Utangulizi

Historia ya kanuni za fedha za kiislamu

Hali ya Mfumo wa fedha wa K...
Utangulizi:

Idadi ya Waislamu duniani inakadiriwa kufikia zaidi ya watu Bilioni Moja na Nusu

Uis...
Historia ya Kanuni za Fedha za Kiislamu

Biashara ya kukopeshana fedha, mali na bidhaa pasina riba (Qardh) ilitumi...

Tafsiri: "Miamala hii ya ukopeshaji ya Kiislamu iliweza kukusanya hazina ya rasilimali fedha ya ulimwengu wa ...

Katika Dunia, Utaratibu wa Kibenki wenye kufuata mafundisho ya Kiislamu (Global Islamic Finance) ni wenye kukuwa z...

Kuna takribani taasisi za Kifedha zaidi ya 600 zinazotoa huduma hizi na zinazidi kuongezeka.

Taa...

Source : Shari’ah Fortune
Baadhi ya Mabenki Makubwa Duniani yenye Kutoa Huduma zenye Kufuata Mfumo wa Fedha wa Kiislamu New Entrants Angalizo: Benki...
AAOIFI inatengeneza, inaandaa na kutoa kwa ajili ya utekelezaji Kanuni na Taratibu za Kifedha za Kibenki IFSB inaandaa kan...
Adabu za Mfumo wa Fedha wa Kiislamu

Ni zipi? Baadhi ya Adabu hizo ni:-

Hakuna utoaji au upok...
Tofauti Iliyopo kati Mabenki yenye kufuata kanuni za kiislamu za kifedha na mabenki ya kawaida

Benki zenye kufuat...

Benki za Kiislamu hazijajifunga katika kuwa kiungo tu cha kifedha Bali zinafanya kazi za ziada za kuwa muwekezaji,...

Hivyo, mchakato wa kuanzisha shughuli za kibenki zenye kufuata maadili ya Kiislamu ni katika juhudi za kuondoa rib...
Faida za Mfumo wa Fedha wa Kiislamu
1. Kuheshimiwa kwa maadili ya Biashara ya Kiislamu

Cone-demned ... 'spinning whirl' ice creams look similar to the...

Nike apologized to Muslims for any unintentional offense, agreed to recall all products carrying the design, intro...
2. Ulimwengu kutambua Uzuri na Ubora wa Sharia za Kiislamu Vatican offers Islamic finance system to Western Banks. The Va...

The Vatican said banks should look at the ethical rules of Islamic finance to restore confidence amongst their cli...
3. Faida na Umuhimu wa Shughuli za Kibenki zenye Kufuata mfumo wa fedha wa Kiislamu

Ni zenye kuangalia mahitaj...
4. Faida na Umuhimu wa Shughuli za Kibenki zenye Kufuata mfumo wa fedha wa Kiislamu

Zimethibitishwa kuwa ndio ...
Huduma za NBC Islamic Banking

Islamic Savings Account (Akaunti ya Akiba)

Islamic cheque Accoun...
Utaratibu wa Qardh

Qardh – Mkopo

Mteja anaipa mkopo Benki, na Benki itarudisha fedha kamili ...
PROFITS LOSSES 1 1 4 3 4 2 5
Manufaa ya Akaunti ya Akiba Inayofuata Kanuni za Kiislamu ni Yapi?

Kupata huduma za kibenki saa 24 kupitia mtandao...

Mwenye akaunti atalipwa Takaful ya Mazishi ya kiasi cha Shilingi 500,000. Takaful hii ni mchango wa Mazishi, w...
Manufaa ya Akaunti ya Hundi Inayofuata Kanuni za Kiislamu Ni Yapi?

Kupata huduma kwa saa 24 kupitia mtandao wetu w...

Malipo kwenye akaunti hii yanaweza kufanyika kupitia tawi lolote lile la NBC nchini. Mwenye akaunti anaweza kuomba...
Masharti ya kushiriki katika Mfuko wa Waqf wa Takaful

Lengo la Mfuko wa Waqf wa Takaful

Ziada ( Surplus ) katika Mfuko wa Waqf wa Takaful

Kama kutathibitika ziada katika Mfuko wa ...

Upungufu ( Deficit ) katika Mfuko wa Waqf wa Takaful

Kama kutatokea upungufu wa fedha katika mf...
Awamu zetu zingine

Huduma hizi zimeanza kupatikana toka 3 May 2010

Tunajiandaa kuleta katika mas...
Hitimisho

Dharura ya Kuweka Pesa katika utaratibu wa Riba haipo.

Wajibu kwa Waislamu kuamka na ...

Ahsante

Habari

"UK Islamic bank gets foothold in France.

