• Share
 • Email
 • Embed
 • Like
 • Save
 • Private Content
Kufikia maendeleo Jumuishi ya tasnia ya maziwa Tanzania
 

Kufikia maendeleo Jumuishi ya tasnia ya maziwa Tanzania

on

 • 3,193 views

Poster prepared for the National dairy stakeholders’ meeting, Blue Pearl Hotel, Dar es Salaam, 22 February 2013.

Poster prepared for the National dairy stakeholders’ meeting, Blue Pearl Hotel, Dar es Salaam, 22 February 2013.

Statistics

Views

Total Views
3,193
Views on SlideShare
778
Embed Views
2,415

Actions

Likes
0
Downloads
1
Comments
0

1 Embed 2,415

http://unjobs.org 2415

Accessibility

Categories

Upload Details

Uploaded via as Adobe PDF

Usage Rights

CC Attribution-NonCommercial-ShareAlike LicenseCC Attribution-NonCommercial-ShareAlike LicenseCC Attribution-NonCommercial-ShareAlike License

Report content

Flagged as inappropriate Flag as inappropriate
Flag as inappropriate

Select your reason for flagging this presentation as inappropriate.

Cancel
 • Full Name Full Name Comment goes here.
  Are you sure you want to
  Your message goes here
  Processing…
Post Comment
Edit your comment

  Kufikia maendeleo Jumuishi ya tasnia ya maziwa Tanzania Kufikia maendeleo Jumuishi ya tasnia ya maziwa Tanzania Document Transcript

  • Kufikia Maendeleo Jumuishi ya Tasnia ya Maziwa Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Maendeleo ya Tasnia ya Maziwa Tarehe 22 Februari 2013 katika hoteli ya Blue Pearl, Dar es Salaam Imetayarishwa na Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) International Livestock and Research Institute (ILRI) Heifer Project International (HPI) SNV - The Netherlands Development Organisation Land O’ Lakes, Inc Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (MLDF) Lengo la Mkutano ni kujadili Madhumuni ya Jukwaa la Wadau wa Maendeleo ya Tasnia ya Maziwa 1. Kukuza mwelekeo wa umoja katika uwekezaji wa umma na binafsi katika tasnia ya maziwa 2. Kukuza Weledi na njia bora za kuendeleza tasnia ya maziwa 3. Kuwa na Jukwaa kwa ajili ya kupeana habari na kubadilishana ujuzi ikiwa ni pamoja na : • Jukwaa kuwa chombo cha kitaifa cha kuwakutanisha wadau wa maziwa mara kwa mara na kutoa ubunifu wa utaratibu wa kutatua matatizo sugu katika tasnia ya maziwa hivyo kujenga ushirikiano katika kutatua matatizo • Kuwezesha uanzishwaji wa majukwaa ya maziwa ya ubunifzu ya kikandaTunategemea kusikia nini katika mkutano huu• Kutakuwa na mada itakayoelezea muundo, kazi, na uwanachama wa Jukwaa hilo iliyotayarishwa na kikosi kazi kilichoteuliwa wakati wa mkutano wa nane (8) wa Baraza la Wadau wa Maziwa wakati wa Wiki ya Maziwa iliyofanyika mjini Moshi Mei 2012.• Mitazamo ya vyama vya wadau juu ya ajenda ya baadaye ya Jukwaa la wadau wa maziwa (DDF) iwe nini• Warsha kuweza kuzalisha orodha ya awali ya changamoto na matatizo muhimu katika tasnia ya maziwa ambayo yanahitaji kushughulikiwaTunategemea nini kutoka kwenu….• Ushiriki wenu katika kuainisha na kutengeneza orodha ya awali ya matatizo na changamoto zinayoikabili tasnia ya maziwa• Wewe utashiriki vipi katika kutatua matatizo na changamoto yaliyoainishwa