Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 111 ﴾المسد﴿ Al-Masad Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

50 views

Published on

NAMBARI ► https://plus.google.com/+CallertoislamTk-site/posts/6PbUMaAkhj3

Published in: Education
  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 111 ﴾المسد﴿ Al-Masad Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

  1. 1. JUZUlJ /1111 Aya 5 SURATUL LAHAB (/meteremka Makka) Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na Mwenye kuncemesha neema ndogo ndogo. I • Pana kuangamia mikono miwili ya Abu Lahab! Naye amekwisha angamia. 2. Hayatamfaa mali fake wala alivyovichuma. 3. (Atakapokufa) atauingia Moto wenye mwako (mkubwa kabisa) 4. Na mkewe, mchukuzi wa kuni (za fitina), (fattani, anayefitinisha watu wasiingie katika dini; atauingia naye Moto huo) · s. (Kama kwamba) shingoni mwake iko kamba iliyosokotwa (anayochukulia kuni za fitina hizo). AMMA 1. Mwanzo wa kupcwa Utumc Dwana wetu Muhammad (s.a.w.) aliamrishwa awabashiric jamaa zake wlllio karibu nayc kwa kizazi; akawakusanya akawabashiria na kuwakhofisha na adhabu ya Akhcra, Ab~-Lahab, ami y2kc, akakasirika, akamwambia 'Mwana kuangamia wee! Ndilo ulilotwitia hili?' Ndipo iliposhuka sura hii kuapizwa Abu-Lahab na mke wake, Ummu-jamil, aliyckuwa akijipinda sana katika kumuudhi Mtume, na kuwashakiza makafiri wamuuc na kufanya kila aliwczalo katika kuizuilia dini isifuatwe. "Yana kuangamia mikono miwili ya Abu-Lahab!" ni maapizo ya kuapizwa Abu-lahabi aangamic ycyc, badali ya Mtumc (s.a.w.). Na alipokuwa Mwenyezi Mungu ndiye mwcnyc kuapiza, imckuwa hapana shaka maapizo hayo ru yenye kumpata, na kwa hivyo Mwenyezi Mungu anatupa habari kuwa "amekwishaang:amia." . s. Huyu mke wa Abu-Lahab alikuwa fanani (sakubimbi). Kazi yake kuchukua mancno ya huku akipeleka huku kwa kutjlka kutia fitina na fisadi. Na mru namna hii Waarabu humshabihisha na "mchukuzi wa kuni." Na dasturi, mchukuzi wa kuni huwa na "kamba" katika shingo yakc ya kufungia hizo kuni zake, na kuni ndizo zinazowasha moto. Na huyu mwanamke akiwasha moto wa kuwazuilia watu wasisilimu na kuwatoa waliosilimu.

×