LONDON-BASED Gatehouse Bank, the latest Is...
Hoja za Kukubali Mabenki kujishughulisha na miamala ya kiislamu

Maulamaa wanaounga mkono uhalali wa kuanzishwa &q...
Hoja za Kukubali Mabenki kujishughulisha na miamala ya kiislamu-1

Maulamaa wanaounga mkono uhalali wa kuanzishwa ...

5. Sh Dr. Abdullah b. Sulaiman al-Manee.

6. Sh Dr. Abdullah b. Abdul aziz Al-Muslih.

3. Kwa mujibu wa mafundisho ya Shariah miamala na mikataba yote inaruhusiwa isipokuwa ile ambayo iliyokatazwa. (M...

2373 - حدثنا مسلم بن إبراهيم : حدثنا هشام : حدثنا قتادة، عن أنس رضي الله عنه قال : ولقد رهن النبي صلى الله علي...

7. Abdul razzaq, Al-Musannaf 6:74; Ibn Hajar, ad Dirayah 2:162; Ibn Qudamah, Al-Mughni 9:279. Abu Ubaid, Kitabu Am...
FATWA YA KAMATI YA KUDUMU YA FATWA YA SAUDI ARABIA JUU YA KUTAAMALI NA BENKI ZINAZOJISHUGHULISHA NA RIBA.

فتاوى ال...

TAFSIRI:

Swali la sita (6) katika Fatwa nambari 16013, Juzuu ya 13 ukurasa wa 375.

<u...

Fatawa al-Lajnah daima 13:405. Kuhusu Uhalali wa Mikopo inayotolewa na Nasser Bank.

Fatawa al-La...
Tubaddalu sababul Milki Ka-iman maka-ma Tabadduli Ddhat Kubadilika sababu ya kumiliki kunasimama mahali pa kubadilika dhat...
Upcoming SlideShare
Loading in …5

ISLAMIC BANKING LECTURE-DODOMA UNIVERSITY

2,276 views

Published on

DARSA HILI LILITOLEWA UDOM TAREHE 11 N0VEMBER 2010, COLLEGE YA SOCIAL SCIENCE

0 Comments
1 Like
Statistics
Notes
• Be the first to comment

No Downloads
Views
Total views
2,276
On SlideShare
0
From Embeds
0
Number of Embeds
220
Actions
Shares
0
Downloads
18
Comments
0
Likes
1
Embeds 0
No embeds

No notes for slide
• Stakeholder engagement with appropriate consumer groups (Muslim Scholars of different sects)
• ISLAMIC BANKING LECTURE-DODOMA UNIVERSITY

1. 2.

Utangulizi

Historia ya kanuni za fedha za kiislamu

Hali ya Mfumo wa fedha wa Kiislamu Duniani

Taasisi za Kimataifa za Usimamizi wa Kifedha

Tofauti za Shughuli za kibenki zilizojengwa katika misingi ya Riba na Shughuli za Kibenki za kiislamu

Faida za Mfumo wa Fedha wa Kiislamu

Uzoefu Wetu Absa Islamic Banking

Sababu za NBC kuanzisha Huduma za Kibenki za Kiislamu

Huduma za Kibenki za Kiislamu za NBC

2. 3. Utangulizi:

Idadi ya Waislamu duniani inakadiriwa kufikia zaidi ya watu Bilioni Moja na Nusu

Uislamu ni njia kamili ya maisha, yenye misingi yake maalumu ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi.

Misingi ya Utaratibu wa Fedha wa Kiislamu ipo ndani ya Qur’an Tukufu na matendo ya Mtume (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) ya karne 14 zilizopita

3. 4. Historia ya Kanuni za Fedha za Kiislamu

Biashara ya kukopeshana fedha, mali na bidhaa pasina riba (Qardh) ilitumika kugharimia miamala ya walaji (consumers) na hata biashara ya masafa marefu katika ulimwengu wa Kiislamu. Mfumo huu ulifanya kazi vizuri sana kwa kipindi chote cha ustawi wa waislamu katika dola ya mashariki na ile ya magharibi (Andalusi) hadi kufikia kuanguka kwa dola ya mwisho ya waislamu chini ya Waturuki (Ottoman empire) mwaka 1920.

Mwanahistoria wa uchumi aitwaye Udovitch anauzungumzia mfumo huu kama ifuatavyo;- "These Islamic mode of financing were able to mobilize the "entire reservoir of monetary resources of medieval Islamic world for financing agriculture, crafts, manufacturing and long-distance trade". (Udovitch, 1970, uk.180 na 261)

4. 5.

Tafsiri: "Miamala hii ya ukopeshaji ya Kiislamu iliweza kukusanya hazina ya rasilimali fedha ya ulimwengu wa Kiislamu katika zama za kati, ikiwezesha uwekezaji katika kilimo, uhunzi, utengenezaji wa bidhaa na biashara ya masafa marefu".

