Kufikia maendeleo Jumuishi ya tasnia ya maziwa Tanzania

2,877 views

Published on

Poster prepared for the National dairy stakeholders’ meeting, Blue Pearl Hotel, Dar es Salaam, 22 February 2013.

Published in: Technology
0 Comments
0 Likes
Statistics
Notes
  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

No Downloads
Views
Total views
2,877
On SlideShare
0
From Embeds
0
Number of Embeds
2,417
Actions
Shares
0
Downloads
1
Comments
0
Likes
0
Embeds 0
No embeds

No notes for slide

Kufikia maendeleo Jumuishi ya tasnia ya maziwa Tanzania

  1. 1. Kufikia Maendeleo Jumuishi ya Tasnia ya Maziwa Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Maendeleo ya Tasnia ya Maziwa Tarehe 22 Februari 2013 katika hoteli ya Blue Pearl, Dar es Salaam Imetayarishwa na Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) International Livestock and Research Institute (ILRI) Heifer Project International (HPI) SNV - The Netherlands Development Organisation Land O’ Lakes, Inc Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (MLDF) Lengo la Mkutano ni kujadili Madhumuni ya Jukwaa la Wadau wa Maendeleo ya Tasnia ya Maziwa 1. Kukuza mwelekeo wa umoja katika uwekezaji wa umma na binafsi katika tasnia ya maziwa 2. Kukuza Weledi na njia bora za kuendeleza tasnia ya maziwa 3. Kuwa na Jukwaa kwa ajili ya kupeana habari na kubadilishana ujuzi ikiwa ni pamoja na : • Jukwaa kuwa chombo cha kitaifa cha kuwakutanisha wadau wa maziwa mara kwa mara na kutoa ubunifu wa utaratibu wa kutatua matatizo sugu katika tasnia ya maziwa hivyo kujenga ushirikiano katika kutatua matatizo • Kuwezesha uanzishwaji wa majukwaa ya maziwa ya ubunifzu ya kikandaTunategemea kusikia nini katika mkutano huu• Kutakuwa na mada itakayoelezea muundo, kazi, na uwanachama wa Jukwaa hilo iliyotayarishwa na kikosi kazi kilichoteuliwa wakati wa mkutano wa nane (8) wa Baraza la Wadau wa Maziwa wakati wa Wiki ya Maziwa iliyofanyika mjini Moshi Mei 2012.• Mitazamo ya vyama vya wadau juu ya ajenda ya baadaye ya Jukwaa la wadau wa maziwa (DDF) iwe nini• Warsha kuweza kuzalisha orodha ya awali ya changamoto na matatizo muhimu katika tasnia ya maziwa ambayo yanahitaji kushughulikiwaTunategemea nini kutoka kwenu….• Ushiriki wenu katika kuainisha na kutengeneza orodha ya awali ya matatizo na changamoto zinayoikabili tasnia ya maziwa• Wewe utashiriki vipi katika kutatua matatizo na changamoto yaliyoainishwa

×