1. Paper 336/1
Lugha ya Kiswahli
Sarufi
Mei 2015
Saa 2 na dakika 30
KISWAHILI RESOURCE EXAMINATIONS 2015
UGANDA CERTIFICATE OF EDUCATION
LUGHA YA KISWAHILI
MUDA: Saa 2 na 30
S.3KISWAHILI EXAMINATIONS – 2015:
Jina: ------------------------------------------------------------------------------------------ Darasa: -----------
Maagizo: Jibu maswali yote (Answer all questions).
SEHEMU A:
1. Soma habari ifuatayo kasha ujibu maswali yatakayofuata. (Read the following passage then
answer questions there after).
Tuvae Mavazi ya Heshima
Sisi wanadamu hatuendi uchi kama wanyama. Sisi havuaa nguo, viatu, kofia, vilemba na mapambo
menginyo kama kila mmoja wetu apendavyo. Mavazi yana muhimu mkubwa katika maisha yetu,
kwanza, mavazi hutusaidia kujikinga dhidi ya baridi au joto. Pili, mavazi hutufanya kuonekana
maridadi na tatu, mavazi hutusaidia kuficha sehemu nyingi za siri kwenye miili yetu.
Lakini na siku hizi, vijana wengi hasa wasichana huvaa mavazi ambayo si ya heshima. Wasichana
wengi siku hizi utawakuta wakiva mavazi ambayo pamoja na kuwabana sana, ni mafupi sana na hata
yanaweza kuonyesha sehemu zao za siri za juu ya magoti. Badhi ya wasichana huvaa nguo ambazo
zinawezesha macho kupenyeza ndani yake na kuangalia mavazi ya ndani kama vile chupi au sidiria.
Hata hivyo, wasichana wengine huvaa nguo ambazo zinaacha sehemu za migongo yao wazi kabisa.
Mavazi kama haya ambayo yanoanyesha muambile wazi wazi pamoja na sehemu za siri si ya
heshima kulingana na utamaduni wa kiafrika. Jambo la kushangazani kwamba baadhi ya wanawake
nao huvaa vivyo hivyo. Unamkuta mke wa bwana Fulani amevaa rinda ambalo pamoja na kumbana
ni fupi sana. Hata akiwa anatembea, mapaja yanaokana wazi wazi huku matako yaliyobanwa na
rinda hilo yakibenukabenuka na kuonyesha pindo za chupi aliyovalia ndani ya riunda.
1
2. Kulitokea kisa kimoja kanisani cha kuaibisha sana. Msichana mmoja alikwenda kuhudhuria ibada ya
Jumapili huku amevaa rinda fupi sana na lenye kumbana barabara. Mschana huyo ambaye alikuwa
mwnafunzi katika shule Fulani ya upili baada ya ibada kuanza na kwa hiyo yeye akakaa kwenye viti
vya nyuma.
Ibada hiyo ilikuwa maalum kwa sababu waliohudhuria waliombwa kushiriki katika ile sakramenti ya
kukumbuka kufa kwa Bwana Yesu Kristo. Na kwa hiyo iliwabidi waumi kwenda polepole kwenye
altare na kupiga magoti mbele ya kasisi, waliokalia viti mbele ndio waliotangulia wakafuatiwa na
wake wa viti vya katikati na mwishowe wale wa viti vya nyuma.
Zama ya mschana huyo ilipofika, yeye bila aibu yoyote akasimama na kwenda mbele kwenye altare
ili apate ile sakramenti takatifu. Mschana huyo alipokuwa akipata katikati akielekea kwenye altare,
waumini wote walishangaa sana kwa vile alivyokuwa amevaa nguo ya aibu hadharani. Rinda
lilikuwa fupi sana kiasi kwamba mapaja ya mschana huyo yalikuwa yanaoneka wazi kabisa. Isitoshe
hiyo, rinda lake mschana huyo lilikuwa linambana sana hata alikuwa na matatizo kwa kutembea.
Alikuwa akitembea mfano wa mfungwa au mwendawazimu aliyefungwa kwa pingu muguuni.
Haya basi, mschana akafika kwenye altare akajaribu kupiga magoti lakini akapata taabu.
Akajaribujaribu na mwishowe akafualu kupiga magoti lakini kwa shida sana.
Lakini alipokuwa akingoja ili Kasisi aje ampe kipande cha mkate pamoja na Mvinyo kama ilivyo
kawaida ya sakramenti hiyo, waumini nyuma yake wakaanza kupiga makelele wakinung’unika.
Wengine wakasema, “Hapana, asipewe mkate na mvinyo! Hastahili hivyo, yeye amekosa adabu.”
Hata wanawake nao wakasema, “Hapan! Mavazi haya ya kisasa sasa yamevuka mpaka na kugeuka
kitu kingine. Mbona yeye ameaibisha jamii ya wanawake.”