Udovitch anazidi kuuelezea mfumo huu wenye kufuata kanuni za kiislamu za Kifedha kwamba;- " They were used not only by Muslims but also by Jews and Christians to the extent that interest bearing loans and other overly usurious products were not in common use .” (Udovitch, 1981, p.257; angalia pia uk.268).

Tafsiri: “Mifumo hii ilitumika si tu na waislamu bali ulitumiwa na wayahudi na wakristo kwa kiasi kwamba mikopo yenye riba na miamala mingine ya kiriba haikuwa jambo la kawaida wakati huo".

5. 6.

Katika Dunia, Utaratibu wa Kibenki wenye kufuata mafundisho ya Kiislamu (Global Islamic Finance) ni wenye kukuwa zaidi ya asilimia 29% kila mwaka na makadirio ya rasilimali zake ni USD 2.8 Trillion ( “Islamic Finance: Overview and Policy Concerns”, CSR Report for Congress, July 2008 )

Utaratibu wa Fedha wa Kiislamu sio tishio kwa utaratibu uliopo wa Kibenki bali sehemu nyingi duniani unakuwa ni nyongeza yenye kutoa fursa za ziada kwa wenye kutaka miamala yenye kufuata maadili.

Kimataifa, asilimia kubwa ya wateja wa mabenki yenye kufuata Mfumo wa fedha wa Kiislamu sio Waislamu, bali ni watu wa dini nyingine wanaohitaji huduma mbadala za kifedha.

Hali ya Mfumo wa fedha wa Kiislamu Duniani
6. 7.

Kuna takribani taasisi za Kifedha zaidi ya 600 zinazotoa huduma hizi na zinazidi kuongezeka.

Taasisi hizi za Kifedha zimetawanyika katika nchi zaidi ya 75, zikiwemo za Kiislamu na zisizo za Kiislamu

Nyingi zipo Mashariki ya kati (Middle East) na Asia ya Kusini Mashariki (Southeast Asia)

Sasa hivi zishaingia Ulaya na Marekani.

Ukuwaji wa rasilimali ( Asset growth ) wa sekta hii ni kati 20pc–30pc katika karne iliyopita – na inaelekea kuwa mara tatu zaidi katika mwaka 2015 kufikia $10 Tn

Taasisi za kifedha za kimataifa zinazotoa huduma za fedha zenye kufuata taratibu za Kiislamu zipo, Morgan Stanley, Citigroup, HSBC, UBS, Standard Chartered, Deutsche Bank, Goldman Sachs, Lloyds na Barclays na zinginezo

7. 9. Source : Shari’ah Fortune
8. 10. Baadhi ya Mabenki Makubwa Duniani yenye Kutoa Huduma zenye Kufuata Mfumo wa Fedha wa Kiislamu New Entrants Angalizo: Benki nyingi zisizo za Kiislamu zinatoa huduma za fedha zenye kufuata taratibu za Kiislamu
9. 11. AAOIFI inatengeneza, inaandaa na kutoa kwa ajili ya utekelezaji Kanuni na Taratibu za Kifedha za Kibenki IFSB inaandaa kanuni za Udhibiti na Viwango vya Kisheria vinavyoendana na vyenye hadhi ya Kimataifa IIFM inajishughulisha na kuanzisha, kuendeleza na kushajihisha Masoko ya Kiislamu ya Mitaji na fedha (Islamic capital and money markets) IIRA, ni Islamic rating agency ya pekee, inayotoa tathmini ya viwango kwa masoko ya Mitaji na katika Sekta ya Kibenki katika nchi za Kiislamu IDB inajenga na kushajihisha maendeleo ya kiuchumi na kijamiii kwa kufuata Misingi ya Sharia’h. GCIBFI ina malengo ya kuongeza muonekano wa Sekata ya mfumo wa fedha wa kiislamu katika maeneo makuu ya masoko ya fedha ya kimataifa General Council of Islamic Banks and Financial Institutions Taasisi za Kimataifa zenye Kusimamia Masuala ya Kifedha yenye Kufuata Mfumo wa Kiislamu Duniani
10. 12. Adabu za Mfumo wa Fedha wa Kiislamu

Ni zipi? Baadhi ya Adabu hizo ni:-

Hakuna utoaji au upokeaji riba.

Faida inaendena na biashara ya kweli. ( Al Kharaaj bi dhamaan ).

Hakuna kuuza usichokimiliki.

Hakuna kujihusisha na biashara ambazo ni haramu.

Hakuna kudhuru mazingira na binadamu

Hakuna Israfu.

Tabia bora ndio juu ya kila kitu.

Tabia bora juu ya Faida.

Hakuna Kamari.

