu uwezo wake
wakuona kwa ukaribu ni hafifu.
Hali hiyo ya kuwashangaa huchukuliwa kama
FEDHEA na UDHALILISHAJI
UKWELI NA UONGO
KUHUSU WATU WENYE UALBINO
HADITHI:
Ualbino ni laana kutoka kwa Mungu na Mizimu.
Ukishirikiana na mtu mwenye Ualbnino atakuletea
mikosi, magonjwa na hata kifo.
UKWELI:Ualbino ni hali ya kimaumbile ambapo mwili
hushindwa kuzalisha seli za rangi za kutosha au
kutozalisha kabisa na kupelekea ngozi, nywele
na macho kukosa rangi na haihusiani kwa namna
yeyote na nguvu za giza na ushirikina.
Huwezi kuambukizwa Ualbino kwa kugusana.
HADITHI:Kufanya mapenzi na mwanamke mwenye
Ualbino ni tiba ya UKIMWI
UKWELI:Hakuna mtu aliyewahi kupona UKIMWI
kwa kufanya mapenzi na mtu mwenye Ualbino.
Mtu mwenye Ualbino huishia kuambukizwa virusi
vya UKIMWI kutoka kwa wanaofanya
vitendo hivyo.
HADITHI:
Mtu mwenye Ualbino hazami.
UKWELI
Mtu mwenye Ualbino huzama kwenye maji
kama watu wengine.
HADITHI:
Watu wenye Ualbino hawafi na si binadamu
wa kawaida
UKWELI:
Mauaji yanayoendelea
Tanzania kwa sasa yana thibitisha kuwa watu
wenyeUalbino wana kufa.Rangi ya ngozi na
nywele zao ni kutokana na upungufu au
kukosa kabisa pigment / melanin
HADITHI:
Watu wenye Ualbino wanapatikana
na kuishi Afrika
UKWELI:
Watu wenye Ualbino wapo kila mahali
katika mataifa mbali mbali duniani kote.
HADITHI:
Mtoto akizaliwa naUalbino ni kosa la mama
UKWELI:
Ni lazima baba na mama wote wabebe
jeni zenye kuletaUalbino
ili albino azaliwe.
HADITHI:
Dawa zinazotokana na viungo vya watu
wenye Ualbino zinaleta nguvu za kimiujiza,
utajiri,mafanikio pamoja na bahati
nzuri maishani
UKWELI:
Hakuna yeyote aliyepata utajiri, mafanikio
wala bahati nzuri maishani kwa kutumia
dawa zitokanazo na viungo vya watu wenye
Ualbino. Yote haya huja kwa kufanya
kazi kwa bidii
SAFE YOUTH DEVELOPMENT SCHEME
Ualbino ni hali ya kimaumbile ambapo
mwili unashindwa kuzalisha
seli za rangi za kutosha au
kutozalisha kabisa na kupelekea ngozi,
nywele, na macho kukosa rangi.
Je ? mtu anazaliwaje na ualbino?
Kila mtu mwenye ualbino
huwa amerithi kutoka kwa wazazi
wake wote yaani baba na mama
na lazima wawe na jeni zenye
tabia bainishi za ualbino
Watoto watakao zaliwa ambao hawana
ualbino na wazazi wao wenye jeni za
ualbino, watoto hao watarithisha sifa
bainishi za jeni ualbino kwa watoto wao
watakao wazaa.
2. Kwa kuhamasisha Serikali kuwasaidia
na kuwalinda binadamu wenye Ualbino kwa:
3. Epuka hadithi au mila zinazozungumzia
Ualbino kwa kuwa na TAARIFA sahihi.
5. Kuwana TAARIFA SAHIHI ,
UELEWA wa Ualbino na SAMBAZA kwa;
4. Epuka kumwongelea chinichini mtu mwenye
Ualbino.
Kushinikiza wanasiasa na watunga sera
kuhakikisha usawa wa Haki za Binadamu kwa
watu wenye Ualbino katika Nyanja zote za
kimaisha.
Kupitisha sheria husika ambazo zitawalinda
na kuwahudumia watu wenye Ualbino kama
watu wenye ulemavu na,
Kutekeleza sheria hizo pindi zinapopitishwa.
Onyesha Heshima kwa kile utakacho tarajia.
Tarajia ya kwamba mtu mwenye Ualbino anaweza
na ana stahili kushirikishwa kwenye shughuli za
Kijamii, Kielimu kwa kuwa nao wanastahili
kupata fursa hizo kama binadamu wengine.
Tujenge utamaduni ambao utakua salama kwao
kusema, pale ambapo hawana uwezo wakuona
zaidi au pale ambapo Jua na Mwanga vinawaletea
madhara .
Vitu hivi huchukuliwa ni vidogo
ila ndivyo vitakavyoleta mabadiliko na
matumaini ya kufanikiwa kwa watu
wenye Ualbino.
Watu wenye Ualbino na familia zao
(Hii ni kwa sababu wengi wanauelewa mdogo juu
ya hali ya maumbile yao)
Wataalamu wa afya,
Walimu na waelimishaji
Waajiri,
Wewe na jamii kwa ujumla
SAFE YOUTH DEVELOPMENT SCHEME (SYDS)
P.O BOX 78261/ DAR ES SALAAM/ TANZANIA
TANZANIA STREET/ BOKO BEACH/ KINONDONI
E-mail: info@sydstanzania.org
www.sydstanzania.org
Tel: +255 732 924 788
Mob: +255 769 444 669
@sydstanzania
USIOGOPE!!!
TOA TAARIFA KWA POLISI JUU YA UKATILI
DHIDI YA WATU WENYE UALBINO
PIGA simu POLISI : 0787 - 668 306