Watoto ambao wao hawakujua ni aibu gani mschana, walikuwa wanacheka tu kwa kuwa
wanachungilia chupi ya mschana huyo wakati alipokuwa akapiga magoti.je, aibu gani iliyotokea,
mpaka waumini wakapata kunung’unika hivyo? Ndugu yangu, maajabu kweli yalitokea Mschana
Yule alipopiga magoti, rinda lake likaenda juu zaidi na kuacha matako yake wazi asipokuwa chupi
aliyoivalia ndani. Ikawa aibu kubwa na mwanaume mmoja akisimama akamwendea Yule mschana
akamkamata mkono akamvuta nje. Msichana alikuwa bado hajapewa mkate na mvinyo. Kisa hicho
kweli kiliiharibu ibada hiyo takatifu.
Maswali
1. Ni nini umuhimu wa Mvavazi?
a)………………………………………………………………………………
(alama 02)
2
3. b) ………………………………………………………………………………
(alama 02)
c). ………………………………………………………………………………
(alama 02)
2. Je, mavazi ambayo yanachukuliwa kama si ya heshima ni mavazi ya aina yani?
(alama 02)
3. Msichana anayezungumziwa katika taarifa hii alikuwa ameva vipi?
(alama 02)
4. Kwanini msichana huyo alikalia kwenye viti vya nyuma alipoingia kanisani?
(alama 02)
5. Kwanini watu waliokuwemo kanisani walinungu’nika msichana huyo alipopiga magoti
kwenye altare? (alama 02)
6. Kwanini inada hiyo ilikuwa maalum? (alama 02)
7. Toa maana za maneno yafuatayo kwa Kiswahili.
i). ibada (alama 01)
ii). Aibu (alama 01)
iii). Mvinyo (alama 01)
iv). Altare (alama 01)
SEHEMU B:
2. Tafsiri maneno yafuatayo kwa Kiswahili. (Translate the following words into Kiswahili).
(i) East Africa ----------------------------------------------------------------------------------
(ii) South West -----------------------------------------------------------------------------------
(iii) North ------------------------------------------------------------------------------------------
(iv) Monday ----------------------------------------------------------------------------------------
(v) Tuesday ----------------------------------------------------------------------------------------
(vi) Wednesday -------------------------------------------------------------------------------------
3
4. (vii) Thursday ----------------------------------------------------------------------------------------
(viii) Friday --------------------------------------------------------------------------------------------
(ix) Saturday -----------------------------------------------------------------------------------------
(x) Sunday -------------------------------------------------------------------------------------------
SEHEMU C:
3. Tumia maneno yafuatayo kujaza mapengo. (Use the following words to fill in blank
spaces)
Sisikii, sifahamu, hawapendi, hatufanyi, hawajui, hawali, hamwogopi, hawampendi, hanywi,
sivuti, hawezi, hamfungui.
(a) ------------------------------------------------------------ kazi Jumapili.
(b) Sitaki kuvaa koti kwa sababu ----------------------------------------------- baridi.
(c) Panya -------------------------------------------------- paka.
(d) Mgeni wangu anataka chai, yeye --------------------------------------------------- bia.
(e) Watu hawa ------------------------------------------------------------------ kusoma wala kuandika.
(f) Wageni wangu ----------------------------------------------------------- nyama.
(g) Ndovu ----------------------------------------------------------- simba.
(h) Ninasikia lakini --------------------------------------------------------
Watumishi hawa ---------------------------------------------------------------- msimamizi wao
SEHEMU D:
4. Tafsiri maneno yafuatayo kwa kiingreza. (Translate the following words into English
language).
(i) Siku kuu ya kuzaliwa ---------------------------------------------------------------------------------
(ii) Siku kuu ya uhuru -------------------------------------------------------------------------------------
(iii) Mwezi ujao
---------------------------------------------------------------------------------------------
(iv)Mwezi huu ---------------------------------------------------------------------------------------------
(v) Mwaka uliopita -----------------------------------------------------------------------------------------
4
5. (vi)Kesho kutwa --------------------------------------------------------------------------------------------
(vii) Adhuhuri -----------------------------------------------------------------------------------------------
(viii) Kamili ------------------------------------------------------------------------------------------------
(ix) Amani iwe nawe --------------------------------------------------------------------------------------
(x) Shikamuu -------------------------------------------------------------------------------------------------
SEHEMU E:
5. Jaza mwanya katika sentensi zifuatazo kwa kuchagua maneno yaliyosahili katika mabano.
(Fill in the blank spaces by choosing the correct words in blackest).
(i) Hapa --------------------------------------------------------- uchafu fele (kuna, mna, pana).
(ii) Mwalimu wetu --------------------------------------------- hapa (yuko, yumo, yupo).
(iii) Mwizi ------------------------------------------------------- huku (yumo, yuko, yupo).
(iv) Kisu chako ------------------------------------------------- nyumbani (kimo, kiko, kipo).
(v) Misumari --------------------------------------------------- mfukoni (iko, imo, ipo).