11. 13. Tofauti Iliyopo kati Mabenki yenye kufuata kanuni za kiislamu za kifedha na mabenki ya kawaida

Benki zenye kufuata kanuni za kifedha za Kiislamu zimejengwa katika misingi ya kiimani.

Benki zenye kufuata kanuni za Kifedha za Kiislamu zinafuata misingi ya kutotoa riba na kutopokea riba.

Benki zenye kufuata kanuni za fedha za Kiislamu miamala yake yote imejengwa katika shughuli za kiuchumi halisi.

Uwekezaji haufanywi katika sekta ambazo kinyume na maadili ya Uislamu na ubinadamu, sekta za Picha za ngono, Cinema, Pombe, Sigara, Makasino n.k

Benki za Kiislamu ni zenye kufanya biashara, kugawana faida, na kugawana faida na hasara na wateja. Fedha zikiwekezwa katika baadhi ya miamala badala ya kupata riba ya kila mwezi fedha zinaweza kupata faida kufuatana na mgawo waliokubaliana kati ya benki na mteja.

12. 14.

Benki za Kiislamu hazijajifunga katika kuwa kiungo tu cha kifedha Bali zinafanya kazi za ziada za kuwa muwekezaji, mfanya biashara, na Mshauri katika mambo ya fedha.

Zina Wasimamizi ambao ni Wanazuoni waliobobea katika Fiqhil Maswrafi.

Uhusiano wa benki na wateja wake ni ule uhusiano wa Mdai (creditor) na mdaiwa (Debtor). Uhusiano wa Benki na wateja wake ni uhusiano wa ubia, uwekezaji, mjasiriamali, muuuzaji, mnunuzi, mkodishaji na mkodishwa.

Mikataba yote ni yenye uzito wa kipekee kulingana na mafundisho ya dini.

Dini zote kuu nne duniani (Judaism, Christianity, Hinduism na Islam), zenye wafuasi zaidi ya theluthi mbili za watu duniani zimeharamisha Riba. (For the Judaic and Christian views on interest see Johns, et. al., and Noonan (1957);and for the Hindu view, see Bokare (1993), p. 168). Uislamu umeharamisha riba (2:278-279)

Pia angalia Biblia, Deuteronomy 23: 19; Leviticus 25:36;

Exodus 22:25; Ezekiel 18:5-9. Luke 2:34-35.

13. 15.

Hivyo, mchakato wa kuanzisha shughuli za kibenki zenye kufuata maadili ya Kiislamu ni katika juhudi za kuondoa riba katika jamii ya wanaadamu. Juhudi hizi zinaendana na mafundisho ya Uislamu na yale ya dini kuu duniani, Ukristo, uyahudi, na Uhindu.

14. 16. Faida za Mfumo wa Fedha wa Kiislamu
15. 17. 1. Kuheshimiwa kwa maadili ya Biashara ya Kiislamu

Cone-demned ... 'spinning whirl' ice creams look similar to the world Allah written in Arabic script

Ice creams are being withdrawn from Burger King — because a design on the lid looks like the word Allah.

http://www.thesun.co.uk/article/0,,2-2005430136,,00.html

16. 18.

Nike apologized to Muslims for any unintentional offense, agreed to recall all products carrying the design, introduced training for Nike designers in Islamic imagery and agreed to investigate how the design came about.

http://www.cnn.com/US/9811/21/nike.islamic/

17. 19. 2. Ulimwengu kutambua Uzuri na Ubora wa Sharia za Kiislamu Vatican offers Islamic finance system to Western Banks. The Vatican says Islamic finance system may help Western banks in crisis as alternative to capitalism. The Vatican offered Islamic finance principles to Western banks as a solution for worldwide economic crisis. Daily Vatican newspaper, 'L'Osservatore Romano, reported that Islamic banking system may help to overcome global crisis.
18. 20.

The Vatican said banks should look at the ethical rules of Islamic finance to restore confidence amongst their clients at a time of global economic crisis. "The ethical principles on which Islamic finance is based may bring banks closer to their clients and to the true spirit which should mark every financial service," the Vatican's official newspaper Osservatore Romano said in an article in its latest issue late yesterday.

Author Loretta Napoleoni and Abaxbank Spa fixed income strategist, Claudia Segre, say in the article that "Western banks could use tools such as the Islamic bonds, known as sukuk, as collateral". Sukuk may be used to fund the "'car industry or the next Olympic Games in London," they said.

19. 21. 3. Faida na Umuhimu wa Shughuli za Kibenki zenye Kufuata mfumo wa fedha wa Kiislamu

Ni zenye kuangalia mahitaji ya waislamu kama sehemu ya Jamii. Mabenki nchini kutambua kuwa huduma walizokuwa wanatoa zilikuwa hazikidhi mahitaji ya jamii ya Kiislamu. Walikuwa wanalazimisha watu kufanya shughuli za Kibenki kinyume na Imani zao.

