Investigative Journalism ideas

1,527 views
1,446 views

Published on

Investigative journalism discussion starters, as presented to Daraja's media partners on the Maji Matone programme, November 8th, 2010.

0 Comments
0 Likes
Statistics
Notes
 • Be the first to comment

 • Be the first to like this

No Downloads
Views
Total views
1,527
On SlideShare
0
From Embeds
0
Number of Embeds
23
Actions
Shares
0
Downloads
12
Comments
0
Likes
0
Embeds 0
No embeds

No notes for slide

Investigative Journalism ideas

 1. 1. HABARI ZA KICHUNGUZI Na Fred Kihwele Afisa Mawasiliano na Habari Mradi wa Maji Matone Daraja Development LTD www.daraja.org 8 Nov. 2010
 2. 2. Dondoo • Utangulizi • Maana ya habari za kichunguzi • Kwa nini Habari za kichunguzi • Nani ahusishwe • Nini Mategemeo ya jamii • Nini kifanyike • Kitoa uchovu • Hitimisho • Mwisho
 3. 3. Utangulizi “Asasi za kiraia pamoja na vyombo vya habari vinayonafasi kubwa na ya muhimu katika kuimarisha demokrasia huru na utawala bora katika kila nchi duniani kwa maendeleo endelevu” Benjamin Mkapa
 4. 4. Maana ya habari za kichunguzi • Ni habari zilizo fanyiwa utafiti wa kina juu ya mambo mbalimbali yanayofanyika katika jamii kila siku kwa ajili ya matakwa na faida ya jamii kwa ujumla. • Pia ni habari zilizohakikiwa kwa kina na kuwa na ukweli halisi katika jamii husika. • Utafiti huu humfanya mwanahabari afanye uchunguzi wa kina ndani ya jamii husika kwa lengo la kufichua na kuifahamisha jamii juu ya mambo mbali mbali.
 5. 5. Kwanini habari za kichunguzi • Jamii inajukumu la kupata ukweli wa matatizo yanayowazunguka kupitia tafiti mbalimbali zitakazo ibua mijadala yenye manufaa kwa jamii na maendeleo ya jamii husika. • Pia ni lazima kuwe na habari za kichunguzi kwa kuwa jamii inahitaji kutambua mambo mbalimbali yaliyofichika ili kuleta changamoto.
 6. 6. Nani ahusishwe • Asasi za kiraia • Vyombo vya habari • Wanaharakati • Wanahabari • Wananchi
 7. 7. Nini Mategemeo ya jamii • Kupata taarifa za uhakika zitakazo hamasisha ushiriki wao katika harakati za maendeleo. • Kuwafanya wawe na uthubutu wa kuhoji na kuchanganua mijadala na sera zitakazowahamasisha kuleta maendeleo. • Kuelimika kwa kupitia habari zinazoibua changamoto mpya za kupamabana na umaskini. • Kuhamasika na kuhakikisha inatambua wajibu wake.
 8. 8. Nini kifanyike • Kupitia vyombo vya habari jamii itambue haki yake ya ushiriki katika kuleta maendeleo. • Kuibua mijadala mbalimbali itakayompa nafasi mwananchi kupata ufahamu juu ya sera. • Kuhakikisha mambo mbalimbali yaliyofichika yanaibuliwa ikiwa ni pamoja na tatizo kubwa la uhaba wa maji. • Kuhamasisha utendaji bora na ule unaomjali mwananchi wa kijijini kutoka kwa watendazi wa serikali za mitaa. • Kutokomeza kila dalilli ya ufisadi katika huduma ya maji vijijini.
 9. 9. Kitoa uchovu Ni jinsi gani waweza kupata mada kwa ajili ya habari ya kiuchunguzi? • Fahamu lengo la uchunguzi • Fahamu matarajio yako • Fahamu vyanzo vya habari • Andaa maswali ya mwanzo na mengine huendelea kadri uendeleavyo • Anza mahojinao na vyanzo vya habari na kukusanya viambatanisho kama vipo. • Rudia tena lengo lako na kuanza kuandaa kazi ishio
 10. 10. Hitimisho • Habari za kichunguzi ni muhimu katika jamii kwa kuwa ni njia ambayo inaweza kuleta mabadiliko chanya kwa jamii. • Kutokuwa na habari za kichunguzi, jamii haiwezi kutambua mambo mbalimbali yaliyofichika kitu ambacho kinapelekea jamii kutotambua wajibu wake. • Asasi za kiraia na jamii kwa ujumla itatambua wajibu wake iwapo kutakuwa na habari za uchunguzi. Tuimarishe na kuhamasisha habari za uchunguzi ili kuleta mabadiliko na maendeleo katika jamii.
 11. 11. Mwisho

×