Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 112 ﴾الإخلاص﴿ Al-Ikhlas Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

26 views

Published on

NAMBARI ► https://plus.google.com/+CallertoislamTk-site/posts/6PbUMaAkhj3

Published in: Education
  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 112 ﴾الإخلاص﴿ Al-Ikhlas Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

  1. 1. JUZUU JO /1111 Aya 4 SURATUL IKHLAS � ( Imeteremka Makka) Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na Mwenye kuneemesha neema ndogo ndogo. 1 : Sema: Yeye ni Mwenyezi Mungu_Mmoja (tu). 2. Mwenyezi Mungu (tu) ndiye anayestahiki kukusudiwa (na �viumbe� Vyake vyote kwa kumuabudu na kumuomba na kumtegemea). 3. Hakuzaa wala Hakuzaliwa 4� Wala hana anayefanana Naye hata mmoja. AMMA Ina KaM I -0~~~~JS 0~1~ 1. Baadhi ya makafiri walimtl'.ka Mtume (s.a.w.) awasifie Mwenyezi Munsru, ikashuka Sura lui ya kumtakasa Mwenyezi Mungu na kila namna ya shirki. "ShirkP' ni namna Me: (a) Ni shirki ya kuitakidi kuwa Mungu ni zaidi ya Mmoja, kama walivyokuwa makafui wa Makka; (b) Ni shirki ya kuitakidi kuwa yuko mwenye uweza wa kufanya iambo ambalo kwa hakika hakuna aliwezaye ila Mwenyezi Munau, kama kunyesha mvua na kuondoa balaa, na mengineo katika mambo ambayo yametoka katika uweza wa viumbe. Na shirki ya namna hii imeingia kwa baadhi ya wajitao "lslamu" siku hizi, M11n1u Atunusuru; (c:) Ni shirki ya kuitakidi kwamba Mwenyezi Mungu ana fungamano baina Yake na viumbe vyake, kama waitakidivyo Wamasihia; (d) Ni shirki ya kuitakidi kwamba Mwenyezi Mungu ana mfano katika Dhati Yake au Sifa Zakc, kama Naitakidivyo Mayahudi na wengineo. Basi Sura hii imekanusha, na imcmtakasa Mwenyezi Mungu na namna '' &e hizo: sos

×