Mabenki kugundua kuwa walikuwa wanapoteza fursa ya kuhudumia sehemu kubwa ya jamii ya Watanzania. (Unbankable)

Sasa zinafanya kazi kama chombo cha kujaza ongwe kwa kukusanya rasilimali fedha kwa malengo ya uzalishaji, hasa kwa jamii ya Kiislamu. Fursa kwa Watanzania.

20. 22. 4. Faida na Umuhimu wa Shughuli za Kibenki zenye Kufuata mfumo wa fedha wa Kiislamu

Zimethibitishwa kuwa ndio shughuli bora za kifedha zenye kusaidia ukuwaji wa uchumi duniani.

Zinakidhi mahitaji sio ya Waislamu peke yao bali na dini nyingine.

Ni njia nzuri ya kufikisha maadili mema kwa jamii kwa kutumia sekta ya kibenki.

21. 23. Huduma za NBC Islamic Banking

Islamic Savings Account (Akaunti ya Akiba)

Islamic cheque Account (Akaunti ya Hundi)

Bidhaa zote mbili zinafuata utaratibu wa Kiislamu wa Qardh

22. 24. Utaratibu wa Qardh

Qardh – Mkopo

Mteja anaipa mkopo Benki, na Benki itarudisha fedha kamili kwa mteja atakapozihitaji bila ya kulipa riba, au kumpa baadhi ya faida au hasara tuliyoipata katika kufanyia biashara.

Miamala ya Akaunti za Kiislamu za NBC za Kuweka na za Hundi zimeegemea katika utaratibu wa Qardh .

23. 25. PROFITS LOSSES 1 1 4 3 4 2 5
24. 26. Manufaa ya Akaunti ya Akiba Inayofuata Kanuni za Kiislamu ni Yapi?

Kupata huduma za kibenki saa 24 kupitia mtandao wetu wa ATM zaidi ya 300 zilizosambaa nchi nzima.

Kupata huduma kwa saa 24 kwenye akaunti yako kwa njia ya Mtandao wa Intaneti wa Kibenki wa NBC.

Kutokuwepo kwa idadi ya ukomo wa uchukuaji fedha kwenye kaunta, na bila ya kuwa na kiwango cha mwisho cha uchukuaji fedha.

Kuruhusu malipo kwa maelekezo maalum na uhamishaji wa fedha kielektroni.

Malipo kwenye akaunti yanaweza kufanywa kwenye tawi lolote lile la NBC nchini.

25. 27.

Mwenye akaunti atalipwa Takaful ya Mazishi ya kiasi cha Shilingi 500,000. Takaful hii ni mchango wa Mazishi, wenye kufuata utaratibu wa Kiislamu, ataolipwa Mwenye Akaunti baada ya kufariki. NBC Takaful ya Mazishi ni bima ya Kiislamu iliyojengwa katika misingi ya kusaidiana na kushirikiana.

Kufuata kiukamilifu utaratibu wa kifedha wa Kiislamu, Fiqhi Muamalat .

26. 28. Manufaa ya Akaunti ya Hundi Inayofuata Kanuni za Kiislamu Ni Yapi?

Kupata huduma kwa saa 24 kupitia mtandao wetu wa ATM zaidi ya 200 zilizosambaa nchi nzima

Kupata huduma za akaunti yako kwa saa 24 kwa njia ya huduma za kibenki kupitia mtandao wa Intaneti wa NBC.

Kutokuwepo kwa idadi ya ukomo wa uchukuaji fedha kwenye kaunta, na bila ya kuwa na kiwango cha mwisho cha uchukuaji fedha.

Kuruhusu malipo yanayofaa kwa maelekezo yaliyopo na uhamishaji wa kielektroni.

27. 29.

Malipo kwenye akaunti hii yanaweza kufanyika kupitia tawi lolote lile la NBC nchini. Mwenye akaunti anaweza kuomba kitabu cha Hundi kama ziada ya kadi ya ATM.

Kufuata kiukamilifu utaratibu wa kifedha wa Kiislamu, fiqhi Muamalat .

28. 30. Masharti ya kushiriki katika Mfuko wa Waqf wa Takaful

Lengo la Mfuko wa Waqf wa Takaful

Lengo la mfuko huu ni kumpa msaada mwenye akaunti aliyefariki atakapokuwa amefuata kikamilifu masharti ya mfuko huu.

Mchango katika mfuko wa Waqf wa Takaful

Kwa kukubali kujiunga, utakuwa umekubali kutoa sadaka yako kwenda kwenye mfuko huu. Fedha zote zinazoingia katika mfuko zitakuwa ni mali ya mfuko na zitasimamiwa kulingana na masharti yanayosimamia taratibu za mfuko wa Waqf .

