Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 110 ﴾النصر﴿ An-Nasr Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

26 views

Published on

NAMBARI ► https://plus.google.com/+CallertoislamTk-site/posts/6PbUMaAkhj3

Published in: Education
  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 110 ﴾النصر﴿ An-Nasr Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

  1. 1. JUZUU 30 AMMA Ina Aya J SURATUN NASR (lmeteremka Madina) Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemcsha neema kubwa kubwa na Mwenye kuneemcsha neema ndogo ndogo. 1. ltakapoflka nusura ya Mwenyezi Mungu na kushinda · :i. Na ukawaona watu wakiingia katika dini ya Mwenyezi Mungu makundi makundi 3. Basi hapo mtakase Mola wako pamoja na kumsifu, umuombe maghufira (msamaha); hakika Yeye ndiye Apokeaye toba. ?v~,;~~~ ~t$l .l t~,"i'( ~' ., ,, ...~-'. .?" , t:fJ'....;-(,...Q:) ,f't,'f ;JJ ~.)...~:r(:.IJU-~(.1' • ~!JJ ~ t:.t~G~~~~~f~~&t5~~~i i 1. Huu ni waadi wa Mwenyezi Mungu kumpa Mtume Wake, kuwa atamsaidia amnusuru juu ya maadui zake ambao walikuwa wakimtaabisha na kutaka kumuua, na autawale mji wao waliomtoa; na alipotaka kuingia kwa ajili ya lbada pia wakamzuilia. 2. Mtume alipoingia Makka na kuwashinda maadui zake, kama alivyoahidiwa na Mwenyezi Munau, makafui walikuwa wakija Madina mbele yake, makabila kwa makabila wakiiqia katika Dini ya Kiislamu. 3· Maana ya kuambiwa Mtume (s.a.w.) kwamba yatakapofanyika hayo aliyoahidiwa amtakasc Mola wake na aombc mapufira; pamoja na kuwa yeye alikuwa akifanya hayo kabla ya hapo, ni kuwa yatakapofanyika hayo aliyoahidiwa, ajali yake Mtume itakuwa imekurubia kwisha. Kwa hivyo anaamrishwa azidishe ibada ill azidi kuten&eza Akhera yake. Hu ndiyo Sura ya mwisho iliyoshuka katika Qurani. Na iliposhuka, baadhi ya Masahaba walifahamu und..ni wake, wakalia kwa kuona kuwa Mtume anaondoka. Buda ya kushuka Sura hii Mtume (s.a.w.) allishi siku·chache tu.

×