Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 114 ﴾الناس﴿ An-Nas Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

125 views

Published on

NAMBARI ► https://plus.google.com/+CallertoislamTk-site/posts/6PbUMaAkhj3

Published in: Education
  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 114 ﴾الناس﴿ An-Nas Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

  1. 1. JUZUU 30 I• Aya d SURATUN NAAS (/meteremka Makka) Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, kuneemesha neema kubwa kubwa na kuneemesha neema ndogo ndogo. 1. Serna: Ninajikinga kwa Dwana kuwa)ea 2. Mfalme wa watu 3. Muabudiwa wa watu Mwenye Mwenye Mwenye 4. Na shari ya mwenye kutia wasiwasi mwenye kurejea nyuma s. Atiaye wasiwasi nyoyoni mwa watu 6. (Ambayc ni) katika maiini na watu. AMMA Ifill Kara I 1. Mwenyezi Mungu baada ya kuwa ni Bwana wa watu kadhalika ndiye mwenye kuwalea tangu walimatumboni hata wakamaliza umri wao lcatika ulimwengu, kwa roho na kiwiliwili na pumzi na chakula na maji na kila wahhaiialo katika maisha yao, kisha akawapa akili, akawaonesha niia ya "kheri" ya dunia na Akhera, Blcawaamrisha waifuwate; akawaonesha na njia ya "shari" ya dunia na Akhera, akawaamrisha waiepuke na watahadhari nayo,.~ 4. "Mwenye kutia wasiwasi, mwenye kurejea nyuma"; ni Sheitani, ambaye kazi yake ni "kutia wasiwasi lcatika nyoyo za watu11 akawjpoteza. Lakini wakati akipambana na wenye lmani ya nguvu, au mwenyc kuzindukll akakumbuka Mota Wake, shetani hushindwa, akarejea nyuma. 6. Kadka luaha ya Kiarabu kila muovu hufaa kuitwa "Sheitani" ni sawa alikuwa katika Majini, wanaadamu au nyama. Na "Shetani" wa kibinadamu huwa muo'U zaidi kwa mwanaadamu mwenziwc kuliko mashetani. 807

×