29. 31.

Ziada ( Surplus ) katika Mfuko wa Waqf wa Takaful

Kama kutathibitika ziada katika Mfuko wa Waqf , 5% ya ziada zitagawiwa na mfuko kama sadaka kwa taasisi inayostahiki ya Kiislamu au ya Kijamii.

95% zilizobakia zinaweza kurejeshwa kwa wenyewe wenye akaunti, au kutolewa sadaka, au kuwekwa kama akiba kwa ajili ya kufidia hasara zinazoweza kutokea katika mfuko.

Wadhamini wa Mfuko, kwa idhini ya Bodi ya Sharia’h ya NBC, ndio watakaokuwa na mamlaka ya mwisho ya kutoa maamuzi ya namna ya ugawaji.

30. 32.

Upungufu ( Deficit ) katika Mfuko wa Waqf wa Takaful

Kama kutatokea upungufu wa fedha katika mfuko wa Waqf wa Takaful, Wadhamini wa mfuko, kwa mamlaka na maamuzi yao wataomba mkopo kutoka African Life Assurance (T) Ltd, kwa lengo la kuondoa huo upungufu. Mkopo huu utakuwa kwa utaratibu wa Qardh , ambao utalipwa baada ya kupatikana ziada katika Mfuko wa Waqf wa Takaful

31. 33. Awamu zetu zingine

Huduma hizi zimeanza kupatikana toka 3 May 2010

Tunajiandaa kuleta katika masoko huduma zingine za kifedha.

Tutaendelea kuhamasisha jamii kwa njia ya Semina na makongamano yanayohusu Utaratibu wa kibenki wenye kufuata mafundisho ya Kiislamu

NBC itafuata sheria zote za Tanzania katika utoaji wa huduma hizi.

32. 34. Hitimisho

Dharura ya Kuweka Pesa katika utaratibu wa Riba haipo.

Wajibu kwa Waislamu kuamka na kushiriki kikamilifu katika shughuli za Kibenki zinazofuata taratibu za Kiislamu.

Fursa adhimu ya kufata mafundisho katika sekta ya fedha na biashara.

33. 35.

Ahsante

34. 36. Habari

"UK Islamic bank gets foothold in France.

LONDON-BASED Gatehouse Bank, the latest Islamic bank to be authorized by the UK’s Financial Services Authority (FSA), has become the first Islamic bank to join Paris Europlace, an organization that promotes Paris as a financial center. Paris Europlace has over the last two years also started to focus on the Islamic finance sector and established an Islamic Finance Commission in December 2007 ( Arab News-19 October, 2009 ).

Tafsiri:

"Gatehouse Bank, benki yenye makao yake makuu London, benki ya hivi karibuni itoayo huduma za Kiislamu kuruhusiwa na Mamlaka ya Huduma za kifedha ya Uingereza (FSA), imekuwa benki ya kwanza ya Kiislamu kujiunga na taasisi inayopigania Paris kuwa kitovu cha biashara Ulaya iitwayo Paris Eurospace. Taasisi hiyo ya Paris Eurospace, imekuwa ikitupia jicho sekta ya huduma za kifedha za Kiislamu kwa takriban miaka miwili sasa na imeanzisha Kamisheni ya Huduma za Kifedha za Kiislamu mnamo mwezi Desemba, 2007".

35. 37. Hoja za Kukubali Mabenki kujishughulisha na miamala ya kiislamu

Maulamaa wanaounga mkono uhalali wa kuanzishwa "Islamic Windows" katika benki zisizo za kiislamu alimradi taratibu na kanuni za Shari'ah ziwe zimewekwa na kusimamiwa na waislamu, wanasema;-

1. Kufanya miamala ya kifedha au kibiashara inayoendana na Shari'ah si suala linalowahusu waislamu peke yao bali binadamu wote. Kwa hoja hii, ni inajuzu, na pia ni jambo zuri, kwa yeyote yule awe Muislamu au vinginevyo kufanya miamala kwa mujibu wa kanuni na maelekezo ya Shari'ah.

2. Ikiwa haiwezekani kufuata Shari'ah katika miamala yote basi mtu aanze na kile kinachowezekana kwake kwa msingi wa maelekezo ya Qur'an "Mchehi Allah kadiri ya uwezo wenu" na kanuni ya Usuulul fiq-h " ما لا يدرك كله لا يترك كله " kwamba "Lile lisilodirikika lote haliachwi lote".