(vi) Wasichana ----------------------------------------------- nyumbani juzi (walienda, wanarenda).
(vii) Mbwa ----------------------------------------------- ni wakali sana (zangu, wangu, yangu)
(viii) Marubani --------------------------------------- ni wajinga (yale, wale, haya)
(ix) Mito ---------------------------------------------- si mipana (ule, hii, hizi).
SEHEMU F:
7. Kamilisha sentensi zifuatazo. (Complete the following sentences).
1. Ninafanya kazi ya kupika, mimi ni ----------------------------------------------------------------------
2. Tunafanya kazi ya kuvua samaki, sisi ni ---------------------------------------------------------------
3. Bwana Hamisi anafanya kazi ya kufundisha wanafunzi, yeye ni -------------------------------------
4. Watoto hawa wanasoma vitabu, wanajifunza, wao ni -------------------------------------------------
5. Msichana huyu anafanya kazi ya kutibu wagonjwa huko mulago, yeye ni -------------------------
6. Watu hawa wanapenda sana nchi yao, wao ni ----------------------------------------------------------
7. Wavulana hawa wanafanya kazi ya kuchunga ng’ombe, mbuzi, na kondoo, wao ni --------------
8. Mzee huyu anafanya kazi ya kulinda shule yetu, yeye ni ---------------------------------------------
9. Wanaume hawa wanafanya kazi ya kulima, wao ni ---------------------------------------------------
10. Baba yangu anaendesha basi ya chuo cha Mtakatifu Maria Rushoroza, yeye ni -----------------
11. Vijana hawa wanawinda wanyama, wao ni ------------------------------------------------------------
12. Kaka yangu anatengeneza vitu kama meza, vitanda, viti, madirisha na milango kutokana ne
mbao, yeye ni ----------------------------------------------------------------------------------------
13. Mwanamume anayeendesha ndege ni ------------------------------------------------------------------
5
6. 14. Kijana anayechukua pesa za mwingine bila ruhusa, huitwa -----------------------------------------
15. Mwanamke anayesaidia wanawake wengine kuzaa au kijifungua, huitwa ------------------------
SEHEMU G:
8. Andika yafuatayo kwa maneno kwa Kiswahili (Write the following in words in Kiswahili).
(i) 999,999 ------------------------------------------------------------------------------
(ii) 20,202 ------------------------------------------------------------------------------
(iii) 4,400,000 ------------------------------------------------------------------------------
(iv) 59% ------------------------------------------------------------------------------
(v) 88.801 ------------------------------------------------------------------------------
9. Tumia kivumishi kinachefaa kukamilisha sentensi zifuatazo: (Use a suitable adjective to
complete the following sentences)
1. Baba yangu alijenga chumba -----------------------------------------------------.
2. Peter ni mwanafunzi --------------------------------------------------------- sana.
3. Mti huu una mava -------------------------------------------------------------------.
4. bwana Hamisi ni mtu -----------------------------------------------------------------.
5. Mpenzi wake ni msichana ---------------------------------------------------- sana kama malaika.
6. Maria amenunua viatu --------------------------------------------------------------.
7. Nairobi ni mji --------------------------------------------------------------------- mno.
8. Chui ni mnyama ----------------------------------------------------------------- ajabu.
9. Michungwa --------------------------------------- imezaa machungwa ------------------------------.
10. Mto ------------------------------------------- wa Naili una maji -------------------------------------.
MWISHO
6
7. 14. Kijana anayechukua pesa za mwingine bila ruhusa, huitwa -----------------------------------------
15. Mwanamke anayesaidia wanawake wengine kuzaa au kijifungua, huitwa ------------------------
SEHEMU G:
8. Andika yafuatayo kwa maneno kwa Kiswahili (Write the following in words in Kiswahili).
(i) 999,999 ------------------------------------------------------------------------------
(ii) 20,202 ------------------------------------------------------------------------------
(iii) 4,400,000 ------------------------------------------------------------------------------
(iv) 59% ------------------------------------------------------------------------------
(v) 88.801 ------------------------------------------------------------------------------
9. Tumia kivumishi kinachefaa kukamilisha sentensi zifuatazo: (Use a suitable adjective to
complete the following sentences)
1. Baba yangu alijenga chumba -----------------------------------------------------.
2. Peter ni mwanafunzi --------------------------------------------------------- sana.
3. Mti huu una mava -------------------------------------------------------------------.
4. bwana Hamisi ni mtu -----------------------------------------------------------------.
5. Mpenzi wake ni msichana ---------------------------------------------------- sana kama malaika.
6. Maria amenunua viatu --------------------------------------------------------------.
7. Nairobi ni mji --------------------------------------------------------------------- mno.
8. Chui ni mnyama ----------------------------------------------------------------- ajabu.
9. Michungwa --------------------------------------- imezaa machungwa ------------------------------.
10. Mto ------------------------------------------- wa Naili una maji -------------------------------------.
MWISHO
6