More Related Content

Featured

How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024Albert Qian
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsKurio // The Social Media Age(ncy)
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Search Engine Journal
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summarySpeakerHub
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Tessa Mero
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentLily Ray
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best PracticesVit Horky
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementMindGenius
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...RachelPearson36
 
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...Applitools
 
12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at WorkGetSmarter
 
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...DevGAMM Conference
 
Barbie - Brand Strategy Presentation
Barbie - Brand Strategy PresentationBarbie - Brand Strategy Presentation
Barbie - Brand Strategy PresentationErica Santiago
 
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them wellGood Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them wellSaba Software
 
Introduction to C Programming Language
Introduction to C Programming LanguageIntroduction to C Programming Language
Introduction to C Programming LanguageSimplilearn
 
Featured (20)

How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
How to Prepare For a Successful Job Search for 2024
 
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie InsightsSocial Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
Social Media Marketing Trends 2024 // The Global Indie Insights
 
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
Trends In Paid Search: Navigating The Digital Landscape In 2024
 
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
5 Public speaking tips from TED - Visualized summary
 
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
ChatGPT and the Future of Work - Clark Boyd
 
Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next Getting into the tech field. what next
Getting into the tech field. what next
 
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search IntentGoogle's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
Google's Just Not That Into You: Understanding Core Updates & Search Intent
 
How to have difficult conversations
How to have difficult conversations How to have difficult conversations
How to have difficult conversations
 
Introduction to Data Science
Introduction to Data ScienceIntroduction to Data Science
Introduction to Data Science
 
Time Management & Productivity - Best Practices
Time Management & Productivity -  Best PracticesTime Management & Productivity -  Best Practices
Time Management & Productivity - Best Practices
 
The six step guide to practical project management
The six step guide to practical project managementThe six step guide to practical project management
The six step guide to practical project management
 
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
Beginners Guide to TikTok for Search - Rachel Pearson - We are Tilt __ Bright...
 
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
Unlocking the Power of ChatGPT and AI in Testing - A Real-World Look, present...
 
12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work12 Ways to Increase Your Influence at Work
12 Ways to Increase Your Influence at Work
 
ChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slidesChatGPT webinar slides
ChatGPT webinar slides
 
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike RoutesMore than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
More than Just Lines on a Map: Best Practices for U.S Bike Routes
 
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
Ride the Storm: Navigating Through Unstable Periods / Katerina Rudko (Belka G...
 
Barbie - Brand Strategy Presentation
Barbie - Brand Strategy PresentationBarbie - Brand Strategy Presentation
Barbie - Brand Strategy Presentation
 
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them wellGood Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
 
Introduction to C Programming Language
Introduction to C Programming LanguageIntroduction to C Programming Language
Introduction to C Programming Language
 