36. 38. Hoja za Kukubali Mabenki kujishughulisha na miamala ya kiislamu-1

Maulamaa wanaounga mkono uhalali wa kuanzishwa "Islamic Windows" katika benki zisizo za kiislamu alimradi taratibu na kanuni za Shari'ah ziwe zimewekwa na kusimamiwa na waislamu, ni hawa wafuatao:

1. (Fatawa mbalimbali za aliyekuwa) Mufti Mkuu wa Saudi Arabia Sheikh Ibn Baz (Mungu Amrehemu) aliulizwa kuhusu kufungua Akaunti katika Mabenki ya riba alijibu, ‘kufungua akaunti bila kupokea au kulipa riba ni halali’ (Ibn Baz, majmau’l fatawa 9:413).

2. Sh. Dr Bakr Abu Zaid, Sh Abdulaziz Al sheikh, Sh. Salah al-Fouzan na Sh. Ibn Baz ( Fatawa allajnaa Addaimah 13: 374).

3. Sh. Prof. Ali Qurra Daghi (Profesa wa Sharia chuo Kikuu cha Qatar), anaona vitengo vya shughuli za Kibenki za Kiislamu ni alama ya mvuto wa Uislamu duniani.

4. Dr S’ad b. Turkey al-Khathlan, Profesa wa Usulul fiqhi chuo Kikuu cha Imam (Saudi Arabia)

37. 39.

5. Sh Dr. Abdullah b. Sulaiman al-Manee.

6. Sh Dr. Abdullah b. Abdul aziz Al-Muslih.

7. Maulamaa wengi wakubwa wa zama zetu hizi.

Baadhi ya Hoja zao kuu ni kama zifuatazo;-

1. Kufanya miamala ya kifedha au kibiashara inayoendana na Shari'ah si suala linalowahusu waislamu peke yao bali binadamu wote. Hivyo basi shughuli hizi za kibenki zinajuzu, na pia ni jambo zuri, kwa yeyote yule awe Muislamu au vinginevyo kufanya miamala kwa mujibu wa kanuni na maelekezo ya Shari'ah.

2. Ikiwa haiwezekani kufuata Shari'ah katika miamala yote basi mtu aanze na kile kinachowezekana kwake kwa msingi wa maelekezo ya Qur'an "Mchehi Allah kadiri ya uwezo wenu" na kanuni ya Usuulul fiq-h " ما لا يدرك كله لا يترك كله " kwamba "Lile lisilodirikika lote haliachwi lote".

38. 40.

3. Kwa mujibu wa mafundisho ya Shariah miamala na mikataba yote inaruhusiwa isipokuwa ile ambayo iliyokatazwa. (Maqdisi, Al-Furu’h 4:323, mirdawi, al-Insaaf 6:31; Ibn qayyim A’lamul Muwaqqieen 1:344) Ibn taymiyya amesema, “Miamala yote imeruhusiwa kwa waislamu isipokuwa ile iliyoharamisha katika qur’an na Sunnah.” Majmu’ al-fatawa 28:386

4. Kujishughulisha na Vitengo vya miamala ya Kibenki ya Kiislamu inachukuliwa katika katika wema na uchamungu. (Suratul maidah: 2)

5. Ni njia nzuri ya kufikisha maadili mema kwa jamii kwa kutumia sekta ya kibenki.

6. Kiislamu, ni ruhusa kufanya biashara na wenye kujishughulisha na haramu, kwa sharti kuwa miamala yako hiyo inaruhusiwa na sharia’h.

Imepokewa kwa mama Aisha (r.a) kwamba "Mtume (s.a.w) alinunua chakula kutoka kwa myahudi na akatoa vazi lake la vita kama rehani", katika hadithi nyingine akataja "Swa'ah thelathini za shayiri“ badala ya kusema chakula. (Bukhari, 3,

uk. 15 na 231).

39. 41.

2373 - حدثنا مسلم بن إبراهيم : حدثنا هشام : حدثنا قتادة، عن أنس رضي الله عنه قال : ولقد رهن النبي صلى الله عليه وسلم درعه بشعير، ومشيت إلى النبي صلى الله عليه وسلم بخبز شعير وإهالة سنحة، ولقد سمعته يقول : ( ما أصبح لآل محمد صلى الله عليه وسلم إلا صاع، ولا أمسى، وإنهم لتسعة أبيات ). [ 1963] 2 - باب : من رهن درعه . 2374 - حدثنا مسدد : حدثنا عبد الواحد : حدثنا الأعمش قال : تذاكرنا عند إبراهيم الرهن والقبيل في السلف، فقال إبراهيم : حدثنا الأسود، عن عائشة رضي الله عنها : أن النبي صلى الله عليه وسلم اشترى من يهودي طعاما إلى أجل، ورهنه درعه . [ 1962 ]

40. 42.

7. Abdul razzaq, Al-Musannaf 6:74; Ibn Hajar, ad Dirayah 2:162; Ibn Qudamah, Al-Mughni 9:279. Abu Ubaid, Kitabu Amwal p. 62. Khalifa Umar Bin Khattab (r.a) maelekezo yake kwa wakusanyaji wa kodi kuhusu mali za haramu.

