Successfully reported this slideshow.
We use your LinkedIn profile and activity data to personalize ads and to show you more relevant ads. You can change your ad preferences anytime.

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 109 ﴾الكافرون﴿ Al-Kafiroon Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

26 views

Published on

NAMBARI ► https://plus.google.com/+CallertoislamTk-site/posts/6PbUMaAkhj3

Published in: Education
  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

[PDF] Tukufu Takatifu Quran Surat 109 ﴾الكافرون﴿ Al-Kafiroon Swahili (Kiswahili) Tafsiri (Maana) Translation Kiarabu

  1. 1. JUZUU 30 SURATUL KAFIRUN (lmeteremka Makka) Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, Mwenyc kuncemesha neema kubwa kubwa na Mwcnyc kuneemesha neema ndogo ndogo. 1. Serna: Enyi makaftri. 2. Siabudu mnachoabudu. 3� Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu. 4� Wala sitaabudu mnachoabudu. s. Wala nyinyi hamtaabudu ninayemuabudu. 6. Nyinyi mna dini yenu nami nina dini yangu. AMMA IIIII Ktur~ I 1. Makafiri wa Makka walipojiona wamecholca, bawawezi kuzima nuru ya Uislamu, na wakamuona Mtume (s.a.w.) kila siku anizidi hima katika kazi yake, na dini kila siku inaendelea mbele, walimwendea Mtume wakamtalca wataDiamane naye katika ibada, wao wamuabudu Mwenyezi Munau mwaka mmoja pamoja naye, na yeye�at1:01amane nao katika kuabudu miungu yao mwalca mmoia vile vile; yaani mwaka mmoja waabudu Muncu wote na mwaka mmoja waabudu masanamu pia wote! Ndipo iliposhuka Sura hii. Na makusudio yake ni haya: Nyinyi muna waunau wenu na namna ya ibada zenu muabudiazo, na mimi nina Munau WaDKu na namna �ya ibada nimuabudiayo. Haiwezekani kutaDiamanisha baina ya Mungu Wanau wa kweli na miunau yenu ya uwonao, wala baina ya ibada yangu ya haki na ibada zenu za batili. Nyjnyi muna dini yenu na itikadi yenu; nami nina dini YIDIU na itikadi yangu. 801

×