CCAP in Tanzania

354 views
307 views

Published on

0 Comments
0 Likes
Statistics
Notes
  • Be the first to comment

  • Be the first to like this

No Downloads
Views
Total views
354
On SlideShare
0
From Embeds
0
Number of Embeds
152
Actions
Shares
0
Downloads
2
Comments
0
Likes
0
Embeds 0
No embeds

No notes for slide

CCAP in Tanzania

  1. 1. Mabadiliko Upatikanaji wa Fedha za Mradi Kilimo cha Wakulima Wadogo Mradi unafadhiliwa na kitengo cha maendeleo cha kimataifa Tabianchi, Kilimo na Wadogo Kinachozingatia Usalama wa Tabianchi cha nchi ya Uingereza (DfID) pamoja na wakala wa kimataifa wa maendeleo ya watu wa Denmark (DANIDA) kupitia kuondoa Umasikini programu ya uwajibikaji Tanzania “AcT”. Kilimo cha wakulima wadogo wadogo kinacho zingatia usalama wa tabianchi kinahusisha njia Mradi huu unatekelezwa na: mbalimbali za kilimo, njia ambazo huwawezesha wakulima wa jinsia zote wanaolima chini ya hekta www.actionaid.org/tanzania mbili kuweza kukabiliana na changamoto za admin.tanzania@actionaid.org upatikanaji wa chakula, maendeleo na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Jambo kubwa ni kuboresha rutuba kwenye udongo MJUMITA (Mtandao wa Jamii na kuimarisha uhifadhi wa unyevunyevu kwenye wa Usimamizi wa Misitu udongo. Pia kuwahimiza wakulima kutumia njia Tanzania): www.mjumita.org nzuri za kilimo kama vile kupanda mbegu bora kwa mjumitaorg@mjumita.org umbali unao kubalika, kupunguzia miche na kung’oa Tanzania Forest Conservation magugu. Group (Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania): www.tfcg.org tfcg@tfcg.orgEneo la MradiRamani ya vijiji sita vya maradi katika wilaya ya Kilosa na Tanzania Organic AgriculturalChamwino. Movement: www.kilimohai. org toam@kilimohai.org MVIWATA (Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania): www.mviwata.org mviwata@morogoro.net Kwa maelezo zaidi; Tembelea tovuti ya mradi: www.tfcg.org/ccap.html Au wasiliana na: Mkurugenzi Mtendaji, TFCG Kuwaweka wakulima wadogo S.L.P. 23410, Dar es Salaam Simu:+255 22 2669007 wadogo katikati ya sera na utekelezaji wa sera yenyewe
  2. 2. Mabadiliko Tabianchi na Wakulima Tanzania ipo hatarini kushindwa kupambana na Shughuli za MradiWadogo Tanzania. mabadiliko tabianchi hasa katika sekta ya kilimo. Ili kufikia lengo la mradi, shughuli zifuatazoWakulima wadogo wadogo wanatakiwa kupewa Mabadiliko tabianchi kwa sasa kama vile ukame zitatekelezwa:-kipaumbele katika sera na katika utekelezaji wa sera na mafuriko, tayari yamesababisha gharamaza Tanzania ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya ✓ ujenga uwezo wa wanachama na watumishi K kubwa za kiuchumi Tanzania. Kwa mwaka matukiotabianchi. wa mitandao ya kitaifa ya vikundi vya wakulima hayo hugharimu zaidi ya asilimia moja ya pato la wadogo wadogo Tanzania (MVIWATA) naKilimo ni njia kuu ya Tanzania kukabiliana na taifa na yamekua yakitokea mara kwa mara, hivyomabadiliko ya tabianchi na kupunguza uzalishaji wa mtandao wa jamii wa usimamizi misitu Tanzania hupunguza malengo marefu ya ukuaji wa chumi nahewa ukaa. (MJUMITA) kushirikiana kikamilifu kuhimiza kilimo kuadhiri maisha ya mamilion ya watu (Uchumi wa cha wakulima wadogo wadogo kinachozingatiaWakulima wadogo wadogo wataathirika/ Mabadiliko Tabianchi , DfID 2011). usalama wa tabianchi.wanaadhirika zaidi na adhari za mabadiliko tabianchi. Mradi ✓ afiti za njia bora juu ya kilimo cha wakulima TMabadiliko ya matumizi ya ardhi, hasa ufyekajiwa misitu utokanao na kilimo cha kuhamahama, Maelezo ya jumla ya Mradi wadogo wadogo kinachozingatia usalama wani chanzo kikubwa cha uzalishaji wa hewa ukaa Mradi huu ni wa ubia kati ya mashirika matano yasio tabianchi Tanzania.Tanzania. ya kiserikali.Unahusisha uraghibishi katika ngazi Kujengea uwezo wakulima katika vijiji sita ✓ Sera na kanuni za uwekezaji na kilimo vinatoa ya taifa na maonyesho ya njia mbalimbali za kilimo kutekeleza na kuonyesha kwa vitendo kilimokipaumbele kwa kilimo kikubwa cha kutumia hifadhi ndani ya vijiji vitatu vilivyo ukanda wa ukamemashine zenye kutumia nishati ya mafuta na chenye kinacho zingatia usalama wa tabianchi. katika wilaya ya Chamwino na vijiji vitatu vilivyopolengo la kuongeza uzalishaji na kukuza masoko ya ✓ utumia vyombo vya habari na kushirikiana na k maeneo ya milimani katika wilaya ya Kilosa. Mradimazao. Wakati njia hii inaweza kuongeza uzalishaji umeanza Octoba 2012 na utakwisha Disemba 2014. viongozi wa kuchaguliwa kuweza kuhamasishakwa kipindi kifupi, pia inaongeza uwezekano wawakulima wadogo kuwa masikini na kuathiriwa zaidi uundwaji na utekelezaji wa sera zinazosaidia Lengo la Mradina mabadiliko tabianchi yanayotokana na ongezeko kilimo kinachozingatia usalama wa tabianchi. Lengo la mradi ni kupunguza umasikini miongonila hewa ukaa itokanayo na matumizi tegemezi ya mwa wakulima wadogo Tanzania na kuwajengeanishati ya mafuta, sambamba na kuongezeka kwa uwezo wa kukabiliana na mabadiliko tabianchi ikiwauharibifu wa misitu kwenye maeneo ya wakulima ni pamoja na kupunguza uzalishaji wa hewa ukaawadogo waliohamishwa kupisha wakulima wakubwana kwenye ufunguzi wa mashamba mapya. kwa kuboresha njia za kilimo.

×