8. Maulamaa wameruhusu kuwepo kwake kwa masharti maalumu.

41. 43. FATWA YA KAMATI YA KUDUMU YA FATWA YA SAUDI ARABIA JUU YA KUTAAMALI NA BENKI ZINAZOJISHUGHULISHA NA RIBA.

فتاوى اللجنة الدائمة

السؤال السادس من الفتوى رقم ( 16013 )

( الجزء رقم : 13 ، الصفحة رقم : 375)

س 6: هناك بعض البنوك لها فروع إسلامية، ولكن البنك الرئيسي يتعامل بالربا . فما الحكم في التعامل مع هذا الفرع؟

ج 6 : لا بأس بالتعامل مع البنك أو فرعه إذا كان التعامل ليس فيه ربا؛ لأن الله سبحانه أحل البيع وحرم الربا، ولأن الأصل في المعاملات الحل، مع البنك أو غيره؛ ما لم تشتمل المعاملة على حرام .

وبالله التوفيق وصلى الله على نبينا محمد وآله وصحبه وسلم .

اللجنة الدائمة للبحوث العلمية والإفتاء

عضو عضو عضو نائب الرئيس الرئيس بكر أبو زيد عبد العزيز آل الشيخ صالح الفوزان عبد الرزاق عفيفي عبد العزيز بن عبد الله بن باز
42. 44.

TAFSIRI:

Swali la sita (6) katika Fatwa nambari 16013, Juzuu ya 13 ukurasa wa 375.

Swali la sita (6):

"Kuna baadhi ya mabenki yana kitengo cha kiislamu lakini benki ya asili inataamali na riba, basi ni pi hukumu katika kutaamali na kitengo hicho?

Jawabu la sita (6):

"Hapana ubaya kutaamali na benki hiyo au kitengo chake pindi itakapokuwa kuamiliana huko hakuna riba ndani yake. Kwa sababu Allah Subhaanahuu amehalalisha biashara na ameharamisha riba. Na ni kwa sababu asili ya miamala yote ni uhalali, iwe na benki au kitengo vinginevyo alimradi muamala huo usiwe katika haramu"

Wabillaahi t-tawfiiq, na rehema na amani ziwe juu ya bwana wetu Muhammad na ali zake na swahaba zake.

Kamati ya kudumu ya uchunguzi wa kiilmu na kutoa fatwa

Mwenyekiti: Mufti Sheikh Abdulaziz Ibn Abdallah Ibn Baaz

Makamu Mwenyekiti : Sheikh Abdurazaaq Al 'afiyfii

Mjumbe : Sheikh Swalih Al Fawzaaniy

Mjumbe : Abdulaziz Aali Sheikh (Mufti wa sasa wa Saudia)

Mjumbe : Sheikh Bakr Abuu Zayd

43. 45.

Fatawa al-Lajnah daima 13:405. Kuhusu Uhalali wa Mikopo inayotolewa na Nasser Bank.

Fatawa al-Lajnah daima 13:404. Kukopa katika Vitengo vyenye kufuata kanuni za Kiislamu.

Fatawa al-Lajnah daima 13: 19 Miamala kati ya waislamu na wasio kuwa waislamu inaruhusiwa inapofuata Shariah za Kiislamu.

44. 46. Tubaddalu sababul Milki Ka-iman maka-ma Tabadduli Ddhat Kubadilika sababu ya kumiliki kunasimama mahali pa kubadilika dhati (yenyewe). 225: Maana ya kanuni na sababu zake Itakapobadilika sababu ya kumilikii kitu Fulani, basi kitu hicho kitazingatiwa ni kubadilika hukumu japokuwa hicho hakikubadilika ki uhakika. Na msingi wa kanuni hii ni hadithi sahihi alioitoa Bukhari na Muslim, na katika riwaya ya Muslim toka kwa Anas bin Malik (r.a.) amesema: Bariirah alipeleka nyama aliopewa yeye sadaka kwa Mtume (s.a.w.) na Mtume akasema “kwake ni sadaka. Na kwetu ni hadiya” (zawadi). Na Imamu Nawawiy amesema:Katika kuieleza hadithi hii na mifano yake. Mlango wa kuhalalisha hadiya kwa Mtume (s.a.w.) Na Banii Hashim na Banii Muttwalib. Iwapo anayeitoa ameimiliki kwa njia ya sadaka. Na kubainisha kuwa sadaka akishaipokea aliyepewa sadaka, tayari ile sifa yake ya usadaka imeondoka. Na kitakuwa halali kwa kila mtu miongoni mwa waliokuwa ni haramu kwao kula sadaka.