Ukweli Na Uongo

  • 1. JINSI YA KULETA MABADILIKO DHIDI YA WATU WENYE UALBINO KATIKA JAMII KWA KUTUMIA MTAZAMO WAKO ‘WATU WENYE UALBINO WAKO SAWA KAMA BINADAMU WENGINE’ 1. Mtu mwenye Ualbino akitukanwa; Simama na wao, WATETEE!! Usikae Kimya. Usiwashangae ; Mtu mwenye Ualbino akitazama simu au kusoma kitabu kwa ukaribu ni ili aweze kusoma vizuri. Hii ni kwasababu uwezo wake wakuona kwa ukaribu ni hafifu. Hali hiyo ya kuwashangaa huchukuliwa kama FEDHEA na UDHALILISHAJI UKWELI NA UONGO KUHUSU WATU WENYE UALBINO HADITHI: Ualbino ni laana kutoka kwa Mungu na Mizimu. Ukishirikiana na mtu mwenye Ualbnino atakuletea mikosi, magonjwa na hata kifo. UKWELI:Ualbino ni hali ya kimaumbile ambapo mwili hushindwa kuzalisha seli za rangi za kutosha au kutozalisha kabisa na kupelekea ngozi, nywele na macho kukosa rangi na haihusiani kwa namna yeyote na nguvu za giza na ushirikina. Huwezi kuambukizwa Ualbino kwa kugusana. HADITHI:Kufanya mapenzi na mwanamke mwenye Ualbino ni tiba ya UKIMWI UKWELI:Hakuna mtu aliyewahi kupona UKIMWI kwa kufanya mapenzi na mtu mwenye Ualbino. Mtu mwenye Ualbino huishia kuambukizwa virusi vya UKIMWI kutoka kwa wanaofanya vitendo hivyo. HADITHI: Mtu mwenye Ualbino hazami. UKWELI Mtu mwenye Ualbino huzama kwenye maji kama watu wengine. HADITHI: Watu wenye Ualbino hawafi na si binadamu wa kawaida UKWELI: Mauaji yanayoendelea Tanzania kwa sasa yana thibitisha kuwa watu wenyeUalbino wana kufa.Rangi ya ngozi na nywele zao ni kutokana na upungufu au kukosa kabisa pigment / melanin HADITHI: Watu wenye Ualbino wanapatikana na kuishi Afrika UKWELI: Watu wenye Ualbino wapo kila mahali katika mataifa mbali mbali duniani kote. HADITHI: Mtoto akizaliwa naUalbino ni kosa la mama UKWELI: Ni lazima baba na mama wote wabebe jeni zenye kuletaUalbino ili albino azaliwe. HADITHI: Dawa zinazotokana na viungo vya watu wenye Ualbino zinaleta nguvu za kimiujiza, utajiri,mafanikio pamoja na bahati nzuri maishani UKWELI: Hakuna yeyote aliyepata utajiri, mafanikio wala bahati nzuri maishani kwa kutumia dawa zitokanazo na viungo vya watu wenye Ualbino. Yote haya huja kwa kufanya kazi kwa bidii
  • 2. SAFE YOUTH DEVELOPMENT SCHEME Ualbino ni hali ya kimaumbile ambapo mwili unashindwa kuzalisha seli za rangi za kutosha au kutozalisha kabisa na kupelekea ngozi, nywele, na macho kukosa rangi. Je ? mtu anazaliwaje na ualbino? Kila mtu mwenye ualbino huwa amerithi kutoka kwa wazazi wake wote yaani baba na mama na lazima wawe na jeni zenye tabia bainishi za ualbino Watoto watakao zaliwa ambao hawana ualbino na wazazi wao wenye jeni za ualbino, watoto hao watarithisha sifa bainishi za jeni ualbino kwa watoto wao watakao wazaa. 2. Kwa kuhamasisha Serikali kuwasaidia na kuwalinda binadamu wenye Ualbino kwa: 3. Epuka hadithi au mila zinazozungumzia Ualbino kwa kuwa na TAARIFA sahihi. 5. Kuwana TAARIFA SAHIHI , UELEWA wa Ualbino na SAMBAZA kwa; 4. Epuka kumwongelea chinichini mtu mwenye Ualbino. Kushinikiza wanasiasa na watunga sera kuhakikisha usawa wa Haki za Binadamu kwa watu wenye Ualbino katika Nyanja zote za kimaisha. Kupitisha sheria husika ambazo zitawalinda na kuwahudumia watu wenye Ualbino kama watu wenye ulemavu na, Kutekeleza sheria hizo pindi zinapopitishwa. Onyesha Heshima kwa kile utakacho tarajia. Tarajia ya kwamba mtu mwenye Ualbino anaweza na ana stahili kushirikishwa kwenye shughuli za Kijamii, Kielimu kwa kuwa nao wanastahili kupata fursa hizo kama binadamu wengine. Tujenge utamaduni ambao utakua salama kwao kusema, pale ambapo hawana uwezo wakuona zaidi au pale ambapo Jua na Mwanga vinawaletea madhara . Vitu hivi huchukuliwa ni vidogo ila ndivyo vitakavyoleta mabadiliko na matumaini ya kufanikiwa kwa watu wenye Ualbino. Watu wenye Ualbino na familia zao (Hii ni kwa sababu wengi wanauelewa mdogo juu ya hali ya maumbile yao) Wataalamu wa afya, Walimu na waelimishaji Waajiri, Wewe na jamii kwa ujumla SAFE YOUTH DEVELOPMENT SCHEME (SYDS) P.O BOX 78261/ DAR ES SALAAM/ TANZANIA TANZANIA STREET/ BOKO BEACH/ KINONDONI E-mail: info@sydstanzania.org www.sydstanzania.org Tel: +255 732 924 788 Mob: +255 769 444 669 @sydstanzania USIOGOPE!!! TOA TAARIFA KWA POLISI JUU YA UKATILI DHIDI YA WATU WENYE UALBINO PIGA simu POLISI : 0787 - 668 306